Rais kuteua makada UVCCM kuwa Wakurugenzi ni kuvuruga Utumishi wa Umma

Mambo mengi hufanywa na wasaidizi kwa jina la Rais.

Yawezekana hata majina hajayaona, labda awe na watu wake awaambie wawekeni na hawa.
 
Nina uhakika asilimia mia tano Rais amesaini tu hata hawajui hawa. Kuna rushwa sana kwenye hizi teuzi ikiwemo pesa Na uchi.
Nchi inakua hovyoo Sasa.
 
Hawa ni rahisi sana kuvurugwa na Madiwani. They deserved to be appointed as DCs and not DEDs!
 
Mama Samia ameshafail mapema sana. Mwaka 2025 CCM wamuweke pembeni asiendelee kuvuruga Nchi. Kwa hiki tunachokiona, may be Bashiru and co walikiona mapema ila tu wakabanwa wasifanye yao.
 
Nchi hii haipigi hatua katika maendeleo kwa sababu ya uongozi mbovu.

Kiongozi mbovu huteua wabovu zaidi kumsaidia. Tusitegemee chochote cha maana. Yanayoendelea katika teuzi, ni kama nchi ina upungufu wa watu wenye sifa.
 
Huyu Mama naona yupo kwenye majaribio ya kuitawala nchi. Sasa hawa watoto kweli wanaweza kusimamia sera za sehemu husika!? Huyu mama 2025 hafai kbs kuongoza tena nchi.
 
Hako cha juu kabisa kamefikisha miaka 18? anyway kwa record zake sitashangaa huyu Rais akimpa ajira under age.

Tuseme ukweli tu, Samia amechoka sana akili ndio maana mambo yake mengi anakosea tu.
Mlisema mama anaupiga mwingi sana ssa tulieni amechoka mapema san
 
Hako cha juu kabisa kamefikisha miaka 18? anyway kwa record zake sitashangaa huyu Rais akimpa ajira under age.

Tuseme ukweli tu, Samia amechoka sana akili ndio maana mambo yake mengi anakosea tu.
Wamulaumu bure, Samia anachomekewa, hawajui hata sura. Videmu au ndugu wa washauri.

Sent from my Infinix X650B using JamiiForums mobile app
 
Experience wanayoweza kuwa nayo labda ni ile ya kupetpet wazee wenye connections zao ndani ya lile jumba nambari one
[emoji23][emoji23][emoji23] ila waache wapige kazi, nafasi yoyote ni maelezo after one month unakuwa vizuri tu, sasa hao wa mwanzo walipatia wapi uzoefu
 
Sio makada tuu wengi watoto wa wenyewe kina majina Kama JOHNSON MHAGAMA ZELOTHE STEPHEN MOSES NNYAUYE JOHN NCHIMBI ROBERT MANUMBA
 
Mbona kama Ukurugenzi unahitaji mtu mwenye experience ya Uhasibu. Alafu huyo wa kwanza ni msomi wa Human Resources na hana hata experience. Aisee hii nchi Mungu tu ndo anajua.
 
Hao ndio machinery ya kusimamia uchafuzi , wakipata na zile directives kutoka kwa kada mwenzao Dkt Mahera basi kazi imeisha , halafu eti mnataka katiba mpya awape nani , na ili iweje
 
mama anajua anachofanya.

wengine wameshafanyiwa vetting ohooo...vetting always applicable to anyone and especially for those who is unbelievable as u are doing now [emoji849]

Kuwa makini ww mkuu wa idara, narudia tena kusema mama anajua anachokifanya.

Muda si mrefu kuna watu wanaenda kupoteza ugali. Nalog off.[emoji2089][emoji2089]



Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…