Rais Magufuli aagiza Madaktari waliohama Hospitali ya Rufaa mkoani Tabora kwenda Hospitali binafsi kwa kisingizio cha maslahi wafuatiliwe

Professors waliokuwa wanafundisha wakapelekwa serikalini nao warudi
 
Ukivut bang usiwe unakuja humu ipo siku utasema nyerere na yeye arudi kwenye ualimu
 
We jamaa bhana

Moja una uhakika gani kapewa mkopo ?

Mbili nafahamu swala la grant , una uhakika alikua na grant ?

Ukiwa private hulipi mkopo au Sheria za huko Tanzania zimebadilika

Kama alilipa mkopo wake wote jee

Kwa hiyo anatishia kufunga hospitali ya private for what

Kama huna akili usijibu maswali yangu ignore
 
Tuna shida kubwa na katiba yetu, kwani wasomi wangapi wamekimbia kufanyakazi serikalini mpaka awe mbogo kwa Daktari huyu hii kauli inampa nguvu sana raisi...“Mwaka jana niliajiri madaktari 1000, kumbe daktari huyohuyo alipofika hapa akanusa tu akaondoka pamoja na mshahara wetu kwa nini asishtakiwe kwa wizi”Rais Magufuli.
 
Kazi kutetea ujinga!!
 
Nakuunga mkono.
Tuliposema tumepata janga wengine walidhani tunatania, sasa mtashuhudia makubwa zaidi ya huu unyanyasaji.
Kwani na wewe ukimchagua? Wewe rais wako si kakimbilia kwa Amsterdam?
 
Nyani haoni kundule,yeye kamchukua bingwa ya moyo jk anazunguka nae kumtibu yeye peke yake...iko shida kubwa upstairs
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…