AnyWayZ
JF-Expert Member
- May 30, 2022
- 4,880
- 8,424
Puttin hatopata weng sababu kuu itakua InsecurityNa Putin atoe mualiko the same date tuone respond itakuwa wapi.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Puttin hatopata weng sababu kuu itakua InsecurityNa Putin atoe mualiko the same date tuone respond itakuwa wapi.
Mkuu, nina maarifa ya kutosha kwenye vitu ninavyoviongea.Ushahidi wa unayoongelea kuhusu mbegu uko wapi? Weka source hapa. Kama huna source basi unaongea conspiracy theories tu.
Bidhaa za Marekani na Ulaya wanazimudu wangapi? Wachache sana. Hata enzi za Nyerere kuna wachache waliokuwa wanauwezo wa kusafiri na kurudi na bidhaa za Ulaya na Marekani. Sasa hao Wamarekani wauwe viwanda vyetu wakati vitu vyao Watanzania wengi hawavimudu ni vichekesho.
Utaskia, Si tumeitwa sasa mm ningekataa kwenda au [emoji849] Sa kama wametuita wenyewe sisi tufanyaje?Samia si punde tutamuona kapanda dege kuelekea Washington DC.
Fursa sasa imepatikana ya kutoroka na kukimbilia ughaibuni.
Dah ! Ila kuna ukweli Kwa hili aisee , inaumaTurudie tena kuwaambia hawa mazuzu ya kiafrika yatakayojikusanya Washington: sisi raia wa kawaida wa Afrika tushashtuka kitambo. Madhara ya structural adustment programmes (SAPs) ya miaka ya 1980 -1990 tuliyobambikiziwa na hao hao wamarekani tunaanza kuyaona leo. Leo hii vijana wetu wanagraduate mechanical engineering, electronics na Bcom lakini wanaishia kuendesha bajaji na kufungua vibanda vya mpesa kwa sababu viwanda vyetu vya nguo, matairi, betri, vibiriti, generies zetu za pamba, vililazimishwa kufa kwa sababu ya SAPs. Uwezo wetu wa kutengeneza ajira ndani za watoto wetu na vizazi vyetu vijavyo haupo kabisa na tumeishia kuomba omba na kufanya biashara za uchuuzi kwa bidhaa za kuimport.
Kama kuna viongozi wa Afrika wasioweza wasiong'amua tatizo la msingi kuhusu Afrika ni viongozi wajinga tu ndio wataenda kumsikiliza Biden.
Tupo pamoja sana katika hili.Hicho ni kitu na sababu moja wapo Mimi kujiita mjamaa wa kisasa . Mimi na ungana na kundi moja na wakina Deng Xiaoping, Xi Zhongxun, Zhao Ziyang, Xi Jinping, Hu Jintao na wengine wengi walio amua kufanya ujamaa unaobadilika kutokana. Na mazingira na wakati .Ujamaa haupaswi kuonekana Kama mfumo uliodumaa usio kua hicho kitu Mimi nakipinga vikali tena nachukizwa na nafadhaishwa niki kutana na watu wenye fikra hasi wenye kuamini kuwa ujamaa ni mfumo uliojifungia katika chumba kimoja cha fikra . Wana lazimisha ujamaa lazima uwe Kama ule wa wakati wa Mwalimu Nyerere, Mao Zedong, Lenin Wana sahau kuwa ujamaa ni mfumo wa kibinadamu ulioanzishwa na binadamu hivyo kadiri binadamu anavyo kuwa kifikra vivo hivyo fikra za Kijamaa lazima zikue na zibadilike pale penye kuhitaji mabadiliko. Wakati Father Karl max anaandika falsafa za Kijamaa miaka ya 1800s haimainishi kuwa fikra zile za Kijamaa zilizoandikwa miaka hiyo Basi lazima zibaki hivyo hivyo hata miaka ya 3050 hicho kitu sio sahihi lazima Kuna falsafa za Karl max juu ya ujamaa za miaka ile lazima kwa Sasa ziwe zina mabadiliko kidogo na hapo ndipo Chuma Deng Xiaoping alishinda Deng alifahaamu fika kuwa lazima ujamaa ubadilike kutokana na wakati ni lazima uruhusu mawazo mema yenye manufaa kuingia ndio maana wengi wanao amini ujamaa ni ule tu wa Mwalimu , Mao, Lenin, wakiiona huu ujamaa wa china ya Sasa ulio sukwa na Deng Xiaoping wao wanakimbilia kuuvisha kilemba Cha ubepari wakati sivyo . Ujamaa ni mfumo ulio hai hivyo unahitaji mabadiliko pale kwenye kuhitaji mabadiliko haupaswi kuonekana kuwa ni mfumo mfu siku zote toka wakati Karl Marx anaandika falsafa miaka ya 1800s mpaka miaka yote uendelee kuwa hivyo hicho kitu hakipaswi kutambulika hivyo na hapa ndipo wengi Wana shindwa kufaulu.
