Eric Cartman
JF-Expert Member
- May 21, 2009
- 11,966
- 11,218
Tatizo lako wewe uelewi hata kwanini serikali inafanya aina fulani za investment.Kwahiyo ukikosea ww kama serikali nisikwambie, na hili ndilo linalofanywa na viongoz ngazi ya juu, wanaona mtu anakoenda si salama wanakausha? Hii nchi yetu sote kila mmoja anatakiwa kujivunia nchi yetu, ukiiharibu nam naona ntakuwa mjinga sana lazima nikukemeee
Serikali. Kwanini serikali.
Badala ya kujiulizia wapi tunakwama mnataka ndo mharibu kabisaaaa, haya umefungia hiyo hospital kwahiyo wale waliokuwa wameajiriwa kufanya kaz kwenye hiyo hospital utawaajiri ww? Mambo mengine yakukurupuka sanaaaaa
Serikali inajukumu la kugharamia ‘merit goods’ maana yake nini serikali isiposomesha, kujenga shule, kutoa huduma za afya na uwekezaji mwingine wenye faida za jamii watakaofaidika ni wachache wenye hela.
Sasa serikali imekusomesha kwa faida ya jamii maana yeye ndio mtoaji huduma pia kwa watanzania maskini tulio wengi.
Mtu anatakiwa akaitumikie jamii ambayo inamuhitaji kama sababu za kusomeshwa kwake na kupewa experience. Anafika huko anaona hakufai sijui amepewa offer yenye maslahi mapana zaidi yule aliyekutengeneza unamuona fala.
Na unadhani Drs are entitled to that wakati kupata replacement yake ni shida.
Magufuli yupo right hapa huyo daktari ateme hela ya serikali tena anaondoka bila ya kujali kama kuna mtu wa-ku replace nafasi; halafu mnataka achekewe.