Nyamizi
Platinum Member
- Feb 19, 2009
- 9,186
- 13,757
Nimesikiliza hotuba yote ,matarajio yangu na uhalisia wa hotuba yake imekuwa kinyume kabisa.Haikuwa ile hotuba ya makeke na mikwara ya kutosha ya kuhusu Western na usaidizi wao kwa ukraine.Huko mwanzo Putin alikuwa ananyooka moja kwa moja kwenye mikwara.Shida mnabishana na ukweli
Muliamini kwamba jamaa kakurupuka tu kwenda bila taarifa kama ulivyodai hpo juuu
Muda huu tena baada ya kuona kama jamaa alitoa taarifa munageuka
Ukweli nikwamba taarifa ilitoka halaf kama kuna mengine yanaingia hapa
Ila hope uko salama dada ake maana umepotea kwel kwel
Jiandae kusikiliza hotuba ya RAIS wa TAIFA na DUNIA
Putin amekiri hii ni vita na siyo SMO na kuwalaumu Western kwa kuwa chanzo cha hii vita.Nyie mnaosema kila siku hapa kuwa hiyo ni SMO nadhani sasa mtaheshimu kauli ya Putin kuwa hii ni Vita.