Tetesi: Rais kujichimbia Arusha neema ya Sukari inakuja . . .

Magaufuli kaonyesha kitu tofauti na tulichokua tunatarajia,,

Mi nilijua atakua mwelewa wa sheria,,kumbe imeonekana yeye ni mwelewa wa watu wa hali ya chini.

Sukari kukamatwa kuna watu inawauma mno,, walitarajia walizungumzie wao.

Sasa kwa mda huu hata point hawana,, wanamtuhumu kwa escrow, epa iptl n.k
Sasa hapo yeye inaonekana ndie aliyeyaweka.?? Hivi nyinyi mnataka afanye nini ili kuepukana na haya??
Nina wasiwasi haowafanya biashara wanaokamatwa watakua wadhamini wa kampeni na ahadi nyingi walipewa hasa kulindwa. Sasa mwenyewe kawaumbua na ndio maana wengi wanapiga kelele.
Bira aibu mtu unatoa oni eti ye anaweza lala na kuagiza?? Maana ya kuwa na afya ni nini??

OMBI
TUACHENI CHUKI KWA RAISI, TUSAHAU MAUMIVU YETI YA UCHAGUZI TUIJENGE NCHI
 
Na leo baada ya ibada tulipiga naye kitu cha Trupa hapa Mrina baa!
 
Atakuwa tayari kukubali hukumu?
 
Lawama ni bei ya sukari imekuwa mzigo kwa wananchi baada ya maamuzi aliyoyatoa Pombe.
Kwa nini mnatumia nguvu kubwa kutibu dalili za ugonjwa badala ya kuutibu ugonjwa?
 
Lawama ni bei ya sukari imekuwa mzigo kwa wananchi baada ya maamuzi aliyoyatoa Pombe.
Kwa nini mnatumia nguvu kubwa kutibu dalili za ugonjwa badala ya kuutibu ugonjwa?
Mkuuu tunapaswa tutoe na sie njia m badala kifanyike nini ili kuepuka hili.

Cha ajabu watanzania tumekosa maana halisi ya utanzania
Tupunguze ushabiki tuipende nchi ilikokua imefikia nikubaya sanaaa
 
Lawama ni bei ya sukari imekuwa mzigo kwa wananchi baada ya maamuzi aliyoyatoa Pombe.
Kwa nini mnatumia nguvu kubwa kutibu dalili za ugonjwa badala ya kuutibu ugonjwa?
Na ndiyo nia ya mafisadi walioficha sukari, watokee wanaotoa lawama kama zako ili kuiangusha serikali. Hii ni vita na ameahidi kupambana nao hadi awashinde wao na wote wanaowaunga mkono
 

Time will tell !
 
Umeme upo?! Maana AR no pawazzz
 
jana katunuku vyeti na leo alikua ibadani
 
Hakuna atakayepona ktk hili kama umeficha sukari inakwenda kula kwako safi sana Magufuli Mungu akutangulie ktk hili
haya mafisadi yasipumue kabisa
 

huyo "simba wa vita" wako siku hizi amekuwa polisi/takukuru???
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…