Kama wamesaini hii contract hakukuwa na haja ya kukimbia ,View attachment 1690117
Huyo ni government employer kama wizara ya afya kwetu, kwanini unadhani ata huko kwao awachukulii poa watu kuondoka kiholela?
Jioni njema, time for my evening walk.
NIKUKOSA UZALENDOO. MADAKTARI HAWA WAMESOMA KWA KODI ZA LALA HOI WAUZA MAHINDI NA NAMAHARAGWE, HALAFU MNAWAKIMBIA WALIOWAWEZESHAA?? KUNA LAAANA ITAFUATA JUUU YAOTaarifa imeshatolewa katika ziara ya Mh.Rais leo Tabora .haiwezekani serikali ikukopeshe Ada halafu ukishapata ajira unahamia kwenye maslahi zaidi. Hii haikubaliki .kwahiyo mlioko serikalini na mtakaoapata Ajira mpya za serikali mkae mkilitambua hilo.
Ukiingia umeingia Hakuna kutoka
Nawasilisha.
View attachment 1689777
Rais Magufuli ameweka jiwe la msingi la ujenzi wa jengo la magonjwa ya dharura Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Tabora, akiwa katika eneo hilo ameagiza Madaktari waliohama Hospitali hiyo ya Serikali na kuhamia Hospitali binafsi kwa kigezo cha maslahi wafuatiliwe.
Rais Magufuli amenukuliwa akisema
“Madaktari wanapata mkopo 100% wakiwa Chuoni, halafu tunawapa ajira Serikalini wanakimbia kisa maslahi, si ungekimbia wakati unasoma? Hela yetu umekula halafu unakimbia kwenda Hospitali binafsi kwa kisingizio cha maslahi, ni kukosa uzalendo”
“Mtafuteni huyo Daktari aliyekimbia Hospitali ya Serikali na hiyo Hospitali binafsi aliyokimbilia, ikiwezekana tunamfungia Daktari, tunaifungia na Hospitali aliyoenda, wakati wa kusomesha hawatuchangii, tukishawasomesha wanakwenda kuwaiba, sio sawa”
View attachment 1689964View attachment 1689965
Tahadhari gani?Kwani Magufuli ndiye sheria na katiba?Unaelewa kuwa nchi huwa inaongozwa kwa mujibu wa sheria?Daktari akihama kutoka serekalini kwenda sector binafsi amevunja sheria gani?Nikikuita kuwa wewe ni punguani nitakuwa nimekuonea?
Nenda sasa uone kitakachokupata.Tahadhari gani?Kwani Magufuli ndiye sheria na katiba?Unaelewa kuwa nchi huwa inaongozwa kwa mujibu wa sheria?Daktari akihama kutoka serekalini kwenda sector binafsi amevunja sheria gani?Nikikuita kuwa wewe ni punguani nitakuwa nimekuonea?
NIKUKOSA UZALENDOO. MADAKTARI HAWA WAMESOMA KWA KODI ZA LALA HOI WAUZA MAHINDI NA NAMAHARAGWE, HALAFU MNAWAKIMBIA WALIOWAWEZESHAA?? KUNA LAAANA ITAFUATA JUUU YAO
Sasa hospital hizo zichukue madaktari kutoka wapi?Hospital gani itakubali ku take risk ya kupigwa kufuli kwa kukuchukua Daktari toka serikalini?
Sasa hospital hizo zichukue madaktari kutoka wapi?
Ajira ni popotee. Kilichomgarimu dactari huyo nikuacha ajira ya serikali na kuwatelekeza rai wanaostahili huduma yake na kukimbilia private.Hili Rungu la JPM lingehamia kwa watumishi wote wa Umma wakiosomeshwa kwa Mkopo Marufuku kuhamia Private ili Madaktari wasidhan wanafanyiwa hivyo wao pekee
Hii ni thinking ya ajabu sana! Yaani kwa sababu mmempa mkopo 100% ndio haruhusiwi kutafuta kazi yenye maslahi zaidi? Kwani huo mkopo si analipa? Au mikopo wanalipa waliojiriwa serikalini tu?
Kwani huko kwengine anatibu NaniNIKUKOSA UZALENDOO. MADAKTARI HAWA WAMESOMA KWA KODI ZA LALA HOI WAUZA MAHINDI NA NAMAHARAGWE, HALAFU MNAWAKIMBIA WALIOWAWEZESHAA?? KUNA LAAANA ITAFUATA JUUU YAO
Samahani jamani mi sielewi kwani madaktari hawahusiki na makato ya HELSBTaarifa imeshatolewa katika ziara ya Mh.Rais leo Tabora .haiwezekani serikali ikukopeshe Ada halafu ukishapata ajira unahamia kwenye maslahi zaidi. Hii haikubaliki .kwahiyo mlioko serikalini na mtakaoapata Ajira mpya za serikali mkae mkilitambua hilo.
Ukiingia umeingia Hakuna kutoka
Nawasilisha.
Kwani akiwa hospital ya private hawahudumii hao wauza mahindi na je kodi na huo mkopo akiwa huko private halipi? Akili zingine aiseeee!!!!!NIKUKOSA UZALENDOO. MADAKTARI HAWA WAMESOMA KWA KODI ZA LALA HOI WAUZA MAHINDI NA NAMAHARAGWE, HALAFU MNAWAKIMBIA WALIOWAWEZESHAA?? KUNA LAAANA ITAFUATA JUUU YAO
Mkopo haulipwi?NIKUKOSA UZALENDOO. MADAKTARI HAWA WAMESOMA KWA KODI ZA LALA HOI WAUZA MAHINDI NA NAMAHARAGWE, HALAFU MNAWAKIMBIA WALIOWAWEZESHAA?? KUNA LAAANA ITAFUATA JUUU YAO
Uko private haikuna raia?Ajira ni popotee. Kilichomgarimu dactari huyo nikuacha ajira ya serikali na kuwatelekeza rai wanaostahili huduma yake na kukimbilia private.
Hivi hizo garama za hispitali za private hao walalahoi waliomsomesha kwa kuuza mahindi na maharagwe wataweza kumudu garama zile?? Yeye daktari yule aliyeajiriwa kwenye hospitali zetu walalahoi, amalize mkataba wetu ili tunufaike tuliomsomesha, kisha akatafute hizo hospitali, ambazo kumuona daktari na lakimoja hukubado hujalipa vipimo na dawa zakeeKwani akiwa hospital ya private hawahudumii hao wauza mahindi na je kodi na huo mkopo akiwa huko private halipi? Akili zingine aiseeee!!!!!