Rais Joe Biden azuru Kyiv, Ukraine Februari 20, 2023


Tupe link ya hiyo AP walipoconfirm tusome wenyewe tafadhari
 
Marekani iliiiomba Urusi isitishe mashambulizi wakati wa ziara ya Biden Ili kuepusha madhara na ugonjwa wa moyo na presha kwa babu Yao..Cha ajabu Ukrain wakabonyeza switch ya king'ora Ili kilie pasipo kujua big boys wanachati inbox kwamba bro Leo usirushe kombora kwa hawa madogo Ili Babu atoke salama
 
Yaani mmarekani amwombe mrusi hivi vichekesho mnatoaga wap
 
Hakuna lolote russia akiamua kushambulia anashambulia hila kuna mikataba inalinda viongozi kwani unafikiri hata russia hawajui anapolala zelensky
Kwahiyo wanapajua afu wanaohogopa kumkamata aubkumuua we jamaa ni hatari sana. Vp ule msafara km60 nq ule mkwala wa ajosalimishe ulishia wap
 
Treni tena kwani ndege hakuna
 
Hakuna ziara ya ghafla duniani
 
Kaingia kwa siri sana hata baadhi ya mafisa wa white House walikuwa hawajui kama jamaa katua Ukraine.. USA nao wamefikia hatua ya kuficha siri za safari za raisi kukwepa hujuma kutoka kwa urusi.....
Ndio maana katumia treni
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…