Mkuu, nina maarifa ya kutosha kwenye vitu ninavyoviongea.
Monsanto Tanzania limited – Mbegu
mbegu.co.tz
Siyo tu wanaweza kuua huto tuviwanda twetu, wanaua hata watu wetu wenye kuwaletea vikwazo kwenye ajenda yao ya global dominance. Au napo utataka nilete ushahidi?
Na hii ndio naamini hii ndio failure yetu Hasa subsaharan countries zote , with exception labda ya South Africa , Sisi waAfrica tukiendelea na hii mentality ya consumerism with negligible productivity kamwe hatutoboi .Bana nawe jiongeze kupata tafsiri pana ya soko. Jichunguze hapo ulipo na angalia kuanzia asubuhi hadi jioni maisha yako, unavyokula na unavyovaa. Unajua kuwa ugali unaokula hayo mahindi mbegu zake ni new imported seeds? Wamagharibi kupitia systems zao za FAO na food security tumelazimika kuona mbegu zetu za asili hazifai. Matokeo yake lazima ununue mbegu kila msimu wa kulima, na hadi unavuna lazima uwe umeshanunua bidhaa imported kutoka kwao za kutosha.
Another thing: westerners wameadvance sana kwenye ukoloni wao mamboleo. Hata kama kitu umenunua kutoka China au Singapore lakini mwenye kiwanda na mtaji unaweza kukuta ultimately ni mmagharibi, na hapo sijaingiza "soft-products" kibao unazowalipa bila kujijua. Nyie kwenu mnahesabu kwamba ni maendeleo but mimi shida yangu ni namna ambavyo uwezo wetu wa kuingia katika hii system ya uchumi kama washiriki wazalishaji usivyokuwepo kabisa. We are reduced ti being mere consumers of imported technology, goods, service, etc. Na pale "tunapowauzia" tunawauzia mali ghafi mfano madini wanachimba na kuchenjulia nje huku watoto wetu wanaosoma mining processing kubakia kusoma theory and no real application. Yaani ni sheedah tupu. Fungukeni wajamenim
Mbona yapo makampuni mengine ya mbegu hapo hapo kwenye hiyo website?
Search Results for “” – Mbegu store
mbegu.co.tz
Halafu mbegu za Monsanto na soda za CocaCola wakati mbegu na soda zingine zinapatikana, ndiyo sababu za kuuwa viwanda tulivyoachiwa na wakoloni? Conspiracy theories tuu.
Ukitaka kujua kwa nini viwanda vilikufa msikilize Professor Ayittey achana na conspiracy theories
Mbona yapo makampuni mengine ya mbegu hapo hapo kwenye hiyo website?
Search Results for “” – Mbegu store
mbegu.co.tz
Halafu mbegu za Monsanto na soda za CocaCola wakati mbegu na soda zingine zinapatikana, ndiyo sababu za kuuwa viwanda tulivyoachiwa na wakoloni? Conspiracy theories tuu.
