Rais Joe Biden azuru Kyiv, Ukraine Februari 20, 2023

Rais Joe Biden azuru Kyiv, Ukraine Februari 20, 2023

Sio chini ya SOMALIABlog original ya Kiv imeandika kuwa USA Waliwasiliana na Russia kabla ya ziara ya Biden Kiv .

#Сплетни
The Associated Press (AP) has confirmed the gossip we previously published .

Before Biden's trip to Kyiv, the United States contacted Russia to rule out miscalculations that could lead to a confrontation between the two nuclear powers

Sent using Jamii Forums mobile app

Tupe link ya hiyo AP walipoconfirm tusome wenyewe tafadhari
 
Marekani iliiiomba Urusi isitishe mashambulizi wakati wa ziara ya Biden Ili kuepusha madhara na ugonjwa wa moyo na presha kwa babu Yao..Cha ajabu Ukrain wakabonyeza switch ya king'ora Ili kilie pasipo kujua big boys wanachati inbox kwamba bro Leo usirushe kombora kwa hawa madogo Ili Babu atoke salama
IMG_20230220_185614.jpg
 
Sio chini ya SOMALIABlog original ya Kiv imeandika kuwa USA Waliwasiliana na Russia kabla ya ziara ya Biden Kiv .

#Сплетни
The Associated Press (AP) has confirmed the gossip we previously published .

Before Biden's trip to Kyiv, the United States contacted Russia to rule out miscalculations that could lead to a confrontation between the two nuclear powers

Sent using Jamii Forums mobile app
Yaani mmarekani amwombe mrusi hivi vichekesho mnatoaga wap
 
Hakuna lolote russia akiamua kushambulia anashambulia hila kuna mikataba inalinda viongozi kwani unafikiri hata russia hawajui anapolala zelensky
Kwahiyo wanapajua afu wanaohogopa kumkamata aubkumuua we jamaa ni hatari sana. Vp ule msafara km60 nq ule mkwala wa ajosalimishe ulishia wap
 
Rais wa Marekani, Joe Biden atembelea Kyiv baada ya safari ya masaa 9 kwa treni kutoka Poland ambapo amewasili asubuhi ya leo

US president Joe Biden is on a surprise visit to Kyiv, where he's meeting with President Zelensky ahead of the one-year mark of Putin’s full-scale invasion of Ukraine. He left overnight and arrived by train in Kyiv this morning. He and Zelensky just visited St. Michael's Square.

Wakati huo huo Urusi imejiandaa shambulia Kyiv kwa makombora

Vingora vyalia sehemu mbali mbali za Ukraine

Jeshi la Marekani liko katika utayari nchini Poland.

Treni tena kwani ndege hakuna
 

Rais wa marekani Joe Biden amewasili ukraine ikiwa ni ziara ya ghafra na anatarajia kufanya mazungumzo na mwenzake wa Ukraine zelensky.​

============================

Biden arrives in Kyiv​

US President Joe Biden has arrived in Kyiv – his first visit to Ukraine since Russia invaded almost a year ago.
The surprise visit came as he travelled to neighbouring Poland to meet President Andrzej Duda.
There had been speculation earlier today that an important guest was arriving in the Ukrainian capital, which Ukrainian politician Lesia Vasylenko has confirmed is Biden.
Stay with us as we bring you the latest.

View attachment 2523986

Hakuna ziara ya ghafla duniani
 
Kaingia kwa siri sana hata baadhi ya mafisa wa white House walikuwa hawajui kama jamaa katua Ukraine.. USA nao wamefikia hatua ya kuficha siri za safari za raisi kukwepa hujuma kutoka kwa urusi.....
Ndio maana katumia treni
 
Back
Top Bottom