Rais kuteua makada UVCCM kuwa Wakurugenzi ni kuvuruga Utumishi wa Umma

Sasa binti kama huyu tayari aendesha asasi isiyo ya kiserikali na moja ya majukumu yake ni kuhakikksha wananchi wanawezeshwa kiuchumi na kijasiriamali.

Hivyo kumteua kuwa DED ni katika dhima hiyo ya kuleta maendeleo katika eneo husika kwa kumtumia mtu ambae tayari yumo katika mchakato.

Pia huyu binti amesoma na ni mwanasheria hivyo katika masuala ya utawala hawezi kupata shida katika kuhakikisha sheria na kanuni zinafuatwa hapo anapopelekwa.

Hapa naungana kabisa na baadhi ya hizi teuzi.
 
wewe utateuliwa lini mkuu ?
 
wewe utateuliwa lini mkuu ?
Mimi nafasi niliyo nayo siwezi kuteuliwa wala kutenguliwa.

Kuna asasi zaitwa IRIGlobal na ile iitwayo Tanzania Youth Leadership Academy.

Weye wazifahamu hizi?

Hawa vijana wanapitia katika sehemu hizi.
 
Duuuuhh.
Kazini kuna wasomi na wabobezi wenye uzoefu kwenye mambo ya management lakini hawajateuliwa kwakuwa si wanaccm
Utumishi wa umma umevurugwa, halafu ofisi ya Rais Utumishi ukitaka kuwa mkuu wa ka idara tu kadogo wanataka uwe mwandamizi, nafasi kubwa zaidi kama u Ded wanawapa uvccm, huu ubaguzi wa kipuuzi kabisa. na utumishi hauna ladha tena
 
Huu ni Uteuzi wa Ummi Mwalimu, huenda Rais anataka kuwaamini watu wake wamfanyie kazi ila ameshindwa kujua kuwa hao watu wote ni watu wa dili.
Ummi hajawa smart kiasi umuachie jukumu la kukuletea majina ya Wakurugenzi.
Jambo baya anafanya Rais wetu ni kukaa akiamini ana watu wenye akili na nia njema, sasa hivi hali ni mbaya sana kwani watendaji wake wanajua hakuna tena wa kuwagusa mbona Rais anadanganywa anakubali mwisho wake ndio haya madudu.
Nyinyi mliopo karibu na Rais muambieni asitengeneze mazingira ya kuja kutumia polisi 2025 wananchi watakapotaka kubadili huu ujinga unaoendelea.
 
Tuna utani sana na pesa za walipakodi. DED kimajukumu ni mtu mzito, kuwapa hawa makada fresh from school ni ishu kubwa sana
Ni mtu mzito kweli kweli. DED ndio anaweza kuwa promoted kuwa RAS, na baadaye hata kuwa katibu mkuu wa wizara
 
Huwezi kwenda kujifunzia kazi kwenye nafasi muhimu Kama mkurugenzi wa halmashauri. Uzoefu ni muhimu sana Kama tutakuwa serious.
Sasa wasio wazoefu wanajifunzia wapi, acheni kukuza mambo kwa kisingizio cha experience siwatapewa induction flani kabla ya kuanza
 
 
Huwezi kwenda kujifunzia kazi kwenye nafasi muhimu Kama mkurugenzi wa halmashauri. Uzoefu ni muhimu sana Kama tutakuwa serious.
Ila nilivoona hao makada nakupitia page zao aisee, naamini hii nchi tumerogwa na aliyeturoga alaaniwe
 
Ka ni ummy kateua hata hyo nafasi aliyopo imemshinda. Na hivi Sasa hivi nchi iko ka hamna Rais kila mtu anajifanyia atakalo na hamna wa ku control mwingine. Teuzi ya DED zimekuwa hovyo kuliko UDC
 
Ukiona mbwa juu ya mnazi ujue kuna mtu kampandisha huko! UWT, UVCCM, nk ni kichaka cha kuwatunza "viburudisho" vya wakubwa! Ukiona mkeo aliyejaliwa sura na umbo kaingia UWT ndio hivyo tena.....hata kiranja wetu mkuu unadhani kutoka masijara hadi hapo kitu gani kilimbeba?
Kwa wenzetu ubongo ni mtaji mkubwa, hapa kwetu mat@ko na mbunye ni zaidi ya TAnzanite!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…