Ukitaka kujua kwa nini viwanda vilikufa msikilize Professor Ayittey achana na conspiracy theories
kwann hiyo mifumo iliua viwanda vya afrika na kumuacha China akamate soko ? je kwann hawakuua viwanda vya nchi za Asia au Wanawapenda Asia sn ? tuende mbele turud nyuma sisi ndo tumejiua wenyew mf hata ss hv ule msaada wa corona ukiuliza umetumikaj haielewek yaan Dunian waafrika tungekuwa pekee yetu basi tungekuwa msituni mpk leoAidha hauna taaarifa sahihi au maksudi hutaki kukubali kuwa mazingira yaliyopelekea hivyo viwanda kufa ni mazingira yaliyowekwa kimkakati na hao hao wapanga mifumo ya uchumi wa dunia ili viwanda hivyo kwa vyovyote vile vife.
Sioni tofauti kati ya "Power Africa" ya Biden na SAPs za miaka ile. Ni mifumo ile ile ya kibeberu ya kutaka daima Africa libaki kuwa soko la magharibi. Kwani ufumbuzi wa tatizo la umeme halijulikani? Maliza bwawa la Nyerere siyo kujikusanya kama mazombi Washington.
Kwamba hivyo viwanda walivijenga wakoloni au viliachwa na wakoloni hilo ntakujibu baadae.
Umeniomba ushahidi kuhusu mbegu za marekani kuuzwa Tanzania nimekupa. Suala la kwamba kuna makampuni mengine pia yanauza mbegu nje ya kampuni za Marekani hilo ni suala jingine. Na bado hapo haujui nani yupo nyuma ya hayo makampuni mengine yasiyomtaja Marekani moja kwa moja kwenye frontline branding.
Na pia nimekumbuka kuwa sikukujibu kuhusu origins za viwanda vya Nyerere. Naona unasisitiza kwamba viwanda hivi aidha kwa vile viliachwa na wakoloni au vilianzishwa kwa msaada wa wakoloni basi somehow hakukuwa na incentive yoyote ya wakoloni kuviua. Hii hoja yako bado niendelee kuiweka pending kwa sababu majibu yake siyo black and white kiviile. Lakini itoshe tu kukushawishi kwamba Nyerere alijenga viwanda vingi vipya ambavyo havikuachwa na wakoloni na sina muda wa kuvilist hapa. Vigoogle mwenyewe.
unapiga kelel ikifika asubui unakumbuk uliempigia kelele ndo anakuleteaga mkate wa chai na ndo ushazoea tena huna namna utaweza vp kuwakabili wale wa dozi ya ukimwi au tb au chanjo bure je vitabu vya mashuleni vp kuhus sekta ya kiusalama , itakubid ukubali tu POWER AFRICA DEVELOPMENT PARTNERS sbb imeundwa system kukulazimish ukubali au upoteze vyoteWasiwafanye Waafrika wajinga mbona miaka yote tangu mataifa ya Afrika kujinyakulia uhuru atukuwahi kusikia Merikani ikiweka mikakati kabambe ya kuiinua Afrika kiuchumi au kusaidia katika ujenzi wa miundo mbinu - Hakuna!! Walicho kuwa wanafanya ni kuwatetea: Makaburu, Wareno, Ian Smith na CIA kuwapatia makaburu taarifa za siri walizo tumia kufanikisha kumkamata Nelson Mandela.
Hii kitu ya Merikani suddenly kuanza kulichukulia bara la Afrika kuwa ni muhimu kwake,hii kitu inatia shaka sana sana, kuna kitu wanalenga.
