Rais Kikwete atangaza nia ya kuanza kwa Ujenzi wa Reli ya Kati kwa kiwango cha Kimataifa (SGR)

Angetuachia ile katiba nzuri ya Warioba legacy yake ingekuwa secured na asingekuwa anahangaika hivi kutafuta mahali pa kujishikiza. Most corrupt president of all time...

Na akikuchekea na lile tabasamu lake feki usibweteke. Stone now knows!
 
A
Acha nongwa kijana nchi haijengwi siku moja bali ni progressive steps. Ana mchango ndio, sasa unabisha nini? Halafu unataka asiongee ili iweje? Wewe mbona kucha kutwa unabwabwaja? Unataka kuwafuga mdomo wazee sio?
 
Mwenzako ameshakuwa Rais wa nchi anajua mengi kuliko wewe ambaye hujawahi kusimamia hata ukarabati wa njia ya mtaa kwa kuziba makorongo kwa vifusi.

Unadhani serikali huwa inakuwa na short term projects pekee?

Kuna miradi ni long term projects inaweza kuanzishwa na serikali ya let say ya awamu ya tatu lakini ikaja kukamilishwa na serikali awamu ya tano.

Sasa Rais mstaafu kusema project fulani zilianzia kwake wewe unaona anajifaharisha?

Chuki ni kitu kibaya sana ukiendekeza.
 
Kweli kabisa mswahili ni mswahili tu
 
Mradi huwa unaanza pale unapoanza kutekelezwa kwa vitendo, hayo mambo mengine huwa ni mbwembwe tu.
 
Sasa mbona hakujenga!
 
Pamoja na hayo elewa kuwa hakuna mradi mkubwa unafikiriwa na kuanza ndani ya miaka 5 au 10 mawazo na tathimini vinakuwepo kabatini ila pesa ndio hakuna rais anayekuja anaangalia aanze na kipi aache kipi wakati huo naye anaanzisha mawazo mapya ambayo pengine yatatekelezwa na rais ajaye, Au unataka aseme uongo kama wabunge, wakiletewa barabara kwenye jimbo lake anajidai eti yeye ndiye kasababisha hiyo ije wananchi hawajui hiyo barabara iliombwa pengine miaka 20 iliyopita ila fedha ilikuwa bado haijapatikana.
 
Ni busara kwa yeye kukaa kimya badala ya kulazimisha watu waone kafanya kitu.

Tunajua wapi kafanya vizuri kikwete tutamsifia sisi. Mbona kama anaomba misifu
 
Kwan hakuna kilichofanyika wakati wake aseme hicho? Mpaka aseme walivyofanya wengine? Yawezekana hakuna!
 
Huyu kwa sasa, ameshapoteza dira.Sasa, kama Mkapa alikuachia, miaka 10 ulikuwa unafanya nn? Anaanza kurukia kazi walizofanya wengine:
 
Kila kiongozi aseme alipoishia sawa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…