Rais Magufuli aagiza Madaktari waliohama Hospitali ya Rufaa mkoani Tabora kwenda Hospitali binafsi kwa kisingizio cha maslahi wafuatiliwe

Kazi mnayo!!
 
Ni sawa tu, wapo wengi wana private hospitals au hata kufanya kazi part time huko ila hawaachi kazi za serikali, na wapo happy.. huyu lazima kuna zaidi ya hayo ameyafanya.
 
Kwani kuna ubaya gani kwa hiyo kwenda kuajiriwa private? Si kuna gap kutengeneza hapo huyo mzee alizibe? Aache ujinga bwana!
Graduates wapo wanaotafuta ajira unajua kwanini private aijiri hao?

It’s takes time kuaminika miaka ya mwanzo ya internship ni kama anachukua mshahara wa bure wakati anajengewa experience.

Awawataki hao graduates pamoja na kwamba ni qualified Drs. Serikali ishafanya wajibu wake kuwasomeshea kwao hiyo aitoshi inataka na wale inaowajengea experience na ubobezi wa kazi halafu wanapofikia hatua hizo wao ndio waje kuchukua (shamba la bibi).

Do you even know the cost incurred and years it to make a consultant? Watengeneze wao kama rahisi kuna graduates wengi tu mtaani.

Hii mikataba ya ajira inabidi iangaliwe upya n wizara ya afya, watu awawezi kuichukulia serikali poa ivyo.

Ni upuuzi kutetea aina hiyo ya watu, watanzania wenye kipato cha kawaida wana haki pia ya kupewa huduma ya afya iliyo na ubora, kutoka kwa madokta wenye uzoefu.
 


Umenikuna sana hapa Mkuu, nadhani kama kweli Mungu analipa basi kuna watu watalipwa hapahapa na si muda mrefu yatatimia
 
Wataishi Kwa lazima. Watake wasitake.
Hapa ndipo tulipofikia.
Well kuishi sio shida kama utawalazimisha but you need to be worried about their productivity.

Lile eneo sio epicentre ya kuweka hospitali ya kanda kwa sababu nyingi za kimkakati.
 
Basi wawekeane mkataba, wote waliopewa mikopo na serikali wawe wanalazimika kufanya kazi serikalini kwa kipindi fulani kabla kuajiriwa sekta binafsi, yawezekana yuko sawa basi..
Halafu huo mkopo usilipwe ufidiwe na huo utumishi watakaofanya kwa huo muda ,uzalendo haulazimishwi na hakuna haki bila wajibu serikali itimize wajibu wake
 
Daktari amemkimbia aliyemgharamia elimu, hata kama alipewa mkopo 100% na bodi ya mikopo bado serikali inamchango mkubwa kwenye elimu yake
Angeaga kwa uzuri yote hayo yasingetokea

Wale walioondoka kwenye vyama vya upinzani kwenda kwenye ile project ya kuunga juhudi waliaga vizuri? Acha kuendekeza siasa chafu na matumizi mabaya ya madaraka ya urais, kwa mtu asiyejua maana ya madaraka.
 
Wale walioondoka kwenye vyama vya upinzani kwenda kwenye ile project ya kuunga juhudi waliaga vizuri? Acha kuendekeza siasa chafu na matumizi mabaya ya madaraka ya urais, kwa mtu asiyejua maana ya madaraka.
🤣🤣🤣🤣kwani taratibu za vyama vyao zikoje
 
Wanakatwa ila issue kubwa ni kwamba aliondokaje kazini? Alifuata taratibu ZA utumishi na ZA maadili ya kazi yake? Je huko aliko bodi wanafahamu?
Tumia akili kidogo! Sheria inamtaka kila mwajiri kukata kutoka mshahara wa muajiriwa rejesho la hedlb na kuerejesha serikalini.
 
Walifuata taratibu kadri ya mkataba wa utumishi na maadili yao

Mbona hawajarudishwa kwenye nafasi zao baada ya kukosa nafasi za kuchaguliwa kama taratibu zinaruhusu?
 
Yeye alivyoacha ualimu alilipa fidia kiasi gani?
 
Well kuishi sio shida kama utawalazimisha but you need to be worried about their productivity.

Lile eneo sio epicentre ya kuweka hospitali ya kanda kwa sababu nyingi za kimkakati.
Kuna Siri kubwa Sana hapo mahali.
Najaribu kufikiri jinsi wahudumu wa kufanya kazi kwenye hiyo hospitali jinsi watakavyopatikana ili nilinganishe na hospitali nyingine zenye ukubwa Sawa na hiyo na ambazo zinateseka Kwa uhaba wa wafanyakazi kiasi cha kutoa huduma kwa shida.
 
Yeye alivyoacha ualimu alilipa fidia kiasi gani?
It’s about how easy you can replace one thing from another; that’s how value is attached.

Walimu wapo wa kutosha and it doesn’t take much to be trusted.

Isitoshe hata daktari akichoka ku practice yupo entitled kubadilisha profession ni haki yake; lakini sio kuacha kazi ya udaktari sehemu moja kwenda sehemu nyingine. That is cheating the government.
 
Put it this way realistically baada ya Magufuli hiyo hospitali aiwezi kuwa ya kanda the area just doesn’t fit the criteria.

Time will tell
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…