Rais kuteua makada UVCCM kuwa Wakurugenzi ni kuvuruga Utumishi wa Umma

Rais kuteua makada UVCCM kuwa Wakurugenzi ni kuvuruga Utumishi wa Umma

Try to be constructive katika hoja yako.

Ni kwa vipi utumishi wa umma wanajisiwa na ni vipi watumishi wa umma wavunjwa moyo?
Utaratibu wa uteuzi wa maded ambao ulikuwa unatumika kabla ya 2016 ilikuwa ili mtumishi wa umma ateuliwe kuwa ded alitakiwa awe amehudumu kama mkuu wa idara angalau kwa miaka 7.

Kutokana na hali hiyo,watumishi wa umma walikuwa wanajituma ili wawe wakuu wa idara na hatimae wawe maded. Kuanzia 2016 baadhi ya maded wanatwuliwa kutoka nje ya utumishi wa umma bila kuwa na sifa zinazotakiwa.
 
Kiutaratibu ilikua wanapandisha vyeo kwa aliyekua Muhasibu wa halmashauri (DT)/Mchumi wa halmashauri/Afisa mipango wa halmashauri/Afisa utumishi wa halmashauri (DHRO) au mwanasheria wa halmashauri

Ila toka 2015 tukaanza kudemka
Nadhani hii ilikua na logic zaidi kwa sababu tunapata viongozi ambao wameiva na wenye uelewa kulio hawa wapiga kelele wanaoteuliwa Sasa hivi
 
Mm sipingi teuzi na si mshabiki wa siasa, ila Kwa majukumu haya nimeona Kwa wengine ni mazito hata kama sijui akili zao na uwezo wao. Kwa ushauri wangu wangekua na succession plan ya kuwandaa hawa watu ili wawe mentored kwenye majukumu (just a kind of an on job training) ili akiachiwa aje kuweza kujisimamia. Kumbuka anasimamia watu wazima wenye uzoefu na kona zote za idara, kuna watu ni mafisi kwenye swala la fedha na mambo mengine, hawa vijana fresh from school hizo kona hawazijui. So next time wawasaidie kuwafanyia a kind of mentorship, itawasadia.
 
Serikali ya CCM kuwa kaidi na kungangania ma-DED kusimamia chaguzi, mbali ya kuwa Mahakama Kuu kuona ni kinyume na katiba

Serikali kukata rufaa hukumu ya kesi ya Chacha Wangwe

Toka maktaba :

13 May 2019

Serikali kukata rufaa hukumu ya kesi ya Chacha Wangwe

Mwanasheria mkuu wa serikali Dkt.Adelardus Kilangi amesema kuwa serikali imekatia rufaa hukumu iliyotolewa wiki kadha na Mahakama Kuu ya Tanzania, kutoka kwenye kesi iliyofunguliwa na Bob Chacha Wangwe akipinga vifungu kadhaa vya sheria ya uchaguzi
Source : Daily News Digital

11 May 2019
SASA WAKURUGENZI KUTOSIMAMIA UCHAGUZI/ BAADA YA BOB WANGWE KUSHINDA KESI

Siku ya Jana Mahakama Kuu Knada ya Dar es Salaam imetoa uamuzi wa kuvifuta vifungu vya sheria ya uchaguzi namba 7(1)na 7(3) mbele ya mlalamikaji Bob Chacha Wangwe na Wakili wake Bi. Fatma Karume. Vifungu hivi vilikuwa vinawapa mamlaka wakurugenzi kusimamia Chaguzi, kwa kigezo kuwa wao si malaika hivyo wanaweza kushindwa kutenda haki wanapokuwa wakitekeleza majukumu yao.
Source : WATETEZI TV
 
Hako cha juu kabisa kamefikisha miaka 18? anyway kwa record zake sitashangaa huyu Rais akimpa ajira under age.

Tuseme ukweli tu, Samia amechoka sana akili ndio maana mambo yake mengi anakosea tu.
Au ndo madhara ya chanjo feki🥱!!?
 
Hako ka Joanfaith kana umri gani, she looks under 18 au ka baby face tu?
 
