Rais Kagame amejenga nyumba kwa wasio na uwezo wa kujenga makazi bora, wengi wao ni wazee.

Kagame akili kubwa.
Akili kubwa ni Prezidenti Bulldozer anayewaandaa vijana mapema ili hatimaye waweze kununua viwanja vyao wenyewe na kujenga makazi yao wenyewe na mahali wapendapo wenyewe bila kuilalia na kuielemea serikali. Utegemezi wa aina yoyote kwa mtu mwenye potential ni ugonjwa hatari sana usioweza kuponyeka, hata kama wangekuja wale madaktari wa India wanaohamishia moyo mgongoni, ubongo tumboni na kesho yake mtu anatembea.
 
Akili kubwa wapi bwana nchi ya ruanda sawa na mkoa wa kibaha utashindwaje kujenga hebu tuache kujifananisha na rwanda ni aibu
Wajibu hao wanaotumia mishipa ya damu kufikiri.


As a matter of fact, Prisident K is making his people slaves, dependants, and exiles in the very land of their own.
 
Hivi Tanzania tunakwama wapi
Unajua ukubwa wa Rwanda na idadi ya watu? Unahisi ni kitu sawa kutengeneza udhaifu na morali ya kutafuta kwa wananchi? Utakula na kuishi kwa jasho lako popote duniani hapa,na huwezi fananisha maisha ya nchi moja na nyingine duniani kote,ni ufinyu wenu tu wa kifikra
 
Hata kama Rwanda ingekuwa a thousand times as big as our country, bado strategy yake hii kuhusiana na sustainable economic development & poverty alleviation ingekuwa unreasonable, irresponsible na pia ni human rights abuse.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…