Rajab Makoba
Member
- Apr 24, 2014
- 21
- 4
Ukawa ukawa ukawa tuko nyuma yenu tutawa suport mpaka kieleweke
Juzi amekanusha kwamba hakuzindua Bunge maalum la Katiba, ila alikuwa anatoa maoni yake tu!
Ukawa ukawa ukawa tuko nyuma yenu tutawa suport mpaka kieleweke
Juzi amekanusha kwamba hakuzindua Bunge maalum la Katiba, ila alikuwa anatoa maoni yake tu!
Hata ningekuwa mimi nisinge kubaliUlitegemea akubali?
jk anakosea lakini kwa hili la unga/rz1 skubaliani nanyi hata chembe kwamba rz1 angekosa mapunda in case amejiingiza kwenye kuuza ungaJK huwa hana kawaida ya kukiri anapokosea...
Sasa kama alikua anatoa maoni yake,ninani alikua anayasajili maoni yake?,kwa kua wajumbe wa tume wa kusanya hawakuwepo mule ndani na walikua wameshakamilisha zozi la ukusanyaji maoni na walimkabidhi yeye mwenyewe?.
Inawezekana anaugonjwa wa kusahau nini?.
Heri mimi sijasema!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
Hivi ni kweli anachosema JK;"Ninaipenda nchi yangu na sifikirii kuiweka rehani?"Rais Kikwete akiwa Marekani ameongea na watanzania na kukanusha madai kuwa alimuokoa mwanae Ridhiwani nchimi China baada ya kukutwa na dawa za kulevya.
Rais amesema huo ni upuuzi na hawezi kuongelea upuuzi wa aina hiyo ambao ni uzushi usio na maana.
JK pia amewaambia watanzania waishio marekani kuwa sio kweli kwamba kusainiwa mikataba 12 kati ya Tanzania na China ilikuwa ni sehemu ya masharti yaliyotolewa na China wakati wa kumuachia Ridhiwani.
=======================================
jk anakosea lakini kwa hili la unga/rz1 skubaliani nanyi hata chembe kwamba rz1 angekosa mapunda in case amejiingiza kwenye kuuza unga