Mm sipingi teuzi na si mshabiki wa siasa, ila Kwa majukumu haya nimeona Kwa wengine ni mazito hata kama sijui akili zao na uwezo wao. Kwa ushauri wangu wangekua na succession plan ya kuwandaa hawa watu ili wawe mentored kwenye majukumu (just a kind of an on job training) ili akiachiwa aje kuweza kujisimamia. Kumbuka anasimamia watu wazima wenye uzoefu na kona zote za idara, kuna watu ni mafisi kwenye swala la fedha na mambo mengine, hawa vijana fresh from school hizo kona hawazijui. So next time wawasaidie kuwafanyia a kind of mentorship, itawasadia.
Sasa usiombe, DC naye awe kama mkurgenzi wake[emoji23][emoji23][emoji23]

Au DC awe mjanja mjanja, ( ataumaliza UDC akiwa Mtu mzitooo
 
Wakifuatiliwa na kuangaliwa ufanisi wa utendaji wao wa kazi na kuwekewa KPIs ni vijana wanofaa kabisa kuleta mabadiliko ya kiuchumi katika maeneo yao.

Ni wakati sasa wa hawa vijana kuhakikisha maendeleo ya kweli yanapatikana katika maeneo yao.

Semina elekezi na ufuatiliaji ni muhimu kwa serikali kuzingatia.

Kutoka CCM au nje ni matakwa ya afanyae uteuzi.
Mkuu issue sio watatendaje, issue kwa nini wawe makada wa chama? Lakini ni lini makada wa CCM walifanya vizuri?
 
Kiutaratibu ilikua wanapandisha vyeo kwa aliyekua Muhasibu wa halmashauri (DT)/Mchumi wa halmashauri/Afisa mipango wa halmashauri/Afisa utumishi wa halmashauri (DHRO) au mwanasheria wa halmashauri

Ila toka 2015 tukaanza kudemka
Mkuu hata akiteuliwa mtu nje ya halmashauri, mfano akatolewa kwenye taasisi za serikali Kama pccb, tra, tcra, n.k sio mbaya ili mradi awe na uwezo mkubwa
Shida ni hii kuteua makada wa ccm
 
Utaratibu wa uteuzi wa maded ambao ulikuwa unatumika kabla ya 2016 ilikuwa ili mtumishi wa umma ateuliwe kuwa ded alitakiwa awe amehudumu kama mkuu wa idara angalau kwa miaka 7.

Kutokana na hali hiyo,watumishi wa umma walikuwa wanajituma ili wawe wakuu wa idara na hatimae wawe maded. Kuanzia 2016 baadhi ya maded wanatwuliwa kutoka nje ya utumishi wa umma bila kuwa na sifa zinazotakiwa.
Nakubaliana na hoja zako Ila kuhusu watumishi wa umma kujituma ni uongo mkubwa
Watumishi wa umma hawajawahi kujituma hata siku moja, kilichokuwepo ilikuwa rushwa inatolewa ili kupata hizo nafasi by the way hata Sasa rushwa zipo
 
Aisee 2025... TISS na vyombo vyote , Usalama wa nchi sio tu Amani .

Nyie nyote ni mashahidi wa namna gan, JK aliharibu Nchi hii.

Leo hii tuna mtu anayetenda yaleyale.

Kazi yenu Sio kupambana na Wanasiasa.

2025 , msituleteee Watu wa ovyo namna hii.

Kumbe ndio sababu JPM alisema tutamkumbuka.
JPM ndio muasisi wa kuteua makada kuwa wakurugenzi.Hatuwezi mkumbuka kwa maana mama ameonyesha moyo wa upendo kwa makabila yote bila ubaguzi
 
Mkuu issue sio watatendaje, issue kwa nini wawe makada wa chama? Lakini ni lini makada wa CCM walifanya vizuri?
Kwa mtazamo wangu ni kwamba ni vigumu sana kwa raisi kuteua watu wasotokana na CCM hata iweje.

Na hata ikibidi ni lazima watu kutoka nje watoke huko kwenda CCM ili labda waweze kufikiriwa.

Hilo la ni lini makada wa CCM walifanya uzuri katika maeneo yao itategemea na wale walowakuta katika maeneo yao.

Wakiamua kuucheza muziki waloukuta huwa hivyo la wakiamua kubadili muziki uwe wa kizazi kipya basi yawa hivyo.
 
Nchi iko serious kweli vyitoto Kama hivyi kikishaambiwa nakupenda vyinasahau Kila kitu.
 
Nchi iko serious kweli vyitoto Kama hivyi kikishaambiwa nakupenda vyinasahau Kila kitu.
JamiiForums449070903.jpg
 
Back
Top Bottom