Rais Kamuzu Banda alizitaka Mbeya, Njombe na Songea kuwa sehemu ya Malawi

Daaah kweli unajua Raman vizuri
Kule mambwe Kenya kalembe mpanga kasyesya
Watu wenye akili wanajua kuzitumia vzr kweli kweli wazalendo naamin wameelewa
 
Sisi ambao tuko mipakani karibu na Malawi ikitokea tukapiga kura ya kuwa sehemu ya Malawi hatukatai.Malawi kunamifumo mizuri ya kielimu,kiuchumi , kibiashara na,kijamii kuliko Tanzania.
Hamia huko wewe kwan umezuiliwa
Kwa nn hadi usubir kupiga kura?
 
Naomba kujua kuhusu ziwa Victoria
 
KENYA nao waje wadai mlima wao tulio wataperi
 
Sisi ambao tuko mipakani karibu na Malawi ikitokea tukapiga kura ya kuwa sehemu ya Malawi hatukatai.Malawi kunamifumo mizuri ya kielimu,kiuchumi , kibiashara na,kijamii kuliko Tanzania.

Nini kinakuzuia kwenda Malawi na kuwa mmalawi Mpaka usubiri kupiga Kura?
 
Shule zifunguliwe tuu..
 
Yupo sahihi, huoni hata tabia za watu wa huko, hiyo mikao ipo Tanzania lakini tabia zao ni za watu wa Malawi kabisa...


Cc: Mahondaw
 
Naomba kujua kuhusu ziwa Victoria
Unataka kujuwa nini?
Baada ya Malawi kufanikisha takwa lake la mpaka hapo ziwani; Kenya na wao watadai wakoloni walikosea kuwapa kipande kiduchu cha Victoria. Wanataka mpaka usogezwe; ikiwezekana tule tu-visiwa twote twa Ukerewe tuhamishiwe Kenya!!

Wewe unaonaje, si wanayo haki ya kudai?
 
Yupo sahihi, huoni hata tabia za watu wa huko, hiyo mikao ipo Tanzania lakini tabia zao ni za watu wa Malawi kabisa...


Cc: Mahondaw
Babu Acha kuzingua,
tabia za watu wa huko? Unamaanisha watu wa Mbeya, Njombe, na Ruvuma Wana tabia kama za Wamalawi? Yaani ume-generalize watu wote. Kumbe hata nyanda za juu kusini hujawahi kuzunguka maeneo yote. Pengine hata hujawahi kufika.

Inamaana Mkimbu wa Lupa anatabia sawa na za Wamalawi?
Msangu WA Mbalali ana tabia sawa na za Wamalawi?
Mbena wa Njombe anatabia sawa na za Wamalawi?
Mtu wa Gua anatabia sawa na za Wamalawi?
Wabungu wa Udinde wanatabia sawa na za Wamalawi?
==========================

Labda ungeniambia Wandali, Wanyasa, na Wanyakyusa kidogo Wa Kyela ndiyo jamii wanaofanana na Wamalawi.

Smart911 naona umeamua kutema shombo hapa ili kujifurahisha.
 
Soon tutaishi kama digidigi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…