Ninacho hisi mimi, hawa jamaa wana hidden ajenda tatu, ya kwanza na ambayo wanaichukulia seriously ni ujio wa Wachina barani Afrika, hii kitu inawakosesha usingizi kweli kweli , si kwa Marekani pekee bali hata mataifa ya bara la Ulaya, tumeshuhudia jinsi media zao zinavyo wakandia sana Wachina kwa kuwasingizia mambo chungu mzima yasio kuwa na ukweli wowote - Viongozi/Serikali za magharibi na media zao zilivyo za ajabu hawa zungumzii chochote kuhusu jinsi China ilivyo saidia African Nations to help themselves in terms of ujenzi wa Barbara, reli,Umeme,Mawasiliano kwa njia ya simu, Shule,Vyuo vya Ufundi, Viwanda, Hosptali nk.
Hapa swali ni: Hivi mataifa ya magharibi specifically Merikani inapozunguka Dunia nzima wakitangaza ubaya wa ujio wa Wachina barani Afrika na kwingineko hapo US wanakuwa wana na lengo gani zaidi ya Geopolitical reasons za kutaka kui-contain China kiuchumi na kijeshi, hivi US inataka bara la Afrika nalo lijiingize kwenye rivalry zao za kijinga na hatarishi.
Viwanda viliendeshwa kwa hasara kwa muda mrefu tuu. Mfano mzuri ni TBL. Nyerere alivyokitaifisha kilikula hasara sana. Cha kushangaza nchi ya wanywa bia kama Tanzania kiwanda kitaendeshwaje kwa hasara? Hapo ndiyo utajua wanaolaumu Marekani na nchi za magharibi hawasemi ukweli au wanasambaza conspiracy theories tuu.kwann hiyo mifumo iliua viwanda vya afrika na kumuacha China akamate soko ? je kwann hawakuua viwanda vya nchi za Asia au Wanawapenda Asia sn ? tuende mbele turud nyuma sisi ndo tumejiua wenyew mf hata ss hv ule msaada wa corona ukiuliza umetumikaj haielewek yaan Dunian waafrika tungekuwa pekee yetu basi tungekuwa msituni mpk leo
ttzo la uchiz huanzia hapo baada ya kutetea unaemshabikia unataka nkusaidie kumjadili unaemchukia , inaonesha unapenda bila kuwa na sabab za msingi na matokeo yake ndo hayo , hujui kipi kinakuvutia kwa UrusiLeta pia na ya NATO na wenzie
Pumba sijaona strong reason ya kutetea ujamaa yaan ardhi yangu ila serikali ina haki zaid ya mm nlienunua ardhi ? serikali za kidikteta ?Hapa ndipo umuhimu wa elimu kuambatana na maarifa unapoonekana. Elimu itakufundisha kwamba ujamaa ulikuwa mbaya. Maarifa yatakuonyesha kwamba kinacholeta maendeleo ya nchi na watu si falsafa za ujamaa vs ubepari bali ni maono na mipango safi, watu sahihi na matumizi bora ya maliasili za nchi watu husika walizojaaliwa na mwenyezi.
Hivi unajua kuwa Israeli ni nchi ya kijamaa? google "kibutz". Hivi unajua kuwa maendeleo ya wajapan at the core ni spirit ya ujamaa? Msiwe mnasoma propaganda za magharibi -- tumieni
pia critical thinking. Hivi unajua kuwa hata hao tunaowaita mabepari na mabeberu wa magharibi lakini kwenye mipango yao inayofanyika sirini wanautumia ubepari kama strategy lakini spirit ni ya ujamaa? Hivi unajua mitaji iliyoanzisha corporations kubwa kama Microsoft, Facebook, Apple, ni pesa na dhamana kutoka kwa serikali ya Marekani (na serikali ina jicho lake kwenye hizo corporations kuhakikisha maslahi ya Marekani yanalindwa?) Ni nyie tu mnaoaminishwa kwamba ujamaa ni mbaya -- lakini tafsiri pana ya ujamaa maana yake ni Uzalendo, kufanya mambo kwa faida ya nchi na watu wa asili yako.
