Rais Joe Biden awaalika Viongozi wa Africa kwa majadiliano Washington

Rais Joe Biden awaalika Viongozi wa Africa kwa majadiliano Washington

kwann hiyo mifumo iliua viwanda vya afrika na kumuacha China akamate soko ? je kwann hawakuua viwanda vya nchi za Asia au Wanawapenda Asia sn ? tuende mbele turud nyuma sisi ndo tumejiua wenyew mf hata ss hv ule msaada wa corona ukiuliza umetumikaj haielewek yaan Dunian waafrika tungekuwa pekee yetu basi tungekuwa msituni mpk leo
Daah😄 wewe mkuu hauna Unafiki wa kung'ata na kupuliza unapasua jipuu lililoiva hata Kama linauma . haufichi uovu na makosa yetu kabisa . Kiukweli waafrika Kuna mahali hatupo sawa kabisa na huu ndio ukweli wenye akili pekee ndio wataweza kuuelewa na kuukubali . Mpaka mwaka huu wa 2022 bado tume lala usingizi na hatuoneshi hata dalili hata ya miaka ya karibuni kuamka . Afrika shida tupu.
 
Hilo ni swali zuri sana kwa kweli. I'd say kwamba you are very much right kwamba kipindi kile Marekani alivyokuwa akipigana vita baridi alipigana kotekote kuhakikisha anasimamisha mfumo wa dunia utakaomfavour yeye. Hata nchi za Asia alipigana, refer Vietnam War. Majibu yangu kwa nini Asia iliibuka ikiwa productive baada ya vita baridi nadhani ni combination ya uongozi bora mfano Singapore, Thailand, South Korea, Indonesia, uzalendo wa watu wa Asia plus the fact kwamba wamarekani waliona fursa ya uwingi wa watu wa Asia na kuamua kutengeneza win-win partnership.

Hakuna anayepinga win-win partneship kati ya Westerners na nchi za Afrika hata leo hii. Ila kwetu hapa sioni kama westerners walikuwa tayari kufanya partnership za aina hiyo kwa sababu wanazozijua wao.

Kuhusu kuwaacha China wakamate soko, hilo hata wao limewakamata by surprise. Hawapendi na hawakutegemea. Credit ziende kwa China aliyeweweza kuona fursa ambapo wamagharibi pamoja na ujanja wao hawakuiona. Nguvu ya China kwa sasa ni next level.
Naweza kusema katika Viongozi wenye akili nyingi na wajanja katika ngazi ya uchumi kuwahi kuwepo duniani naweza kusema ni Deng Xiaoping [ China ] na Lee Kuan Yew [ Singapore ] wote hawa ni wachina kwa asili . Namna Deng Xiaoping alivyo wapoteza West na wakaja kushtuka tayari wamechelewa tena kwenye tawala za mbele kabisa China wakati huo hata Deng mwenyewe hayupo, hakika Deng Xiaoping ni akili kubwa sana na ndio maana hata Mao Zedong mwenyewe alipendekeza Deng Xiaoping aje kuwa mrithi wake wa urais na uwenyekiti wa chama [ CPC ]kabla hawaja korofishana Deng Xiaoping ni akili kubwa Sana. sijutii kumkubali na kujifunza mengi kutoka kwake . Huyu bwana ni jembe haswa kuwahi kutokea katika upande wa uchumi 👇
636px-Deng_Xiaoping_and_Jimmy_Carter_at_the_arrival_ceremony_for_the_Vice_Premier_of_China._-_...jpg

dengxiaoping.jpg

Deng Xiaoping na Mao Zedong
1*FT_l778XG_flD5cgtv92sw.jpeg

16dcf53d6cc16d487b137c859d76c62e.jpg

Deng Xiaoping na Lee Kuan Yew
14281574802009159848.jpg
 
Hakika madini ya wachangiaji ktk uzi huu ni darasa kabisa kuhusu utawala wa nchi na nchi katika dunia hii.
 
Mbona yapo makampuni mengine ya mbegu hapo hapo kwenye hiyo website?


Halafu mbegu za Monsanto na soda za CocaCola wakati mbegu na soda zingine zinapatikana, ndiyo sababu za kuuwa viwanda tulivyoachiwa na wakoloni? Conspiracy theories tuu.

