Rais Kamuzu Banda alizitaka Mbeya, Njombe na Songea kuwa sehemu ya Malawi

Hata huyo Kenya ukija kwenye ubora wa raia mmoja mmoja mKenya hamkuti mTanzania.

Mfano Ardhi tu, imeshikwa na wachache huku kwetu hata mpare aliyetoka kijijini mbaga akishauza tangawizi zake anaweza miliki kiwanja akajenga karibu na bahari sababu vinanunulika. Ukija kwenye msosi ndo usiseme.
 
Yupo sahihi, huoni hata tabia za watu wa huko, hiyo mikao ipo Tanzania lakini tabia zao ni za watu wa Malawi kabisa...


Cc: Mahondaw
HApa ungenyamaza maana sasa watu watajua kuwa huna akili. Yaani hawa watanzania wanafananaje kitabia na Wamalawi? Unawafahamu Wamalawi walivyo na kiburi,jeuri na majidai? Kwa nini hupendi kuonekana una akili?
 
Mjoli was Bwana na jpm mpya atazirudisha atakaposhika madaraka mwakani!
 
Ngoja nishauri tupeleke kikosi kikaweke kambi upande wa pili tuchukue kama 100km kutoka ziwani.

Labda ndiyo watatuelewa vizuri.
Kama choko choko haziishi kila wakati itabidi tuanze kutumia mbinu za israel sasa nikuteka maeneo yao yawe kama buffer zone ili tuheshimiane. Pia kutokana na chokochoko hizi na eneo tulipo ni wakati wa Jwtz kupewa bajeti kubwa na maradufu.
 
Iła mipaka ya Tanzania sio swala la mzaha kabisa, hilo ndio eneo kama nchi JWTZ aicheki.
Acha utani mbona tumekodisha sio tu visiwa ila mpaka mbuga kwa wawekezaji? Una overrate uzalendo wa JWTZ unasahau hao hao ndoi walishindwa zuia utoroshaji wa Tanzanite!!
 
Asububi njema Mkuu!!
 
Mtanzania wasasa siyo wa zamani,kukitokea vita,watakaopigana ni wale wanaolipwa mishahara na walioajiriwa kwa kazi hiyo,most of us yawezekana tusijihusishe kivyovyote vile,maana keki ya nchi hailiwi kiusawa.
 
Acha utani mbona tumekodisha sio tu visiwa ila mpaka mbuga kwa wawekezaji? Una overrate uzalendo wa JWTZ unasahau hao hao ndoi walishindwa zuia utoroshaji wa Tanzanite!!
Kukodisha hata kwa bad terms aina maana ya (kugawa) sovereignty ya mipaka.

If anything, we are to bad in contracts negotiations overall.

Swala la Malawi, JWTZ aijaona shida bado; vinginevyo ungeona mazoezi yanafanyika huko.

Halafu unajua Tanzania na nchi zote tunazopakana nazo wao ndio wanaongea lugha yetu (sisi hatujui lugha zao) za kitaifa. Ukitoa maeneo machache ambazo lugha zinaingiliana.

Soma article upate background of the dispute (or add something) on the matter. Achana na siasa za MaCCM kwenye hii mada.
 
Hujanielewa, nachosema hao JWTZ sio malaika ndio maana walipewa mandate ya kulinda Tanzanite ila bado walitorosha. Umesahau mara hii kashfa za Deep Green/Meremeta/Kagoda na ushiriki wa JWTZ. Kwahiyo it's not like JWTZ is not compromised as you term it to be.
 
Hakika kwa hili diplomasia ikishindwa naamini kila mtanzania atakuwa tayari kuvaa konbati na kuingia front uzuri watanzania halisi tunajijua when it comes to national interests.
Nani aliyekudanganya hili? Mtanzania gani akafe kisa rasilimali ambazo wanakula wachache. Lakini pia usijidanganye kuwa ikitokea utapigana na Malawi pekee, itategemeana super power gani yupo upande wao na wetu.
 
Majizi yapo kila sehemu serikalini.

Tafuta historia ya maafisa waliowahi kushika nafasi ya ‘senior army purchasing officers’ karibu yote utakuta ni matajiri kama mawaziri. Serikali ya majizi kila sehemu.

Iła sidhani kama JWTZ inachukulia ulinzi wa mipaka yake poa.
 
Ile vita hata haukuchukua muda mrefu ikawa imeisha wanajeshi wa Nyerere walitoboa meli za adui zikazama adui akaona huu mziki siuwezi akakimbia na alikuwa akisaidiwa na makaburu.
Hata mtaa wa Rufiji jijini Mwanza ulikuwa ukiitwa Banda street baada ya vita hilo jina Banda liliondolewa ukaitwa Rufiji street
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…