Eng. Zezudu
JF-Expert Member
- Aug 23, 2012
- 8,024
- 11,546
katiba mpya ni muhimu wengine tuna hustle sana kitaa, na bado hatupati Dili wengine kiulaini wanachukua nafasi, boycott muhimu.Geoffrey Nnauye,Lubuva,Nandonde,Kijazi nchi hii ni KI-IMLA
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
katiba mpya ni muhimu wengine tuna hustle sana kitaa, na bado hatupati Dili wengine kiulaini wanachukua nafasi, boycott muhimu.Geoffrey Nnauye,Lubuva,Nandonde,Kijazi nchi hii ni KI-IMLA
Sasa wasio wazoefu wanajifunzia wapi, acheni kukuza mambo kwa kisingizio cha experience siwatapewa induction flani kabla ya kuanzaBora wangeteuliwa hata maafisa elimu kata kwenye digiri na uzoefu wanao.Hao watoto hata kuwa maafisa utumishi hawajawahi Fanya.Hii ni dharau sana
Hakuna cha mfumo ,hao mademu saizi watazungukwa Sana hadi wake kukaa sawa sio leo wala kesho.Hata huo upigaji ni vile serikali inaruhusu kwanini wasiweke mifumo inayozuia huo upigaji na hyo mianya yote huko serikalini?
Wenzetu wamewezaje kuzuia hyo Hali na sisi kwanini tushindwe
Nikwatwe Tozo wewe uje ujifunzie namna ya kutumia,aibu kubwaSasa wasio wazoefu wanajifunzia wapi, acheni kukuza mambo kwa kisingizio cha experience siwatapewa induction flani kabla ya kuanza
Anao huo muda wa kuangalia hizo CV?!Mama embu angalia vizuri CV za hao wateule wako.
Nyie watumishi wa umma huwa hamtaki wengine walioko sector binafsi kupata nafasi na kutumikia wananchi na wengi hutumia kigezo sijui kuvunjika moyo sijui uzoefu, I'm telling you kazi ukipewa msasa na semina unafanya vizuri tu bila shida yoyote na kwa ufanisi, hii mazoea ya kutowapa wengine fursa vile eti ni wageni sio fair sasa watajifunza lini?ni vema kujifunza..
Ila km hujawai kufanya kazi hata kuwa mkuu wa kitengo au idara aombe Mungu.
Wazoefu Wanaweza kukuyumbisha akajikut anaingiza halmashauri kwenye migogoro.
Pili inawavunja moyo watu waliotumikia kwa umakini na unyenyekevu nafasi zao na wana vigezo vya uteuzi ila hawateuliwi wakikata tamaa utaumiz wengi.hawatakuwa na moyo wa kujitoa km awali
Watu wengi tunaangalia tulipoanguka siotulipojikwaa; mfano watu wengi wapo lazy..Ila hatuangalii.kwa nn wapo lazy..
Ni Sawa na kumlaumu kwa nn baba hakumpeleka mama hospital kwa tax au bodaboda katumia baiskeli au daladala wakati hiyo baiskeli tu ya kufika hospital kaiazima Ili asevu pesa ya matibabu ya mama kutokana a mavuno haba aliyoyapata msimu ulopita na hajawai kukulalamiia japo unajua na ww mtt umefanikiwa Umeanza matanuzi na maamuzi ya kujijenga ww kwanza ukiamini muda Upo utawakumbuka.
Kuna miongozo ya uteuzi wa nafasi za uded,
Kabisa watu hawaelewi kabisa ,kuna position ni lazima uwe mtumishi wa umma kwanza ,sasa mtu ametoka chuo hana ajira halafu anateuliwa kuwa DED.
Mkuu uyo binti Kichwa na mwili haviendani. Kwa mwili ni Mkubwa, ana shape matata, mguu wa bia. Inshort Ded ni mkali aiseeHako cha juu kabisa kamefikisha miaka 18? anyway kwa record zake sitashangaa huyu Rais akimpa ajira under age.
Tuseme ukweli tu, Samia amechoka sana akili ndio maana mambo yake mengi anakosea tu.
Kama haya ndiyo majukumu ya DED basi maDED wote wawe either WACHUMI ama WAHASIBU.
Hizi ban zinakata stimu sana , kuna kipindi nilipigwa ban nikaghairi kuingia JF kwa mwaka mzima.
Ndoa zetu haziko salama asee