Jasmoni Tegga
JF-Expert Member
- Oct 28, 2020
- 12,624
- 24,751
Kwani hujaona JPM anawarudishia watu wa sampuli hiyo ardhi yao mlioikwapua na kuwadhulumu hapa kwetu!???Unajua hao waliosaidiwa mostly ni wazee ambao wali survive genocide,wengine ni walemavu,wengine watoto wao walikufa wote kwny genocide hawana wa kuwasaidia.
Au ulitaka wasaidiwaje?maana kama ni kufanya kazi wanalima na kufuga kila siku za maisha yao.
Syndromes ndiyo hizo vitabia vya kumsifusifu Mzungu na kumwona kila kitu na mkamilifu wakati lengo lao kuendelea kukwapua rasilimali za Afrika kama kawaida yao since colonialism.
jaman kanchi kenyewe kama mkoaView attachment 1684151
View attachment 1684152
View attachment 1684153
Kila aliyekabidhiwa funguo za nyumba alipewa na chakula cha kuanzia maisha. Kijiji kina huduma zote za jamii, kuanzia shule, hospitali, kituo cha Polisi, soko, umeme, maji na barabara.
Kwani hujaona JPM anawarudishia watu wa sampuli hiyo ardhi yao mlioikwapua na kuwadhulumu hapa kwetu!???
Kwani kabla ya kupewa hicho chakula walikuwa wanaishi vipiKulemaza uwezo binafsi wa mtu ni kumletea kila kitu hapo alipo asijue namna ya kupambana ndio anachokifanya huyo mtawala wa Rwanda, Awape kazi za kufanya sasa hicho chakula kikiisha si watarudi tena kwa rais kuomba chakula maana hawana shughul za kuingiza kipato
Sasa hapa kwetu Tanzania ooooolisikia wapi kuna genocide survivors!???H
Huku NHC ndio inatumwa na serikali wauze kwa mil 35 kwa nyumba ya kima cha chini sasa mzee kama huyu iyo pesa ataipata wapi hata angeambiwa mil 3 hawezi ndio muijue serikali yenu.
Hapo sasa, halafu ukute ndio hawahawa wanaotaka eti kuchukua dola wakae Ikulu pale Chamwino!???Kuna ushabiki mwingine ni wa kipumbavu sana sasa hii ndio habari? Haina kichwa wala miguu.
Una kasoro kubwa tu ya malezi; siyo kosa lako wala hata.[emoji867][emoji867][emoji867]
Aisee,eti ikulu wapewe mataahira!!Hapo sasa, halafu ukute ndio hawahawa wanaotaka eti kuchukua dola wakae Ikulu pale Chamwino!???
Mwenye kasoro ya malezi ni yule anaedanganya umma wa Watanzania na ulimwengu kwa ujumla kuwa Corona iliondolewa Tanzania kwa maombi ya siku tatu!Una kasoro kubwa tu ya malezi; siyo kosa lako wala hata.
Ila na wao midomo imewekwa Super Glue......View attachment 1684151
View attachment 1684152
View attachment 1684153
Kila aliyekabidhiwa funguo za nyumba alipewa na chakula cha kuanzia maisha. Kijiji kina huduma zote za jamii, kuanzia shule, hospitali, kituo cha Polisi, soko, umeme, maji na barabara.
Mlisema watu wataokotwa mitaani wakiwa wamekufa kama kuku. Sasa, hivi, mshawaokota wangapi hadi sasa, kimfano!???Mwenye kasoro ya malezi ni yule anaedanganya umma wa Watanzania na ulimwengu kwa ujumla kuwa Corona iliondolewa Tanzania kwa maombi ya siku tatu!
Ila na wao midomo imewekwa Super Glue......
Ni mwendo wa Ndio Mzeee....
Kagame anaingia mbinguni!Ni mwizi anayeiba na kugawa kwa wasionacho.That "long person" is amazing!ππππView attachment 1684151
View attachment 1684152
View attachment 1684153
Kila aliyekabidhiwa funguo za nyumba alipewa na chakula cha kuanzia maisha. Kijiji kina huduma zote za jamii, kuanzia shule, hospitali, kituo cha Polisi, soko, umeme, maji na barabara.
Binafsi sipendelei serikali kuwajengea watu nyumba. Serikali haina uwezo wa kujengea watu wote nyumba na suala zima haliko sustainable.Unajua ukubwa wa Rwanda na idadi ya watu? Unahisi ni kitu sawa kutengeneza udhaifu na morali ya kutafuta kwa wananchi? Utakula na kuishi kwa jasho lako popote duniani hapa,na huwezi fananisha maisha ya nchi moja na nyingine duniani kote,ni ufinyu wenu tu wa kifikra
Barakoa zipo wapi?View attachment 1684151
View attachment 1684152
View attachment 1684153
Kila aliyekabidhiwa funguo za nyumba alipewa na chakula cha kuanzia maisha. Kijiji kina huduma zote za jamii, kuanzia shule, hospitali, kituo cha Polisi, soko, umeme, maji na barabara.