Rais Joe Biden azuru Kyiv, Ukraine Februari 20, 2023

Rais Joe Biden azuru Kyiv, Ukraine Februari 20, 2023

Kuna watu wanajipoza kuwa waliwasiliana kwanza.
Kuna watu eti ndio wameweka hii link. Hivi pro russia huwa ni wendawazimu au? Mtu mwenye akili anaita hii ndio source kweli?
Tupe link ya hiyo AP walipoconfirm tusome wenyewe tafadhari

Marekani iliiiomba Urusi isitishe mashambulizi wakati wa ziara ya Biden Ili kuepusha madhara na ugonjwa wa moyo na presha kwa babu Yao..Cha ajabu Ukrain wakabonyeza switch ya king'ora Ili kilie pasipo kujua big boys wanachati inbox kwamba bro Leo usirushe kombora kwa hawa madogo Ili Babu atoke salamaView attachment 2524255
 
Rais wa Marekani, Joe Biden atembelea Kyiv baada ya safari ya masaa 9 kwa treni kutoka Poland ambapo amewasili asubuhi ya leo

US president Joe Biden is on a surprise visit to Kyiv, where he's meeting with President Zelensky ahead of the one-year mark of Putin’s full-scale invasion of Ukraine. He left overnight and arrived by train in Kyiv this morning. He and Zelensky just visited St. Michael's Square.

Wakati huo huo Urusi imejiandaa shambulia Kyiv kwa makombora

Vingora vyalia sehemu mbali mbali za Ukraine

Jeshi la Marekani liko katika utayari nchini Poland.

Putin kwisha habari yake toka watu wako porini vita ilipoanza mapaka sasa wana visit mchana kweupee tena mji mkuu Kyiv, wakati yeye putin ameshindwa ata kusogeza pua yake pale mpakani
 
Hakuna lolote russia akiamua kushambulia anashambulia hila kuna mikataba inalinda viongozi kwani unafikiri hata russia hawajui anapolala zelensky
Mkuu putin alimtaka Zelensky amchukue ili asimamishe kibaraka mwengine Kyiv mpaka leo imeshindikana, wakala shaba za nguvu sasa wako pemben pemben huko wanakata mbuno
 
Kama utakuwa umesikiliza taarifa ya habari ya DW leo jioni wamesema hivi Marekani iliitaarifu Urusi juu ya ujio wa Biden nchini Ukrain sasa nadhani twende sambamba
Kutaarifiwa Urusi maana yake anaambiwa kama ni mwanamme aangushe japo kacheche kadogo jirani na Biden aone mziki wa US na Nato., kama mpango ni huo basi Putin na yeye aombe ruhusa akaonane na wanajeshi wake kule site
 
Rais wa Marekani, Joe Biden atembelea Kyiv baada ya safari ya masaa 9 kwa treni kutoka Poland ambapo amewasili asubuhi ya leo

US president Joe Biden is on a surprise visit to Kyiv, where he's meeting with President Zelensky ahead of the one-year mark of Putin’s full-scale invasion of Ukraine. He left overnight and arrived by train in Kyiv this morning. He and Zelensky just visited St. Michael's Square.

Wakati huo huo Urusi imejiandaa shambulia Kyiv kwa makombora

Vingora vyalia sehemu mbali mbali za Ukraine

Jeshi la Marekani liko katika utayari nchini Poland.

Kaenda kwa kujificha kama paka
 
Kaingia kwa siri sana hata baadhi ya mafisa wa white House walikuwa hawajui kama jamaa katua Ukraine.. USA nao wamefikia hatua ya kuficha siri za safari za raisi kukwepa hujuma kutoka kwa urusi.....
Umeipata wapi hiyo ya kuwa hata baadhi ya maafisa wa white house hawajui.
 
Putin kwisha habari yake toka watu wako porini vita ilipoanza mapaka sasa wana visit mchana kweupee tena mji mkuu Kyiv, wakati yeye putin ameshindwa ata kusogeza pua yake pale mpakani
HUjui kitu Putin ameshasafiri mara kibao tena kwa gari akiendesha yeye mwenyewe akapita kwenye daraja lilokuwa limevunjwa. Biden yeye katembea usiku kucha kwa train na uzee huo atakuwa amepata shida sana kwa safari hiyo.
 
Back
Top Bottom