Ukitaka kujua kwa nini viwanda vilikufa msikilize Professor Ayittey achana na conspiracy theories


Nanavyoendelea kumsikiliza huyo Prof. Ayittey wako naanza kupata fununu halisi kwa nini wasomi wa Afrika mara zote badala ya kuwa asset kwa nchi zao wamegeuka kuwa liabilities. Anavyomnanga Mobutu kuwa ni miongoni mwa "leaky holes kwenye African cup" utafikiri basi ameongea cha maana. Aliyemuinstall Mobutu Congo ni nani kama siyo hao hao akina CIA ili waweze kubeba madini ya Congo bila kikwazo chochote? Baada kumuua Patrice Lumumba?

Hata hustuki huyo professor wako anatoa hotuba kwenye jukwaa la Marekani unategemea atatoa hotuba gani zaidi ya kujipendekeza na kujigonganga?
 
20 July 2022
Washington DC

TAARIFA YA KIKAO KIJACHO CHA RAIS BIDEN NA VIONGOZI WA AFRIKA / US - AFRICA SUMMIT 2022

Rais Joe Biden awaalika Viongozi wa Afrika kwa Majadiliano Washington

Taarifa ya Ikulu ya Marekani maarufu kama White House imetolewa kuelezea mwaliko wa Rais wa Marekani kwa viongozi wa mataifa ya Afrika, wakutane kujadiliana mjini Washington kuhusu masuala mbalimbali yanayoendelea duniani.

Masuala hayo ni kama ya usalama wa chakula / food security, Covid-19, ulinzi wa amani, demokrasia pia haki za binadamu, nafasi ya sekta binafsi za kibiashara n.k ambayo yamesababisha chumi nyingi za dunia kuyumba huku bara la Afrika lilikabiliwa vibaya zaidi na changamoto ya uchumi kuyumba na gharama za maisha kupaa.

Mkutano huo wa Rais Joe Biden na viongozi utafanyika December 13 -15 2022 jijini Washington na kutumika pia kuimarisha mahusiano yaliyopo ktk ya nchi za Afrika na nchi ya Marekani.

Statement by President Biden on the U.S.-Africa Leaders Summit​

I look forward to hosting leaders from across the African continent in Washington, DC on December 13-15, 2022, for the U.S.-Africa Leaders Summit. The Summit will demonstrate the United States’ enduring commitment to Africa, and will underscore the importance of U.S.-Africa relations and increased cooperation on shared global priorities.

The U.S.-Africa Leaders Summit will build on our shared values to better foster new economic engagement; reinforce the U.S.-Africa commitment to democracy and human rights; mitigate the impact of COVID-19 and of future pandemics; work collaboratively to strengthen regional and global health; promote food security; advance peace and security; respond to the climate crisis; and amplify diaspora ties.

I look forward to working with African governments, civil society, diaspora communities across the United States, and the private sector to continue strengthening our shared vision for the future of U.S.-Africa relations

Source: Statement by President Biden on the U.S.-Africa Leaders Summit | The White House
Hili ni jambo zuri kwa maendeleo ya bara la Afrika
 
Aidha hauna taaarifa sahihi au maksudi hutaki kukubali kuwa mazingira yaliyopelekea hivyo viwanda kufa ni mazingira yaliyowekwa kimkakati na hao hao wapanga mifumo ya uchumi wa dunia ili viwanda hivyo kwa vyovyote vile vife.

Sioni tofauti kati ya "Power Africa" ya Biden na SAPs za miaka ile. Ni mifumo ile ile ya kibeberu ya kutaka daima Africa libaki kuwa soko la magharibi. Kwani ufumbuzi wa tatizo la umeme halijulikani? Maliza bwawa la Nyerere siyo kujikusanya kama mazombi Washington.

Kwamba hivyo viwanda walivijenga wakoloni au viliachwa na wakoloni hilo ntakujibu baadae.
Viwanda tulivila na kuviua sisi wenyewe mkuu usisingizie wazungu.
Mbona sehemu nyingine havikufa km huko Indonesia? Au huko SAP haikuwepo
 
Hakuna sabotage Wala nini tumekula wenyewe viwanda.
Halafu nchi za Scandinavia ni za kibepari ila Wana practice ujamaa kwa kiasi kikubwa sana mfano elimu bure kabisa na ni Bora sana.
 
