Mwanasiasa mtata
JF-Expert Member
- Oct 25, 2022
- 1,520
- 3,781
Ficha ujinga. Putini sio mjinga. Biden amekwenfa kama marais wengine waliotembelea kyiv wakati wa vita, wamekwenda marais wa UK, France, Germany, Poland, rais wa umoja wa ulaya, kiongozi wa NATO nk nk. Hapa hakuna deal na vita ina sheria zakeKaka nimeishaipata,sasa nikuulize ni kipi kimemfanya Putin akaufyata na kupisha mwenye nguvu kuvinjari mitaa ya Kyiv bila wasi wasi kabisa? Huoni ulikuwa wasaa mzuri kabisa wa Putin kuionyesha US kuwa yeye hajaribiwi?
Hujaeleweka.Sasa unampangia adui yako afanye unavyotaka sasa hivo vitakua ni vita au maigizo
Ndiyo mmeamua kujifichia hapo,sasa alivyotaarifiwa si ndiyo sasa angeonyesha makeke yake.Kumbe kataarifiwa na akaufyata kimya kama hayupo vile.
Ficha ujinga.
Kitendo cha kum alert ni kitendo cha kuomba poo.Ndiyo mmeamua kujifichia hapo,sasa alivyotaarifiwa si ndiyo sasa angeonyesha makeke yake.Kumbe kataarifiwa na akaufyata kimya kama hayupo vile.
Je ulisikia chochote kutoka kwa Putin Biden jana alipokuwa Kyiv? Putin hajaondoka Russia toka vita ianze anajifungia tu na kubadilisha walinzi wake kila leo, maamae hofu imemtandaHUjui kitu Putin ameshasafiri mara kibao tena kwa gari akiendesha yeye mwenyewe akapita kwenye daraja lilokuwa limevunjwa. Biden yeye katembea usiku kucha kwa train na uzee huo atakuwa amepata shida sana kwa safari hiyo.
Wtu mnajadili masuala muhimu yaliyobeba mustakabali wa dunia, kama vile mnajadili habari za simba na Yanga!Kaka nimeishaipata,sasa nikuulize ni kipi kimemfanya Putin akaufyata na kupisha mwenye nguvu kuvinjari mitaa ya Kyiv bila wasi wasi kabisa? Huoni ulikuwa wasaa mzuri kabisa wa Putin kuionyesha US kuwa yeye hajaribiwi?
Walau wewe umekuwa objective zaidi katika hii comment kuliko hao wengine wanaotuletea blah blah za 'Bideni kuomba poo'Wtu mnajadili masuala muhimu yaliyobeba mustakabali wa dunia, kama vile mnajadili habari za simba na Yanga!
Unadhani Putin akiwa anafanya ziara zake Marekani huwa hawajui? Nini huwa kinawafanya wasijipenyeze na kumshambulia Putin?
Hii dunia iko very complex kuliko ushabiki wenu. Warusi wanajua, kumgusa rais wa marekani ni kuanzisha vita ya dunia. Upande wa pili, Marekani pia wanajua kumgusa Putin ni kutangaza vita ya nyuklia. Wote wawili hawako tayari kufanya hivyo!
Ndio maana wanataarifiana.
NB: viongozi wengi tu wa ulaya wameshuka hapo Kiev na kuondoka salama. Wakubwa wanajua wanachokifanya!
Ulitaka RUSSIA afanye nini ili kuionesha DUNIA kua hajaribiwiKaka nimeishaipata,sasa nikuulize ni kipi kimemfanya Putin akaufyata na kupisha mwenye nguvu kuvinjari mitaa ya Kyiv bila wasi wasi kabisa? Huoni ulikuwa wasaa mzuri kabisa wa Putin kuionyesha US kuwa yeye hajaribiwi?
OkKitendo cha kum alert ni kitendo cha kuomba poo.
Aliheshimu sheria za UN zakutoshambulia wanadiplomasiaAlivyotaarifiwa kafanya nini sasa zaidi ya kutii maagizo aliyopewa kutoka WH
Nimemuelewa tu mtu mmoja hapa amecomment very objective.Nyinyi wengine tuendelee kuongea kama tunabishana mambo ya Simba na YangaUlitaka RUSSIA afanye nini ili kuionesha DUNIA kua hajaribiwi
Kwanini US asingeenda pale bila taarifa kwa MOSCOW ili kuionesha DUNIA kua yeye hatishiki na wala hatishwiii !!!??
PUT IN yupi [emoji16][emoji23][emoji16]Je ulisikia chochote kutoka kwa Putin Biden jana alipokuwa Kyiv? Putin hajaondoka Russia toka vita ianze anajifungia tu na kubadilisha walinzi wake kila leo, maamae hofu imemtanda
Usichokijua ni kwamba US ina-control Urusi.Wtu mnajadili masuala muhimu yaliyobeba mustakabali wa dunia, kama vile mnajadili habari za simba na Yanga!
Unadhani Putin akiwa anafanya ziara zake Marekani huwa hawajui? Nini huwa kinawafanya wasijipenyeze na kumshambulia Putin?
Hii dunia iko very complex kuliko ushabiki wenu. Warusi wanajua, kumgusa rais wa marekani ni kuanzisha vita ya dunia. Upande wa pili, Marekani pia wanajua kumgusa Putin ni kutangaza vita ya nyuklia. Wote wawili hawako tayari kufanya hivyo!
Ndio maana wanataarifiana.
NB: viongozi wengi tu wa ulaya wameshuka hapo Kiev na kuondoka salama. Wakubwa wanajua wanachokifanya!
Shida mnabishana na ukweliNimemuelewa tu mtu mmoja hapa amecomment very objective.Nyinyi wengine tuendelee kuongea kama tunabishana mambo ya Simba na Yanga
Aende akaishi anangojea nnUsichokijua ni kwamba US ina-control Urusi.
Kwa maana nyingine ni kwamba Biden akiamua aishi Ukraine, vita itakuwa imeisha kwasababu vijana wa putin hawatafanya shambulio lolote ndani ya UKRAINE kwasababu ya uwepo wa Biden ila mwambie yule babu asogeze pua lake kwenye ukingo Odesa oine mizinga itakavyomiminika ndani ya ilo eneo.
Sasa mbona unajichanganya mwenyewe,mara aliheshimu sheria za UN,mara US kaonyesha udhaifu,kwa hiyo US alionyesha udhaifu kwa kufuata sheria za UN za kutoa taarifa lakini Putin yeye kuheshimu hizo sheria za UN za kutokushambulia wana Diplomasia siyo kuonyesha udhaifu?Aliheshimu sheria za UN zakutoshambulia wanadiplomasia
Kama alivyowaheshimu kina stoltenberg na wengineo woote
Kwanini WH ilitoa taarifa MOSCOW wakat anaenda UKRAINE
Yaani uende kenya halaf utoe taarifa Uganda
Us kaonesha udhaifu haswaaa
Nipo salama kabisa Kaka,kupotea ni majukumu wakati mwingine yanatufanya tuwe tunachungulia tu na ku comment hapa na pale mara chache.Shida mnabishana na ukweli
Muliamini kwamba jamaa kakurupuka tu kwenda bila taarifa kama ulivyodai hpo juuu
Muda huu tena baada ya kuona kama jamaa alitoa taarifa munageuka
Ukweli nikwamba taarifa ilitoka halaf kama kuna mengine yanaingia hapa
Ila hope uko salama dada ake maana umepotea kwel kwel
Jiandae kusikiliza hotuba ya RAIS wa TAIFA na DUNIA