Natetea vipi status quo wakati nimeshasema never trust politicians? Kwani hiyo status quo imeundwa na nani kama si politicians? Hoja yangu inabaki pale pale, CCM, CHADEMA, CUF, NCCR na wengine wote ni one and the same. Kinachotakiwa ni Watanzania wenyewe kubadilika na kuwa society with high integrity level. Jamii iliyo ni good integrity ndio inayotoa viongozi ambao nao wana integrity. Jamii yetu ikishaacha kuonea ufahari kwa kijana mdogo mwenye mshahara wa TZS 1 million kuwa na jumba la sh.500 million, basi itakuwa ni jamii ambayo itakuwa na viongozi wazuri huko CCM, CUF, CHADEMA n.k. Lakini jamii yetu haipo hivyo; ni jamii ambayo baba haaminiki, mtoto haaminiki! Sasa jamii kama hiyo haiwezi kutoa kiongozi bora. Na hata ikitoa kiongozi bora bado atakuwa amezungukwa na waovu. Kwa mfano Nyerere, pamoja na kwamba yeye kama yeye alikuwa kiongozi mzuri in terms of integrity lakini alizungukwa na watu waovu hata kama watu wanataka kutuaminisha kwamba wakati wa awamu ya kwanza kulikuwa na honest leaders. Ndiyo walikuwapo, lakini wachache kuiko uchache wenyewe.kwangu mimi si pigani madaraka, wala sina kadi ya chama chochote au kushabikia kimojawapo, zaidi ya kadi ya ccm kutokana na hali halisi, ambayo sijailipia zaidi ya 20 years.
sasa kutokana na jibu lako la kufananisha wanaopinga serikali iliyopo au maoni yako, inaonyesha fikra zako ni katika kutetea status quo, badala ya kuongelea vitu in reality. na ukienda mbele zaidi kuhusu kubadili chama au kiongozi, unatakiwa kuelewa kuna wakati chama chochte duniani kinaweza kupita katika kipindi kizuri na chama hicho hicho kupita katika wakati mbaya, so tu ccm na hivyo vingine na vivyo hivyo kwenye kiongozi au viongozi, kumekuwepo wazuri, wa wastani na mapopo., vivyo hivyo kwa vya upinzani iwe cuf udp, cdm nk.