miss strong
JF-Expert Member
- Jul 4, 2012
- 7,012
- 3,700
Assad namkubali Mwalimu wangu pale UDBS.....enzi za mwaka 2010
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Inaonekana atastaafu mwakani kabla hata raisi hajamaliza muda wake, JK ni noma kwa fadhila. Namkemea anayeendekeza mambo ya udini kwa nguvu zangu zote
Mkuu Uttoh hakupigwa chini, muda wake wa kustaafu kisheria ulifika.
hana mazoea ya kubeba makaimu
Professor Kikwete..Historia inaonyesha Maprofessor hawadumu sana katika nafasi za uongozi. They don't make good leaders in Tanzania. Mfano:
- Prof Machunda
- Prof Kapuya
- Prof Meena (Mb)
- Prof Msola
- Prof Muhongo
Endelea
-
-
-
Mim si mdini ila for the records hawa hapa:
1. CAG
2. Commissioner General TRA
3.Director General TPA
Huyu jamaa aliekua anakaimu atajisikia vibaya sana
Lazima wapewe watu watakaoweza kulinda maslahi baada ya awamu .........................!! Anyway, sidhani kama ana CV kumshinda huyu bwana!!
mkuu, wale watapangiwa kazi nyingine na mh. Rais, kwa sasa wameachiwa kamuda kakukusanya chochote wanachohisi wanaweza kuondoka nacho kwenye nafasi zao.Haya uteuzi umeanza tunataka kusikia na wale wengine wa Bungeni waliopitishiwa maazimio tutakuwa tunakukumbushia hata kama uko maumziko ya ugonjwa.