mtu ana ndevu anasema hatujaendelea kwasabab ya Mabeberu , mtu wa hv huwa namuona km kichaa , yaan uachiwe mirad still hutak kuiifunza kuiendesha unategemea miujiza , no research no future targets , Tumeua viwanda tumeia reli ya kati , mabas ya mwendokasi huu mwaka wa 7 ila yamechoka yanakaribia kufanana na yale ya 1980s imagine after 25 yrs yatakwepo kwel ? makampuni mengi yamefer kiufup tunajiua wenyew plus undugu na siasa nying hadi kweny elimu , usalama na ulinzi , Afya . Kwa hali hii mtu mzm anadiriki kusema ni mabeberu ndo chanzo , baada ya miaka 50 tutamuona China km mchawi kwa ujinga wetu wenyewEti Afrika ni makao makuu ya comedy duniani[emoji1][emoji1][emoji119][emoji119] .daah mkuu umenivunja mbavu , Afrika sijui tumelaaniwa
Yani kama namiona ameshaanagiza wabook hôtel [emoji23][emoji23]Mama amepata sababu ya kutoka
mitizamo ya kike hiyo yaan unaacha unapoweza , kufuata palipomalizwa na mwingine hlf unamlaumu kwann ulifuata product yakeDah, CocaCola unayokunywa imezalishwa moja kwa moja Marekani? Lakini kwa kila elfu moja ya CocaCola kuna kama mia tano hivi inamwendea mmarekani. Hata mbegu za mahindi ndivyo hivyo hivyo. Popote zinapozalishwa teknolojia ya aina ya mbegu ni ya wamagharibi na hizo mbegu unavyozinunua kila msimu kuna senti zinamnufaisha mwenye trademark.
Hilo la bidhaa za wamagharibi kutoka China kwamba hatuzimudu nisilizungumzie sana. Sidhani kama tuna uwezo wa kutofautisha kati made in China ambazo asili yake ni Marekani na made in China ambazo asili yake ni China zinazoingizwa Tanzania. Kuna watanzania wanaweza kuafford bidhaa kutoka popote pale, tena original, na hapa suala la msingi siyo product imetoka wapi au nani anafaidika. Suala la msingi ni mifumo ya uchumi wa dunia iliyoasisiwa na marekani na washirika wake ambavyo imefanya hata kale ka uwezo ketu kadogo ka ubunifu na uzalishaji kalikoanza kujengwa awamu ya Nyerere na viwanda vyake, na aina ya elimu na maarifa yaliyokuwa yakitolewa mashuleni wakati ule, kalivyofutika kabisa kabisa.
Mmarekani hapa anajitokeza kwa sababu thread inamhusu Biden na dhana ya "Power Afrika".
HahahahahaMama amepata sababu ya kutoka
Hilo ni swali zuri sana kwa kweli. I'd say kwamba you are very much right kwamba kipindi kile Marekani alivyokuwa akipigana vita baridi alipigana kotekote kuhakikisha anasimamisha mfumo wa dunia utakaomfavour yeye. Hata nchi za Asia alipigana, refer Vietnam War. Majibu yangu kwa nini Asia iliibuka ikiwa productive baada ya vita baridi nadhani ni combination ya uongozi bora mfano Singapore, Thailand, South Korea, Indonesia, uzalendo wa watu wa Asia plus the fact kwamba wamarekani waliona fursa ya uwingi wa watu wa Asia na kuamua kutengeneza win-win partnership.kwann hiyo mifumo iliua viwanda vya afrika na kumuacha China akamate soko ? je kwann hawakuua viwanda vya nchi za Asia au Wanawapenda Asia sn ? tuende mbele turud nyuma sisi ndo tumejiua wenyew mf hata ss hv ule msaada wa corona ukiuliza umetumikaj haielewek yaan Dunian waafrika tungekuwa pekee yetu basi tungekuwa msituni mpk leo
Hapa sijaelewa vizuri.mitizamo ya kike hiyo yaan unaacha unapoweza , kufuata palipomalizwa na mwingine hlf unamlaumu kwann ulifuata product yake