I was told, They can't employ me because I don't have the experience! Also, they don't want to give me the job so that I get the experience!
Kila jukumu ulilo orodhesha, Lina wafanyakazi wengi nyuma yake kuanzia walio ajiriwa karibuni mpaka waliokwenda likizo ya kujitayarisha kustaafu! Hivyo basi hawa wateuliwa wapya watakuwa na watu wakuwaongoza. Pia kutakuwepo na mafunzo ya hapa na pale ya kuwa endeleza. Hawa vijana wamesheheni energy na kama mtu yuko tayari Kujifunza, muda mchache ataweza kumudu huo uongozi.
Pia hawa vijana communication/informations za kujiendeleza ni nyingi siyo kama wakati ule wa 90s, internet inasaidia sana na social media inasaidia kukuelimisha unapokwama.
This is a good move to expose the young people to uongozi hence soon watakuwa na "EXPERIENCE" NE!?