Tupe msitari unao taja neno Tz,kenya Ufaransa, ndani ya Bible.Tupe mstari hata mmoja unaotaja neno Palestine ndani ya Qur'an tukufu. Mmoja tu; wala sio miwili.
Hajuhi kama Shukurani ya Punda ni mateke!?Naona Rais Emmanuel macron kaamua kumpa makavu live maana jamaa anabwatuka hovyo.
Nchi yenyewe imepatikana kwa kura za Umoja wa mataifa na kura ya veto ya Marekani Leo hii anawaletea kiburi UN na kupuuza kazi na maamuzi ya UN. Huyu jamaa ajiangalie sana.
Tafadhali naomba wale wazee wa miaka 3000 mtupishe kidogo hapa tunajadili facts siyo nadharia. Nadhani mnajijua wenyewe Sina haja ya kuwataja.
View attachment 3125858
Hakuna watu wanaitwa wapalestina , Palestina iliundwa na jamii 3 waislam ( Leo wanadai wao ndo wapalestina ) , wakristu na wayaudiInatakiwa umuelewe macron anamaanisha Israel ni nchi imepatikana kimchongo tu kwa sababu wenye nchi ni wapalestina. Sasa cha ajabu Netanyahu anawavimbia mpaka UN ambao ndio waliwapa nchi kinguvu haushangai hilo?
Hahaha, kwanza ncheke😆Yaani mtu uliye panga chumba na sebule na unaendeshwa kama mbuzi na ccm , unamuita kiongozi wa taifa kubwa kijeshi na kiuchumi kuwa ni mpuuzi?😀😀😀😀😃😀😃.
Rais Macron HANA UBAVU wa kupambana na Israel. Time will tell.Naona Rais Emmanuel macron kaamua kumpa makavu live maana jamaa anabwatuka hovyo.
Nchi yenyewe imepatikana kwa kura za Umoja wa mataifa na kura ya veto ya Marekani Leo hii anawaletea kiburi UN na kupuuza kazi na maamuzi ya UN. Huyu jamaa ajiangalie sana.
Tafadhali naomba wale wazee wa miaka 3000 mtupishe kidogo hapa tunajadili facts siyo nadharia. Nadhani mnajijua wenyewe Sina haja ya kuwataja.
View attachment 3125858
At least umeelewa. Qur'an Tukufu inawatambua Israel na ardhi yao vizuri sana. Achana na hiyo UN ambayo ni nothing mbele za Mola wetu mlezi na Kitabu chake kitukufu. Uko upande upi?Tupe msitari unao taja neno Tz,kenya Ufaransa, ndani ya Bible.
Ya kwamba siku hizi sheria za kimataifa zinaongozwa kwa mujibu wa vitabu vya dini?
Nimewauliza ni wapi Mola mlezi ametaja neno Palestina wanatoa mimacho tu!Hakuna watu wanaitwa wapalestina , Palestina iliundwa na jamii 3 waislam ( Leo wanadai wao ndo wapalestina ) , wakristu na wayaudi
⚡️BREAKING: Emmanuel Macron criticizes Benjamin Netanyahu:Habari za kimisikitini usilete kwa watu wanaopenda ukweli.. msihamishe ibada zenu za uongo hadi kuleta uongo jf.
Lete tweeter au word of Marcon not third part shehe from Msikiti Tv
Hii sio chuki, ni ugonjwa wa akili.Hivi hizo chuki zenu dhidi ya waisilam huwa zinatokana na nn hasa?
Hii ni ujumbe tosha kwa wale tunao vaa msalaba wa mbao kuamini eti isreli ilikuwepo hapo miaka ya nyuma Macron sio mjinga hivyoKama iliundwa kwa azimio la UN basi waheshimu maazimio ya UN. Hilo nitusi kubwa sana. Kheri yetu watanzania nchi yetu haijapatikana kwa kikao cha UN.
Kwahiyo unabisha ww huendeshwi kama mbuzi na CCM?Hahaha, kwanza ncheke😆
Humu ni mwendo wa I'd feki tuu, hata nikijieleza kuwa sipo hivyo ulivyosema utabisha, so haisaidii kitu!
Sasa wee MAAMUMA wa Buza kwa Mpalange unayeshindia kikombe cha kahawa na kashata moja kutwa nzima huku ukicheza bao na kuibia wenzio kwa chuma ulete, unamzidi nini Netanyahu unayemshutumu humu kila uchwao?!!!
Israel unauwezo wa kupambana na Ufaransa?Rais Macron HANA UBAVU wa kupambana na Israel. Time will tell.
Ww nchi yako unayo ishi ambayo unashinda humu unatoa povu kutaka ccm ikutendee haki imeundwa kwa kifungu gani cha Bible?At least umeelewa. Qur'an Tukufu inawatambua Israel na ardhi yao vizuri sana. Achana na hiyo UN ambayo ni nothing mbele za Mola wetu mlezi na Kitabu chake kitukufu. Uko upande upi?
Wakikuteka wakakukula kichwa kama kawaida yao mie simo..Kwahiyo unabisha ww huendeshwi kama mbuzi na CCM?
Hiyo haiondoi ukweli kuwa Macron ni hamnazo!Hata ungekuwaje hufiki hata 000000000000%ya macron.
Ni makosa kulaumu anayejilinda baada ya kuvamiwa na matapeli, wezi, wanyang'anyi, wauaji makatili...Mm simzidi chochote Netanyau bali yeye anashutumiwa kwa matendo na ukatili wake kama Hitra ,Musolin,mobotu,walivyo shutumiwa kwa uovu wao.
Wapi nchi ya mafilisti imetajwa na muumba wa yote? Leo ndio unaujua ubinadamu?Ww nchi yako unayo ishi ambayo unashinda humu unatoa povu kutaka ccm ikutendee haki imeundwa kwa kifungu gani cha Bible?
Vipi hiyo nchi ya ahadi ya hao wahuni ingekuwa TZ ww ungekuwa tiyari kuondoka na kiwakabidhi mashamba zako na mali zako zote ,alafu ww uende kuishi kwenye kambi za wakimbizi?
Ww binafisi unaweza kutuonesha ushahidi wowote unao onesha ushahidi wa kuwa hapo unapo ishi ndo chimbuko la jamii yako?
Jamani tupunguze chuki tutangulize ubinadamu.
KwakweliHii sio chuki, ni ugonjwa wa akili.
Watoto 20,000 nao walimvamia?Wakikuteka wakakukula kichwa kama kawaida yao mie simo..
Hiyo haiondoi ukweli kuwa Macron ni hamnazo!
Ni makosa kulaumu anayejilinda baada ya kuvamiwa na matapeli, wezi, wanyang'anyi, wauaji makatili...
View: https://x.com/sanderson17280/status/1774137548605993180?t=s7Qp7LsCkxnF0Cg5nKuU5g&s=09