Baada ya kuchemka vibaya katika ziara yake ya middle East naona kibabu Biden sasa anageuzia shingo bara la Africa.

Ngoja tuone.
 
Nanavyoendelea kumsikiliza huyo Prof. Ayittey wako naanza kupata fununu halisi kwa nini wasomi wa Afrika mara zote badala ya kuwa asset kwa nchi zao wamegeuka kuwa liabilities. Anavyomnanga Mobutu kuwa ni miongoni mwa "leaky holes kwenye African cup" utafikiri basi ameongea cha maana. Aliyemuinstall Mobutu Congo ni nani kama siyo hao hao akina CIA ili waweze kubeba madini ya Congo bila kikwazo chochote? Baada kumuua Patrice Lumumba?

Hata hustuki huyo professor wako anatoa hotuba kwenye jukwaa la Marekani unategemea atatoa hotuba gani zaidi ya kujipendekeza na kujigonganga?

Lumumba alikuwa mkomunisti na enzi zile Marekani ilikuwa inapigana vita na ukomunisti sasa unafikiri CIA wangemuacha? Hata Urusi na KGB yao ilimfyeka Tom Mboya aliyeleta ubepari Kenya. Ndivyo dunia ilivyokuwa enzi za vita baridi. Msikilize Profesa Ayittey (R.I.P) mpaka mwisho, anatoa darasa zuri sana.
 
24 July 2022
Marrakech, Morocco

Day 3 at the U.S.-Africa Business Summit 2022


Source: Corporate Council of Africa

During the US – Africa Business Summit on July 19-22, 2022, in Marrakech, Morocco, held under the patronage of the King of Morocco, Onorio Manuel, MozParks General Manager together with Silvino Moreno, Minister of Industry and Commerce of Mozambique, were searching for investors to develop MozParks. The summit was the right place at the right time simply because it attracted policy makers, private senior executives, and leaders of key organizations from the United States and many African countries to Marrakech.

The participants gathered under theme “Building Forward Together” used as an opportunity to renew the multifaceted ties and scale up commitments between the United States and Africa. Much focus is on trade, investment and commerce. Together they were finding solutions in response to recent economic and health challenges, according to the programme of the summit.

On 20th July, the Building a Sustainable Food Ecosystem panel discussion explored the possibilities for public and private sectors to contribute to the creation of a sustainable agribusiness ecosystem and highlighted the significance of the vast resources African countries have available to achieve this goal.

Silvino Moreno, Minister of Industry and Commerce of Mozambique, one of the moderators at this discussion, talked about the necessity of creating agro-industrial value chains in Mozambique, which would make a big impact on sustainable development of the national economy. “With the increasing productivity of raw agricultural produce, the national agro processing should take care of preserving the food and delivering good quality products to consumers,” he said. Moreno also mentioned the importance of keeping the balance between exporting food produce and fulfilling the needs of the internal market.

Onorio Manuel, MozParks General Manager, in his speech to the audience of the Invest in Mozambique Session, presented the services that MozParks offers to its agribusiness tenants. That includes the incentives and advantages of SEZ, IFZ for Industrial Parks and Agro-Park Development in Mozambique.

He outlined the current policies that favour private investment and creating SMEs which will be illustrated by MozParks experience and achievements in the industry. “We choose locations for our industrial parks with a view of growing value chain economies with a special focus on creating employment opportunities for local communities,” said Manuel.

Over the last 22 years, MozParks has brought the Industrial Park Development in Mozambique to a level of international standards making it globally competitive. Currently, it hosts industrial and service companies from 17 countries. The strategic locations of the parks provide business opportunities for SMEs to grow around industrial giants and Megaprojects like Mozal Aluminium Smelter in Maputo Province and Kenmare Titanium Minerals Mine in Nampula Province.


