Rais Magufuli aagiza Madaktari waliohama Hospitali ya Rufaa mkoani Tabora kwenda Hospitali binafsi kwa kisingizio cha maslahi wafuatiliwe

Taarifa imeshatolewa katika ziara ya Mh.Rais leo Tabora .haiwezekani serikali ikukopeshe Ada halafu ukishapata ajira unahamia kwenye maslahi zaidi. Hii haikubaliki .kwahiyo mlioko serikalini na mtakaoapata Ajira mpya za serikali mkae mkilitambua hilo.

Ukiingia umeingia Hakuna kutoka

Nawasilisha.
 
View attachment 1690117

Huyo ni government employer kama wizara ya afya kwetu, kwanini unadhani ata huko kwao awachukulii poa watu kuondoka kiholela?

Jioni njema, time for my evening walk.
Naona unabadili magoli! Kuna mtu anayezungumzia suala la kuondoka kiholela hapa?! Kilichoandikwa hapo kinafanyika kwenye ofisi yoyote ili mradi mwajiriwa ana contract!! Ukitaka kumtetea Mheshimiwa Rais kwa kupitia hiyo doc yako, onesha ni wapi wameandika kwamba ni haramu kwa mwajiriwa kuacha kazi na kwenda kufanya kazi hospitali binafsi!! Onesha ni wapi wamesema watu kama hao wanastahili hata kufungiwa kama anavyotaka rais wetu.
 
Mkuu hataki kazi wakati anafanya kazi kwa mtu mwingine kisa kulizisha tamaa yake ya mapesa

Mkuu nani apimwe - usifuate ushauri wa kigogo
Ungekuwa wew ungefanyaje?
Ivi umewaza huyo doctir ana changamoto gani za kimaisha ambazo zinahitaji fedha?madoctor wapo wengi kama kakataa si waajiriwe wengine.
Alafu tangu lini mtoto anaetapika akila ugali alazimishwe kula ugali wakat kuna jirani yupo tayari kumpa wali?
Kama wewe hujaona umuhimu wake,muache awahusudu wanaotambua umuhimu wake.
 
Mkuu hataki kazi wakati anafanya kazi kwa mtu mwingine kisa kulizisha tamaa yake ya mapesa

Mkuu nani apimwe - usifuate ushauri wa kigogo
Hata kuandika huwezi mkopo unaujulia wapi wewe!!? Basi jifunze kudadisi mambo hata uelewe?? Uwe na hoja
 
Magufuli mwenyewe kasomeshwa Bure bila mkopo na alitoka. Iweje waliosomeshwa kwa mkopo!?
 
Kwa Sasa Mimi Imani yangu imebaki walau kwa jeshi la wananchi wa Tanzania, ndo walau wanaonekana hawapo ki CCM kivile
 

Kweli kabisa mkuu.

Nyuma ya haya yote ni chuki iliyokubuhu dhidi ya private sector na tamanio la kuiangamiza ila hilo halitawezekena.
 
Mimi Imani yangu imebaki walau kwa jeshi la kujenga Taifa.

Kweli kabisa mkuu.

Nyuma ya haya yote ni chuki iliyokubuhu dhidi private sector na tamanio la kuiangamiza ila hilo halitawezekena.
Katika uchumi wa dunia ya kileo sekta binafsi ndo injini ya Maendeleo na utoaji huduma..ndivyo dunia ilivyo leo. Huku kwingine ni mtu anajihangaisha kwa kutokujua lip Ni lipi....
Mwacheni ahangaike lakini Private sector is here to stay.
 
Huo mkopo hamuwapi bure wanafundisha kupitia zile 15% milizoweka

So msiwapangie wakatafute wapi ugali maana mwisho wa siku mtataka hela yenu mkopo

This is crazy[emoji849]
 
Vi paste hivyo vifungu hapa.
 

Mtu anatakiwa akaitumikie jamii ambayo inamuhitaji kama sababu za kusomeshwa kwake na kupewa experience.
Unaelewa nini maana ya jamii?
Je, Daktari huyo alikokimbilia kaenda kuitumikia familia au ukoo wake tu?


Magufuli yupo right hapa huyo daktari ateme hela ya serikali tena anaondoka bila ya kujali kama kuna mtu wa-ku replace nafasi; halafu mnataka achekewe.
Magufuli hayuko sahihi, na hawezi kuwa sahihi na hatokuwa sahihi. Kiufupi, kapuyanga. Mkopo unalipwa kwa staili yoyote ile.
Madaktari wa kureplace wako wengi tu mitaani, hawana ajira.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…