Rais Kagame amejenga nyumba kwa wasio na uwezo wa kujenga makazi bora, wengi wao ni wazee.

Mwamba mtu wa propaganda sana na amefanikiwa pakubwa sana kuwabrainwash wakurungwa wa bara
 
Anawaandaa vijana mapema kwa mikakati ipi?
 
Kenya wameshafanya hivyo kama walivyofanya Rwanda...

Kama ujui kitu kaa kimya

Wewe mtz mpiga mapambio ht ule ujenzi wa pale magomeni Ni shida kuukamlisha, je mtaweza kugawa nyumba kwa raia?
 
Kenya wameshafanya hivyo kama walivyofanya Rwanda...

Kama ujui kitu kaa kimya

Wewe mtz mpiga mapambio ht ule ujenzi wa pale magomeni Ni shida kuukamlisha, je mtaweza kugawa nyumba kwa raia?
 
Kulemaza uwezo binafsi wa mtu ni kumletea kila kitu hapo alipo asijue namna ya kupambana ndio anachokifanya huyo mtawala wa Rwanda, Awape kazi za kufanya sasa hicho chakula kikiisha si watarudi tena kwa rais kuomba chakula maana hawana shughul za kuingiza kipato
 
Unajua hao waliosaidiwa mostly ni wazee ambao wali survive genocide,wengine ni walemavu,wengine watoto wao walikufa wote kwny genocide hawana wa kuwasaidia.

Au ulitaka wasaidiwaje?maana kama ni kufanya kazi wanalima na kufuga kila siku za maisha yao.
 
Kenya wameshafanya hivyo kama walivyofanya Rwanda...

Kama ujui kitu kaa kimya

Wewe mtz mpiga mapambio ht ule ujenzi wa pale magomeni Ni shida kuukamlisha, je mtaweza kugawa nyumba kwa raia?
Kama ninyi na Mr Mzungu mlikataa kwamba hospitals na schools na barabara siyo maendeleo, wakijenga nyumba hizo si mtaandamana hadi kwa Shevchenko & Trump!???
 
Zile pesa zetu zinatosha kabisa kufuta umaskini wa kutupa pale rwanda
 
Ata comoros Ni ndogo Ila Ni tajiri kuliko Tanzania mabongo lala
 
Ndio zikoje mdau.
Syndromes ndiyo hizo vitabia vya kumsifusifu Mzungu na kumwona kila kitu na mkamilifu wakati lengo lao kuendelea kukwapua rasilimali za Afrika kama kawaida yao since old colonialism to neo-colonialism.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…