Rais Kikwete atangaza nia ya kuanza kwa Ujenzi wa Reli ya Kati kwa kiwango cha Kimataifa (SGR)

Rais Kikwete atangaza nia ya kuanza kwa Ujenzi wa Reli ya Kati kwa kiwango cha Kimataifa (SGR)

kwangu mimi si pigani madaraka, wala sina kadi ya chama chochote au kushabikia kimojawapo, zaidi ya kadi ya ccm kutokana na hali halisi, ambayo sijailipia zaidi ya 20 years.
sasa kutokana na jibu lako la kufananisha wanaopinga serikali iliyopo au maoni yako, inaonyesha fikra zako ni katika kutetea status quo, badala ya kuongelea vitu in reality. na ukienda mbele zaidi kuhusu kubadili chama au kiongozi, unatakiwa kuelewa kuna wakati chama chochte duniani kinaweza kupita katika kipindi kizuri na chama hicho hicho kupita katika wakati mbaya, so tu ccm na hivyo vingine na vivyo hivyo kwenye kiongozi au viongozi, kumekuwepo wazuri, wa wastani na mapopo., vivyo hivyo kwa vya upinzani iwe cuf udp, cdm nk.
Natetea vipi status quo wakati nimeshasema never trust politicians? Kwani hiyo status quo imeundwa na nani kama si politicians? Hoja yangu inabaki pale pale, CCM, CHADEMA, CUF, NCCR na wengine wote ni one and the same. Kinachotakiwa ni Watanzania wenyewe kubadilika na kuwa society with high integrity level. Jamii iliyo ni good integrity ndio inayotoa viongozi ambao nao wana integrity. Jamii yetu ikishaacha kuonea ufahari kwa kijana mdogo mwenye mshahara wa TZS 1 million kuwa na jumba la sh.500 million, basi itakuwa ni jamii ambayo itakuwa na viongozi wazuri huko CCM, CUF, CHADEMA n.k. Lakini jamii yetu haipo hivyo; ni jamii ambayo baba haaminiki, mtoto haaminiki! Sasa jamii kama hiyo haiwezi kutoa kiongozi bora. Na hata ikitoa kiongozi bora bado atakuwa amezungukwa na waovu. Kwa mfano Nyerere, pamoja na kwamba yeye kama yeye alikuwa kiongozi mzuri in terms of integrity lakini alizungukwa na watu waovu hata kama watu wanataka kutuaminisha kwamba wakati wa awamu ya kwanza kulikuwa na honest leaders. Ndiyo walikuwapo, lakini wachache kuiko uchache wenyewe.
 
Rais Kikwete ametangaza nia ya kuanza kwa ujenzi wa Reli ya Kati kwa kiwango cha kimataifa. Rais amesema reli nyembamba inapatikana eneo la Afrika Mashariki tu.

Mh. Rais kayasema hayo mkoani Simuyi wakati akiweka jiwe la msingi kuzindua ujenzi wa barabara itakayounganisha mkoa wa Simiyu na mikoa ya jirani.

CHANZO: ITV

MY TAKE:
Hivi hizi ahadi zinatekelezeka kweli??!!

Wenzake wanajenga yeye Kabaki kutangaza nia.. Aende hapo Kenya tu aone miradi ya maendeleo inavyosonga mbele.. Aache maneno mingi.. tunataka vitendo.. Kama ni nia tu Mbona siku nyingi tu ilishatangazwa...?
 
Hapa nakubaliana na wewe, na ukisema tuache mambo ya vyama, ndo tutaenda pamoja zaidi coz' even myself am not interested coz' wote hao kwangu ni one and the same. Anza lecture sasa huku ukikumbuka kwamba unapozungumzia kubadilisha uongozi basi moja kwa moja unahusisha vyama in other way round.
...hamna sehemu nimeongelea kubadilisha uongozi, utanisahihisha.

...tubadilishe uongozi kwa utaratibu upi? sababu, kwa kiasi kikubwa, uongozi huakisi wanaoongozwa, angalau, wengi wao.

...pili, tubadilishe ili upi ambao unafaa uwepo? maana, tuna tatizo hata kwenye uongozi wa darasa katika shule ya msingi.

...i've said this, elsewhere. tunahitaji mapinduzi ya fikra. lazima tujifahamu kuwa tu binadamu kama wengine -kwamba wanayofanya, yaweza, yapanga na hatimae kutekeleza, hata sie, tunaweza- na hivyo lazima tujifananishe nao, pale tunapo pelea, tujifunze na kusahihisha. pale pazuri, pa faida, na maendeleo, tupaige.
 
Khaa!! Sasa hivi mimi na wewe tulikuwa tunapishana wapi?!
 
ndo akili yake ilipoishia usishangae,project yao kubwa ni kuiua CDM kumbe wanajiua wenyewe,wamesahau Watanzania ni wengi kuliko wao.

Kinachoudhi zaidi ni hawa waandishi na wapuuzi wa CCM ,wameona kuwa hii ni habari..bila kujua kuonyesha nia ni tofauti sana na kutangaza au kuzindua project.
 
Kila project kubwa atakuambia ana mchango. Alitoa maagizo akiwa anaondoka madarakani ifanyike. Alianza na uhamisho wa Makao Makuu Dodoma. Akasema ana mkono wake. Wakati tunajua mikono yake ilikuwa kwenye projects nyingi za kifisadi.

Hii SGR anakuambia ilianzishwa na Mkapa yeye sijui akafanya nini then akamwambia Magufuli ajenge. Yaani hata hajielewi.

Kwanini asinyamaze aonekane ana busara? Kwani ni lazima naye aongee aongee? Au umri nao ni tatizo? Amwache Samia afanye kazi bila naye kujichomekq chomeka.

Kwa nini asinyamaze? Au yeye hapendi kuonekana ana busara?
 
Kila project kubwa atakuambia ana mchango. Alitoa maagizo akiwa anaondoka madarakani ifanyike. Alianza na uhamisho wa Makao Makuu Dodoma. Akasema ana mkono wake. Wakati tunajua mikono yake ilikuwa kwenye projects nyingi za kifisadi.

Hii SGR anakuambia ilianzishwa na Mkapa yeye sijui akafanya nini then akamwambia Magufuli ajenge. Yaani hata hajielewi.

Kwa nini asinyamaze aonekane ana busara? Kwani ni lazima naye aongee aongee? Au umri nao ni tatizo? Amwache Samia afanye kazi bila naye kujichomekq chomeka.

Kwa nini asinyamaze? Au yeye hapendi kuonekana ana busara?
Kwani kosa lake nini hapo? Ilani ya chama inafuata dira ya chama. Na dira ya chama haiwi ya mwaka mmoja.
 
Kila project kubwa atakuambia ana mchango. Alitoa maagizo akiwa anaondoka madarakani ifanyike. Alianza na uhamisho wa Makao Makuu Dodoma. Akasema ana mkono wake. Wakati tunajua mikono yake ilikuwa kwenye projects nyingi za kifisadi.

Hii SGR anakuambia ilianzishwa na Mkapa yeye sijui akafanya nini then akamwambia Magufuli ajenge. Yaani hata hajielewi.

Kwa nini asinyamaze aonekane ana busara? Kwani ni lazima naye aongee aongee? Au umri nao ni tatizo? Amwache Samia afanye kazi bila naye kujichomekq chomeka.

Kwa nini asinyamaze? Au yeye hapendi kuonekana ana busara?
Huyu huwa anajiona bila yeye hakuna Tanzania, sababu anaweza kuiba apendavyo na hakuna wa kumgusa
 
Back
Top Bottom