Mahondaw
JF-Expert Member
- Apr 9, 2013
- 67,252
- 168,563
SawasawaKaongea ukweli...
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
SawasawaKaongea ukweli...
We Kitombi..unafahamu ilani ya chama cha mapinduzi huwa ni ipi na inafanya kazi gani?
Hivi kwa nini Nyerere alimuweka kwenye kundi la wahuni huyu mzee?Huyu huwa anajiona bila yeye hakuna Tanzania, sababu anaweza kuiba apendavyo na hakuna wa kumgusa
Yalio andikwa kwenye iyo Ilan yangekua yana fanyiwa kazi tungekuwa mbali sanaunafahamu ilani ya chama cha mapinduzi huwa ni ipi na inafanya kazi gani?
Acha nongwa kijana nchi haijengwi siku moja bali ni progressive steps. Ana mchango ndio, sasa unabisha nini? Halafu unataka asiongee ili iweje? Wewe mbona kucha kutwa unabwabwaja? Unataka kuwafuga mdomo wazee sio?Kila project kubwa atakuambia ana mchango. Alitoa maagizo akiwa anaondoka madarakani ifanyike. Alianza na uhamisho wa Makao Makuu Dodoma. Akasema ana mkono wake. Wakati tunajua mikono yake ilikuwa kwenye projects nyingi za kifisadi.
Hii SGR anakuambia ilianzishwa na Mkapa yeye sijui akafanya nini then akamwambia Magufuli ajenge. Yaani hata hajielewi.
Kwanini asinyamaze aonekane ana busara? Kwani ni lazima naye aongee aongee? Au umri nao ni tatizo? Amwache Samia afanye kazi bila naye kujichomekq chomeka.
Kwa nini asinyamaze? Au yeye hapendi kuonekana ana busara?
Siku kikwete jr akitumbuliwa na mama ndio nitaamini kuwa mama hakuwa pandikizi la mzee wa MsogaKwa hiyo Jk anasema mama hajafanyaa kituuu🤣🤣🤣 mbona mwanae anakulaa mashavuu shida iko wapi??
Msema pweke mshindi!Kabakia mwenyewe, hakuna wa kusahihisha
Mwenzako ameshakuwa Rais wa nchi anajua mengi kuliko wewe ambaye hujawahi kusimamia hata ukarabati wa njia ya mtaa kwa kuziba makorongo kwa vifusi.Kila project kubwa atakuambia ana mchango. Alitoa maagizo akiwa anaondoka madarakani ifanyike. Alianza na uhamisho wa Makao Makuu Dodoma. Akasema ana mkono wake. Wakati tunajua mikono yake ilikuwa kwenye projects nyingi za kifisadi.
Hii SGR anakuambia ilianzishwa na Mkapa yeye sijui akafanya nini then akamwambia Magufuli ajenge. Yaani hata hajielewi.
Kwanini asinyamaze aonekane ana busara? Kwani ni lazima naye aongee aongee? Au umri nao ni tatizo? Amwache Samia afanye kazi bila naye kujichomekq chomeka.
Kwa nini asinyamaze? Au yeye hapendi kuonekana ana busara?
Kweli kabisa mswahili ni mswahili tuKila project kubwa atakuambia ana mchango. Alitoa maagizo akiwa anaondoka madarakani ifanyike. Alianza na uhamisho wa Makao Makuu Dodoma. Akasema ana mkono wake. Wakati tunajua mikono yake ilikuwa kwenye projects nyingi za kifisadi.
Hii SGR anakuambia ilianzishwa na Mkapa yeye sijui akafanya nini then akamwambia Magufuli ajenge. Yaani hata hajielewi.
Kwanini asinyamaze aonekane ana busara? Kwani ni lazima naye aongee aongee? Au umri nao ni tatizo? Amwache Samia afanye kazi bila naye kujichomekq chomeka.
Kwa nini asinyamaze? Au yeye hapendi kuonekana ana busara?
Mradi huwa unaanza pale unapoanza kutekelezwa kwa vitendo, hayo mambo mengine huwa ni mbwembwe tu.Mwenzako ameshakuwa Rais wa nchi anajua mengi kuliko wewe ambaye hujawahi kusimamia hata ukarabati wa njia ya mtaa kwa kuziba makorongo kwa vifusi.
Unadhani serikali huwa inakuwa na short term projects pekee?
Kuna miradi ni long term projects inaweza kuanzishwa na serikali ya let say ya awamu ya tatu lakini ikaja kukamilishwa na serikali awamu ya tano.
Sasa Rais mstaafu kusema project fulani zilianzia kwake wewe unaona anajifaharisha?