MozParks has been addressing the task of developing and managing Agro-Industrial parks and Special Economic Zones. Topuito Agro-Industrial Park in Nampula has already opened its site to customers. MozParks is planning to develop four (4) new Agro-Industrial Parks in Cabo-Delgado Province within the next five (5) years. With an approximate population of 30 million, Mozambique is endowed with natural resources. It is a member of the Southern Africa Development Community (SADC) and the African Union (AU).
Source : MozParks at the U.S-Africa Business Summit 2022
 
28 July 2022
Johannesburg, RSA

Russia and the West are vying for influence in Africa and Ukraine is a big reason why​


ap22208776624728-531ba32fa382e0ceefee7c6d39d6a26226e2f74c-s1100-c50.jpg


Secretary of State Antony Blinken sits with Linda Thomas-Greenfield, U.S. ambassador to the United Nations, as they meet with African ministers at U.N. headquarters, May 18, 2022.
Eduardo Munoz/AP
JOHANNESBURG — Russian, French and American leaders are crisscrossing Africa to win support for their positions on the war in Ukraine, waging what some say is the most intense competition for influence on the continent since the Cold War.

Russian Foreign Minister Sergey Lavrov and French President Emmanuel Macron are each visiting several African countries this week. Samantha Power, head of the U.S. Agency for International Development, went to Kenya and Somalia last week. The U.S. ambassador to the U.N., Linda Thomas-Greenfield, will go to Ghana and Uganda next week.

"It's like a new Cold War is playing out in Africa, where the rival sides are trying to gain influence," said William Gumede, director of Democracy Works, a foundation promoting good governance.

Lavrov, in his travels across the drought- and hunger-stricken continent, has sought to portray the West as the villain, blaming it for rising food prices, while the Western leaders have accused the Kremlin of cynically using food as a weapon and waging an imperial-style war of conquest — words calculated to appeal to listeners in post-colonial Africa

Under President Vladimir Putin, Russia has been working to win support in Africa for several years, reinvigorating friendships that date back a half-century, when the Soviet Union backed many African movements fighting to end colonial rule.

"Now that campaign has gone into high gear," Gumede said.

Moscow's influence in Africa was on display in March during the U.N. vote to condemn Russia's invasion of Ukraine. While 28 African nations voted in favor of the resolution, a significant minority of countries on the continent — 25 — either voted to abstain or did not vote at all.

Russia's top diplomat this week visited Egypt, Congo, Uganda and Ethiopia, pledging friendship and charging the U.S. and European countries with driving up food prices by pursuing "reckless" environmental policies. He also accused them of hoarding food during the COVID-19 pandemic.

"The situation in Ukraine did additionally negatively affect food markets, but not due to the Russian special operation, rather due to the absolutely inadequate reaction of the West, which announced sanctions," Lavrov said in Addis Ababa, Ethiopia's capital.

Lavrov was warmly received in Uganda by President Yoweri Museveni, who for years has been a U.S. ally but has refused to criticize Russia over the invasion. Museveni even suggested at the outbreak of the war that Putin's actions might be understandable because Ukraine is in Russia's sphere of influence.

Lavrov voiced support for reform of the U.N. Security Council to give African countries permanent seats and greater influence.

Appearing with Lavrov, the Ugandan leader spoke fondly of old ties with Russia, asking how he could spurn Moscow when he has good relations with countries that participated in slavery.

Museveni, an opinion leader on the continent who has held power for three decades, is an obvious choice for Russia as someone to strengthen ties with, said Ugandan political analyst Asuman Bisiika.

"Uganda is the center of gravity in East Africa," Bisiika said.

Museveni, 77, has been strictly wearing a mask in public since the COVID-19 outbreak. But he did not have one on when greeting Lavrov in front of photographers, apparently wanting to show warmth to the Russian. Museveni had a mask back on in his next public appearance a day later.

Russia is also courting African public opinion through its state television network, RT, formerly known as Russia Today. RT has announced that it will open a new bureau in Johannesburg.

RT was abruptly removed from Africa's biggest pay-TV platform in Africa, Johannesburg-based Multichoice, in March after the European Union and Britain imposed sanctions against Russia. It is not clear whether establishing the new bureau will enable RT to resume broadcasts to Africa through Multichoice, which claims nearly 22 million subscribers on the continent.

