Rais Macron wa Ufaransa amwambia Netanyahu asisahau kuwa Israel imepatikana kwa azimio la Umoja wa mataifa 1948 hivyo aache kuidharau

Tupe mstari hata mmoja unaotaja neno Palestine ndani ya Qur'an tukufu. Mmoja tu; wala sio miwili.
Na biblia imetaja sana palestina
Netanyahu anasema wamepigana vita na wapalestina wakashinda ndio wakapata uhuru. Sasa jiulize unawakuta watu katika nchi Yao unawapiga na kuwaondoa halafu unasema umepigania uhuru haiingii akilini hii.
Kipindi Cha nabii musa au. Maana shida yenu mnawangalia wayahudi Kama watu walitokea tu mwaka 1947 tu. Si Kama kizazi ambacho kilikuwepo siku zote Kama wengine. Alafu myahudi yupo kwenye vita miaka na miaka nani anapenda kwenda kukaa kwenye vitu kwa kupelekwa tu?. Ukifiatilia hata hapo palestina siyo kwa waarabu ni wafilisti na walipigana toka nyakati za Samson. Na Delila ni Mfilisti.
 
Una uhakika wale ndio wayahudi halisi? 😀 😀 mbona iko wazi wale ni settlers hata kenya wapo , wanadai mashamba yao mpaka leo ....Kenya settlers wanamiliki ardhi kubwa sana tangu enzi za ukoloni
 
Una uhakika wale ndio wayahudi halisi? 😀 😀 mbona iko wazi wale ni settlers hata kenya wapo , wanadai mashamba yao mpaka leo ....Kenya settlers wanamiliki ardhi kubwa sana tangu enzi za ukoloni
Kwa hiyo myahudi hayupo duniani now days kwa mapokeo yako?.
 
Wajua kuwa Allah nae ni Mjinga kwa kusema Dunia hii ni tambarale na sio tufe
Nikajua tu kua wewe ni poyoyo wa kimataifa umejiokotezea maneno yako ukajiona mjuzi

Ukamsahau huyu alieiumba Dunia ambayo haizunguki kabisa imetuwama tu. Sijui ni muiteje yeye.

Psalms 104:5
[5]Who laid the foundations of the earth, that it should not be removed for ever.
Uliiweka nchi juu ya misingi yake, Isitikisike milele.
 
Mola mlezi hasemi lolote kuhusu mafilisti matusi yanakushuka. Usinilaumu mimi Mkuu! Mngekuwa mnaiamini hiyo UN na sheria za kimataifa kama mnavyofanya leo baada ya kukosa backup ya mistari dunia ingekuwa pazuri sana. Tatizo unafiki umewajaa.
 
Huyo ni nyoka waliyomfuga wao wenyewe sasa hivi anawauma. Israel will never change. Mwenyezi Mungu amewapa wana wa Israel ambayo hajawapa kabila nyengine yeyote hapa duniani. Lakini wao badala ya kumshukuru ndio watu wa kwanza kumpinga na kumkashifu Mwenyezi Mungu.

Sasa ikiwa watu hawamuogopi Mwenyezi Mungu aliyewaumba na kuwaneemesha unafikiri watamuogopa UN au Macron???

HAO NI WATU WENYE LAANA KUANZIA MABABU ZAO NA VIJUKUU VIMERITHI UKATILI
 
French President Macron:

“Prime Minister Netanyahu must remember that Israel was established through a United Nations resolution”


And I say to this French macaroon:
Israel was established by God’s decree!

“Before she was in labor, she gave birth;
Before her pain came,
She delivered a male child.

Who has heard such a thing?
Who has seen such things?
Shall the earth be made to give birth in one day?
Or shall a nation be born at once?
For as soon as Zion was in labor,
She gave birth to her children.

Shall I bring to the time of birth, and not cause delivery?” says the Lord.
“Shall I who cause delivery shut up the womb?” says your God.

“Rejoice with Jerusalem,
And be glad with her, all you who love her;
Rejoice for joy with her, all you who mourn for her;

(Isaiah 66:7-10)
 
Bomayeeeee..........666........Imekolea acha tuongezee na pilipili
 
Netanyahu kaamua kuiharibu Israel akimini jeshi ndio litatua tatizo la huko Mashariki ya kati.
 
Netanyahu anasema wamepigana vita na wapalestina wakashinda ndio wakapata uhuru. Sasa jiulize unawakuta watu katika nchi Yao unawapiga na kuwaondoa halafu unasema umepigania uhuru haiingii akilini hii.
Wewe ndio huna akili huwezi elewa kitu tulia mmetaka vita vimewapata.. tokea lini uislam ukaleta akili
 
Wewe ndio huna akili huwezi elewa kitu tulia mmetaka vita vimewapata.. tokea lini uislam ukaleta akili
Naona huu mjadala umekuzidi uwezo. Tunajadili hoja hapa hatujadili uislamu kama una tatizo na waislamu kafungue Uzi huko panapohusika.
 
Itoshe kusema tu kuwa huyo Macron ni mpuuzi mnoo 🚮
Macron mwenye miaka 46 ameoa mwalimu wake mzee mwenye miaka 71 ikiwa ni ndoa ya pili baada ya kuachana na mume wa awali. Mkewe Brigitte ana mtoto wa mwisho mwenye miaka 48. Macron ni msenge fulani ambaye amesmua kuficha ushoga wake kwa kujiweka kwa hicho kibibi
 
Hizo stori za miaka 3000 kuhalalisha wizi wa ardhi ya wapalestina hazikubaliki ni nadharia tu. Wewe ulikuwepo hizo enzi za hao wafilisti? Lakini wengi tulikuwepo wakati waisraeli wanaivamia palestina kutoka ulaya na Umoja wa mataifa kuamua kugawa nchi ya wapalestina katika mataifa mawili.wengi tulikuwepi na kuona kwa macho.
 
Ukitafakari hisia iliyojificha, huu kauli ya MACRON ni kauli ya kujuta kuanzishwa kwa TAIFA la ISRAEL...
Wanaona hatari ya hii jamii, kama ambavyo HITLER aliona miaka ya karne iliyopita.

Kama kuna la balaa la kibinadamu litakuja kuikuta hii dunia basi architecture wa hilo ni JEWS
 
Kwani ww kilichotajwa pale ni ukoo wa mtu au ?
Myahudi ni ukoo au?. Mmelishwa kuwa hakuna kizazi Cha wayahudi na waarabu na ndiyo ujinga wa dunia ulipo. Ila kusema wayahudi hawapo. Cha ajabu mkiulizwa Hilo kizazi Kiko wapi kimyaa.
 
Hata zingekuwa na miaka milioni. Shida iko wapi?. Kwa akili yako ushajazwa ujinga na mwarabu kuwa hakuna myahudi duniani. Cha ajabu unakubali kuwa uajemi na waamedi ni Iraq na Iran Ya Sasa. Na wafilisti ndiyo wenye Palestina siyo mwarabu na mwarabu pale siyo kwake pia.
 
Habari za kimisikitini usilete kwa watu wanaopenda ukweli.. msihamishe ibada zenu za uongo hadi kuleta uongo jf.

Lete tweeter au word of Marcon not third part shehe from Msikiti Tv
Mlala leo amka kabla ujalaliwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…