Chuki ni kitu kibaya sana ukiendekeza.
Sasa mbona hakujenga!Hivi unadhani mchakato wa kujenga SGR umechukua mwaka mmoja au miwili? Ni sahihi alivyosema kuwa mchakato ulianza tangu enzi ya Mkapa. Pengine ingewezekana labda ujenzi ungeanza mapema zaidi lakini nina hakika yale ma'feasibility studies' na ma'costing' siyo kitu cha kutengeneza mwaka mmoja au miwili, wachilia mbali kutengeneza hayo matenda husika.
Rapid Transit yenyewe ilichukuwa zaidi ya miaka kumi kukamilika itakuwa SGR?
Musichukulie kila kitu kuwa negative jamani mengine ni historia tu.
Nyerere alikuwa anaona mbali snHivi kwa nini Nyerere alimuweka kwenye kundi la wahuni huyu mzee?
Aliulizwa?Kwahiyo unataka asiongee,wakati wewe unaongelea usiyotaka mwingine ayaongee.
Ni busara kwa yeye kukaa kimya badala ya kulazimisha watu waone kafanya kitu.Kila project kubwa atakuambia ana mchango. Alitoa maagizo akiwa anaondoka madarakani ifanyike. Alianza na uhamisho wa Makao Makuu Dodoma. Akasema ana mkono wake. Wakati tunajua mikono yake ilikuwa kwenye projects nyingi za kifisadi.
Hii SGR anakuambia ilianzishwa na Mkapa yeye sijui akafanya nini then akamwambia Magufuli ajenge. Yaani hata hajielewi.
Kwanini asinyamaze aonekane ana busara? Kwani ni lazima naye aongee aongee? Au umri nao ni tatizo? Amwache Samia afanye kazi bila naye kujichomekq chomeka.
Kwa nini asinyamaze? Au yeye hapendi kuonekana ana busara?
Kwan hakuna kilichofanyika wakati wake aseme hicho? Mpaka aseme walivyofanya wengine? Yawezekana hakuna!Kila project kubwa atakuambia ana mchango. Alitoa maagizo akiwa anaondoka madarakani ifanyike. Alianza na uhamisho wa Makao Makuu Dodoma. Akasema ana mkono wake. Wakati tunajua mikono yake ilikuwa kwenye projects nyingi za kifisadi.
Hii SGR anakuambia ilianzishwa na Mkapa yeye sijui akafanya nini then akamwambia Magufuli ajenge. Yaani hata hajielewi.
Kwanini asinyamaze aonekane ana busara? Kwani ni lazima naye aongee aongee? Au umri nao ni tatizo? Amwache Samia afanye kazi bila naye kujichomekq chomeka.
Kwa nini asinyamaze? Au yeye hapendi kuonekana ana busara?
Huyu kwa sasa, ameshapoteza dira.Sasa, kama Mkapa alikuachia, miaka 10 ulikuwa unafanya nn? Anaanza kurukia kazi walizofanya wengine:Kila project kubwa atakuambia ana mchango. Alitoa maagizo akiwa anaondoka madarakani ifanyike. Alianza na uhamisho wa Makao Makuu Dodoma. Akasema ana mkono wake. Wakati tunajua mikono yake ilikuwa kwenye projects nyingi za kifisadi.
Hii SGR anakuambia ilianzishwa na Mkapa yeye sijui akafanya nini then akamwambia Magufuli ajenge. Yaani hata hajielewi.
Kwanini asinyamaze aonekane ana busara? Kwani ni lazima naye aongee aongee? Au umri nao ni tatizo? Amwache Samia afanye kazi bila naye kujichomekq chomeka.
Kwa nini asinyamaze? Au yeye hapendi kuonekana ana busara?
Kila kiongozi aseme alipoishia sawa.Hivi unadhani mchakato wa kujenga SGR umechukua mwaka mmoja au miwili? Ni sahihi alivyosema kuwa mchakato ulianza tangu enzi ya Mkapa. Pengine ingewezekana labda ujenzi ungeanza mapema zaidi lakini nina hakika yale ma'feasibility studies' na ma'costing' siyo kitu cha kutengeneza mwaka mmoja au miwili, wachilia mbali kutengeneza hayo matenda husika.
Rapid Transit yenyewe ilichukuwa zaidi ya miaka kumi kukamilika itakuwa SGR?
Musichukulie kila kitu kuwa negative jamani mengine ni historia tu.
Niweke hapa hiyo Ilani aliyoandika kikwete ikaja fanywa na Magufuli. Kikwete anajitutumua tu.