"For Russia, it is the battle to be heard in Africa. It is not important for the actual war effort but for their long-term political influence," Anton Harber, professor of journalism at the University of the Witwatersrand in South Africa. "They see it as fertile ground to cultivate their influence, and, of course, votes in the U.N. are important."

On his tour of Africa, France's Macron accused the Kremlin of using TV channels like RT to spread propaganda in support of the war. And he charged the Kremlin with blackmailing the world by thwarting the export of grain from Ukraine.

"They are blackmailing because they are the ones who blocked cereals in Ukraine. They are the ones who regulate their cereals," he said in Benin. His itinerary also included Cameroon and Guinea-Bissau.

Macron appealed to Africans to side against Russia.

"I'm telling you here in Africa, a continent that has suffered from colonial imperialism: Russia is one of the last colonial, imperial powers. She decides to invade a neighboring country to defend her interests," he said. "That's the reality."

Power, the top U.S. AID official, was in East Africa to pledge aid to help the region's fight against hunger amid a devastating multi-year drought. She did not hold back in criticizing Russia.

"By blockading Ukraine's grain exports and restricting the trade of Russia's own fertilizer, Putin's actions have had the consequence of inflicting pain on the people of Kenya and on other countries throughout the world," Power said in Nairobi. "He is hurting the people of Kenya in order to benefit his own situation."

Source : Npr.org
 
13 December 2022
Washington DC

U.S.-Africa Leaders Summit​


1670896788490.png


President Biden is hosting leaders from across the African continent in Washington, DC on December 13-15, 2022, for the U.S.-Africa Leaders Summit. All livestreams for the U.S.-Africa Leaders Summit will be accessible on this page.

The Summit will demonstrate the United States’ enduring commitment to Africa, and will underscore the importance of U.S.-Africa relations and increased cooperation on shared global priorities.
Africa will shape the future — not just the future of the African people, but of the world. Africa will make the difference in tackling the most urgent challenges and seizing the opportunities we all face.


Africa Will Shape the Future


The U.S.-Africa Leaders Summit will build on our shared values to better:
  • Foster new economic engagement
  • Advance peace, security, and good governance
  • Reinforce commitment to democracy, human rights, and civil society
  • Work collaboratively to strengthen regional and global health security
  • Promote food security
  • Respond to the climate crisis
  • Amplify diaspora ties
  • Promote education and youth leadership

I look forward to working with African governments, civil society, diaspora communities across the United States, and the private sector to continue strengthening our shared vision for the future of U.S.-Africa relations.
JOSEPH R. BIDEN
PRESIDENT OF THE UNITED STATES
Source : U.S.-Africa Leaders Summit - United States Department of State
 
Nimeona Mama naye kaenda

Everything Paid for by the USGov
 
13 December 2022
Washington DC

U.S.-Africa Leaders Summit​


View attachment 2444486

President Biden is hosting leaders from across the African continent in Washington, DC on December 13-15, 2022, for the U.S.-Africa Leaders Summit. All livestreams for the U.S.-Africa Leaders Summit will be accessible on this page.

The Summit will demonstrate the United States’ enduring commitment to Africa, and will underscore the importance of U.S.-Africa relations and increased cooperation on shared global priorities.
Africa will shape the future — not just the future of the African people, but of the world. Africa will make the difference in tackling the most urgent challenges and seizing the opportunities we all face.


Africa Will Shape the Future


The U.S.-Africa Leaders Summit will build on our shared values to better:
  • Foster new economic engagement
  • Advance peace, security, and good governance
  • Reinforce commitment to democracy, human rights, and civil society
  • Work collaboratively to strengthen regional and global health security
  • Promote food security
  • Respond to the climate crisis
  • Amplify diaspora ties
  • Promote education and youth leadership


Source : U.S.-Africa Leaders Summit - United States Department of State
Hivi wanavyowaita na nauli wanawalipia au zinatumika kodi za waafrica?maana najua hakuna cha maana atatuambia.
 
Human rights hapo ndio panapojadiliwa zaidi ushoga
Na kutaka kuwadanganya kuhusu China na misaada yake
 
Back
Top Bottom