Rais Joe Biden azuru Kyiv, Ukraine Februari 20, 2023

Biden kaingia kwa siri kubwa sana huko Ukraine hata maafisa wa white house wengi wao walikuwa hawajui kama kuna safari ya rais Kenda Ukraine...US nao wamekuwa waoga sasahivi ..wamedhihilisha wazi kuwa wanamuogopa Urusi
Mkuu punguza basi kutudanganya,yani aingie kwa siri sana hata maafisa wa WH wasijue halafu wewe wa hapa kwa Mama Samia ujue details zote.
 
Nyamizi nakuaminia sana kutoka na uwepo wako kila siku kwenye jukwaa hill... sitaki nikupakulie taarifa hapa neenda mwenyewe bbc utaona hiyo taarifa imeandikwa kwa uwazi kabisa kuwa hata baadhi ya maafisa white House walikuwa hawajui hiyo ratiba... wamepata taarifa jamaa keshapaa aeaelekea Ukraine......
 
Trip controvesial huwa zinakuwa siri ili kuzuia taarifa kuvuja na wabaya kuzitumia.
Wengi walijua Biden yuko Poland.

Hata kipindi Bush, Trump wameenda Iraq ilikuwa siri tu
 
Sio chini ya SOMALIA
Kwa taarifa yako muda huo anga la Ukraine liko chini ya US
Blog original ya Kiv imeandika kuwa USA Waliwasiliana na Russia kabla ya ziara ya Biden Kiv .

#Сплетни
The Associated Press (AP) has confirmed the gossip we previously published .

Before Biden's trip to Kyiv, the United States contacted Russia to rule out miscalculations that could lead to a confrontation between the two nuclear powers

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sio chini ya SOMALIABlog original ya Kiv imeandika kuwa USA Waliwasiliana na Russia kabla ya ziara ya Biden Kiv .

#Сплетни
The Associated Press (AP) has confirmed the gossip we previously published .

Before Biden's trip to Kyiv, the United States contacted Russia to rule out miscalculations that could lead to a confrontation between the two nuclear powers

Sent using Jamii Forums mobile app
Yes hili ni muhimu kufanyika.
Us asingeweza kuingia kichwakichwa bila Kyiv na Russia kujua kwani kumgusa Biden ni vita ya Dunia
 
Nyamizi nakuaminia sana kutoka na uwepo wako kila siku kwenye jukwaa hill... sitaki nikupakulie taarifa hapa neenda mwenyewe bbc utaona hiyo taarifa imeandikwa kwa uwazi kabisa kuwa hata baadhi ya maafisa white House walikuwa hawajui hiyo ratiba... wamepata taarifa jamaa keshapaa aeaelekea Ukraine......
Hizi details zimetolewa kila mahari hiyo BBC,CNN,Aljazeera,FOX News na vyombo vyote.Nachokukatalia ni kusema Security Officers wa WH walikuwa hawafahamu wakati kumekuwa na preparations za hiyo safari kwa muda mrefu sana unless uwe unamanisha hawa maafisa wa kawaida tu.Pengine naweza kubaliana na wewe kuwa uamuzi rasmi wa siku gani anakwenda Kyiv kautoa Biden siku ya Ijumaa kwa mujibu wq CNN
 
Back
Top Bottom