Rais kuteua makada UVCCM kuwa Wakurugenzi ni kuvuruga Utumishi wa Umma

Bora wangeteuliwa hata maafisa elimu kata kwenye digiri na uzoefu wanao.Hao watoto hata kuwa maafisa utumishi hawajawahi Fanya.Hii ni dharau sana
Sasa wasio wazoefu wanajifunzia wapi, acheni kukuza mambo kwa kisingizio cha experience siwatapewa induction flani kabla ya kuanza
 
Hata huo upigaji ni vile serikali inaruhusu kwanini wasiweke mifumo inayozuia huo upigaji na hyo mianya yote huko serikalini?
Wenzetu wamewezaje kuzuia hyo Hali na sisi kwanini tushindwe
Hakuna cha mfumo ,hao mademu saizi watazungukwa Sana hadi wake kukaa sawa sio leo wala kesho.
 
Sasa wasio wazoefu wanajifunzia wapi, acheni kukuza mambo kwa kisingizio cha experience siwatapewa induction flani kabla ya kuanza
Nikwatwe Tozo wewe uje ujifunzie namna ya kutumia,aibu kubwa
 
Nyie watumishi wa umma huwa hamtaki wengine walioko sector binafsi kupata nafasi na kutumikia wananchi na wengi hutumia kigezo sijui kuvunjika moyo sijui uzoefu, I'm telling you kazi ukipewa msasa na semina unafanya vizuri tu bila shida yoyote na kwa ufanisi, hii mazoea ya kutowapa wengine fursa vile eti ni wageni sio fair sasa watajifunza lini?
Nyerere alikuwa waziri mkuu akiwa kijana, Ahmed Salim akiwa fresh na mdogo na alifamya makubwa, kikubwa watu wapewe nafasi kuonyesha uwezo wao.
 
Afuu wanasema sisi tukajiajir,hizi nafasi ilibd ziwe wazi watu tupige usaili

Qualification inaweza kuwa masters or PhD ya mambo fulan fulan
 
Watoto wa masikini wametuweka wa kuenda kupiga interview utumishi hata kumi bila mafanikio,wakati wengine wanaenjoy mema ya nchi kirahisi sana, Wana nafasi zao maalum.
 
Hako cha juu kabisa kamefikisha miaka 18? anyway kwa record zake sitashangaa huyu Rais akimpa ajira under age.

Tuseme ukweli tu, Samia amechoka sana akili ndio maana mambo yake mengi anakosea tu.
Mkuu uyo binti Kichwa na mwili haviendani. Kwa mwili ni Mkubwa, ana shape matata, mguu wa bia. Inshort Ded ni mkali aisee
 
Hapa jaman tutafute tu katiba mpya ,sasa kama makada ndo ma DED na ndo watasimamia chaguzi kuna free and fair election hapo jmn ? Yaan MTU akupe mchongo mwisho wa siku uje umwangushe kwenye uchaguzi eti uwape CHAUMA?AU ACT WAZALENDO?

THUBUTUU ......IFIKE MAHARI TUPATE KATIBA JAMN
 
Ufala kweli yaani kada ni wa kumteua ded nilidhani mama atafata sheria kumbe nae ni walewale tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…