mazagazagatza
JF-Expert Member
- Jul 15, 2021
- 208
- 224
Utaratibu wa uteuzi wa maded ambao ulikuwa unatumika kabla ya 2016 ilikuwa ili mtumishi wa umma ateuliwe kuwa ded alitakiwa awe amehudumu kama mkuu wa idara angalau kwa miaka 7.Try to be constructive katika hoja yako.
Ni kwa vipi utumishi wa umma wanajisiwa na ni vipi watumishi wa umma wavunjwa moyo?
Nadhani hii ilikua na logic zaidi kwa sababu tunapata viongozi ambao wameiva na wenye uelewa kulio hawa wapiga kelele wanaoteuliwa Sasa hiviKiutaratibu ilikua wanapandisha vyeo kwa aliyekua Muhasibu wa halmashauri (DT)/Mchumi wa halmashauri/Afisa mipango wa halmashauri/Afisa utumishi wa halmashauri (DHRO) au mwanasheria wa halmashauri
Ila toka 2015 tukaanza kudemka
Ambako kimasihara yako kanaweza kutana nayo..!!Sasa katoto kama hako kametoka chuo kikuu juzi,
Hayo mambo katayasimamia?
Katoto kadogo ambako bado kana muwasho muwasho?
Au ndo madhara ya chanjo feki🥱!!?Hako cha juu kabisa kamefikisha miaka 18? anyway kwa record zake sitashangaa huyu Rais akimpa ajira under age.
Tuseme ukweli tu, Samia amechoka sana akili ndio maana mambo yake mengi anakosea tu.
Aahhh hao kimasihara wanafyatuliwaaaAmbako kimasihara yako kanaweza kutana nayo..!!
Sasa usiombe, DC naye awe kama mkurgenzi wake[emoji23][emoji23][emoji23]Mm sipingi teuzi na si mshabiki wa siasa, ila Kwa majukumu haya nimeona Kwa wengine ni mazito hata kama sijui akili zao na uwezo wao. Kwa ushauri wangu wangekua na succession plan ya kuwandaa hawa watu ili wawe mentored kwenye majukumu (just a kind of an on job training) ili akiachiwa aje kuweza kujisimamia. Kumbuka anasimamia watu wazima wenye uzoefu na kona zote za idara, kuna watu ni mafisi kwenye swala la fedha na mambo mengine, hawa vijana fresh from school hizo kona hawazijui. So next time wawasaidie kuwafanyia a kind of mentorship, itawasadia.
Mkuu issue sio watatendaje, issue kwa nini wawe makada wa chama? Lakini ni lini makada wa CCM walifanya vizuri?Wakifuatiliwa na kuangaliwa ufanisi wa utendaji wao wa kazi na kuwekewa KPIs ni vijana wanofaa kabisa kuleta mabadiliko ya kiuchumi katika maeneo yao.
Ni wakati sasa wa hawa vijana kuhakikisha maendeleo ya kweli yanapatikana katika maeneo yao.
Semina elekezi na ufuatiliaji ni muhimu kwa serikali kuzingatia.
Kutoka CCM au nje ni matakwa ya afanyae uteuzi.
Mkuu hata akiteuliwa mtu nje ya halmashauri, mfano akatolewa kwenye taasisi za serikali Kama pccb, tra, tcra, n.k sio mbaya ili mradi awe na uwezo mkubwaKiutaratibu ilikua wanapandisha vyeo kwa aliyekua Muhasibu wa halmashauri (DT)/Mchumi wa halmashauri/Afisa mipango wa halmashauri/Afisa utumishi wa halmashauri (DHRO) au mwanasheria wa halmashauri
Ila toka 2015 tukaanza kudemka
Nakubaliana na hoja zako Ila kuhusu watumishi wa umma kujituma ni uongo mkubwaUtaratibu wa uteuzi wa maded ambao ulikuwa unatumika kabla ya 2016 ilikuwa ili mtumishi wa umma ateuliwe kuwa ded alitakiwa awe amehudumu kama mkuu wa idara angalau kwa miaka 7.
Kutokana na hali hiyo,watumishi wa umma walikuwa wanajituma ili wawe wakuu wa idara na hatimae wawe maded. Kuanzia 2016 baadhi ya maded wanatwuliwa kutoka nje ya utumishi wa umma bila kuwa na sifa zinazotakiwa.
Siumeona watu wanavyowajua[emoji116][emoji116][emoji116][emoji116]Ambako kimasihara yako kanaweza kutana nayo..!!
Hako ka juu kana pacha wake ni wakali balaa,Ni watoto wa mbunge mstaafu wa CCM Bukoba mjini.
Walikuwa watukutu na malaya toka wadogo.
JPM ndio muasisi wa kuteua makada kuwa wakurugenzi.Hatuwezi mkumbuka kwa maana mama ameonyesha moyo wa upendo kwa makabila yote bila ubaguziAisee 2025... TISS na vyombo vyote , Usalama wa nchi sio tu Amani .
Nyie nyote ni mashahidi wa namna gan, JK aliharibu Nchi hii.
Leo hii tuna mtu anayetenda yaleyale.
Kazi yenu Sio kupambana na Wanasiasa.
2025 , msituleteee Watu wa ovyo namna hii.
Kumbe ndio sababu JPM alisema tutamkumbuka.
Kwa mtazamo wangu ni kwamba ni vigumu sana kwa raisi kuteua watu wasotokana na CCM hata iweje.Mkuu issue sio watatendaje, issue kwa nini wawe makada wa chama? Lakini ni lini makada wa CCM walifanya vizuri?
Nchi iko serious kweli vyitoto Kama hivyi kikishaambiwa nakupenda vyinasahau Kila kitu.
Kanafika 30 , hata kama ni pungufu ni kidogo sana tena kanaweza kuzidi hapoHako ka Joanfaith kana umri gani, she looks under 18 au ka baby face tu?