mazagazagatza
JF-Expert Member
- Jul 15, 2021
- 208
- 224
Utaratibu wa uteuzi wa maded ambao ulikuwa unatumika kabla ya 2016 ilikuwa ili mtumishi wa umma ateuliwe kuwa ded alitakiwa awe amehudumu kama mkuu wa idara angalau kwa miaka 7.Try to be constructive katika hoja yako.
Ni kwa vipi utumishi wa umma wanajisiwa na ni vipi watumishi wa umma wavunjwa moyo?
Kutokana na hali hiyo,watumishi wa umma walikuwa wanajituma ili wawe wakuu wa idara na hatimae wawe maded. Kuanzia 2016 baadhi ya maded wanatwuliwa kutoka nje ya utumishi wa umma bila kuwa na sifa zinazotakiwa.