Rais kuteua makada UVCCM kuwa Wakurugenzi ni kuvuruga Utumishi wa Umma

Kwani aliyemaliza Chuo na hana ajira, hastahili kuteuliwa?

Roho ya kwanini siyo nzuri Arawa.

DED ni kama Managing Director wa Wilaya, kwahiyo elimu peke yake haitoshi. Inahitajika uzoefu mpana wa kikazi ili mtu awe na minimum requirement za kuwa DED. Mafungu yote ya matumizi ya serikali yanasimamiwa na DED. Na idara zote nyeti katika ngazi ya wilaya ziko chini yake.
 
Ni kweli hakuna kazi ngumu na ded lazima awe mmoja it does Not matter katoka wapi ....
Fair competition ni kuweka vigezo na watu wacompite haki Sawa it doesn't matter katoka wapi...
Kwenye kazi za uteuzi ni vile anaona mwenye mamlaka ya uteuzi yupi anamfaa na kwa nn...
Hoja ya msingi ni kutowahukumu watumishi wa umma wote wapo lazy bila kujua chanzo ni nn?muwasaidie wana hali ngumu huko ambako wengine hawataki ndipo wanaumia pasipo kuwalaumu tu
Hakuna asietaka maslah mazuri hata hao walimu au madaktari au manesi walioko vijijin wanawajibika mno ila wahusika hawawaoni.
Mm si mmoja wao niko kwenye taasisi ingine ila tunapokuja kutathim mradi ambayo gvt iko joint na international organisation tunajifunza mengi mengi. Hasa km unapata wasaa wa kuchambua in details.
Kuwa na amani..mtumishi wa umma si lazima awe ded au dc au waziri au rc na kutumikia wananchi si lazima Uanze na uded udc nk
 
Weka jina.
 
Huyu Joanfaith ameolewa?mwenye mawasiliano yake hata email please. Naahidi kumheshimu na kumpenda daima
 
Msimu huu ni makada na watoto wa wakubwa. Pia watoto wa wakubwa wengi pia hawana ajira kwahiyo wazazi wao wanazo connection za kufosi watoto wao wateuliwe.
 
Huyu Joanfaith ameolewa?mwenye mawasiliano yake hata email please. Naahidi kumheshimu na kumpenda daima
Panda gari za malinyi. Ukifika stendi tafuta bodaboda akupeleke ofisi ya halmashauri utamkuta hapo.
 
**** mae sioni mwanga mbele kwa sie ndugu zetu waliokosa nafasi kitambo hicho maana naona majina ni yale Yale makoo ya kisambaa, kimakonde na kizanziberiiiiii!
Wazazi wetu walikosea wapi jameniii!!!
Naona anguko la Taifa maana S/M kuweka vilaza ni anguko kubwa no wonder will happen within the 5 yrs I'm ready to be corrected povu ruksa
 
Shida watu wanasifa za maDED ambao hawaexist in real world wakiteuliwa wazee wanasema wameteuliwa vijana wanasema nikuwapuuza ndyo njia sahihi ta kuishi nayo coz hata huyo lissu angekuwa rais asingeteua watu nje ya bavicha
 
Acha tujaribu na damu changa hivi vibabu vipenda ngono vimetuchosha kwanza havikawii kwenda na korona
 
Ndio tatizo la kuongozwa na mtu mwenye upeo mdogo anateua wenye upeo mdogo zaidi ili iwe rahisi kwake kuwaongoza
 
Mimi nilijua U-DED ni professional job kumbe kwa sasa ni kazi ya kisiasa zaidi. Anyway sijawahi fanya kazi serikalini lakini walioko serikalini watueleze zaidi. Nafikiri JD ya DED itakuwa na minimum requirements zinazotakiwa.
 
Kabisa watu hawaelewi ,kuna position ni lazima uwe mtumishi wa umma kwanza ,sasa mtu ametoka chuo hana ajira halafu anateuliwa kuwa DED.
Mkuu umenena vyema kabisa. Haipendezi a schooler kupata first appointment katika position ya mtu anayetakiwa kuwa na sifa ziada ya experience, mimi naona sasa. NI UBATILI MTUPU
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…