k2206
JF-Expert Member
- Apr 22, 2018
- 702
- 705
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Duh hii sasa ni balaa....mambo kumbe magumu kuliko ninavyoyaona.
Huyo daktari kaumia.
Sent from my X90 using JamiiForums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Duh hii sasa ni balaa....mambo kumbe magumu kuliko ninavyoyaona.
Huyo daktari kaumia.
Nina uhakika wewe hujasoma. Umejibu tu nawewe tukuone. Hebu jifunze hata kwa kusikiliza kama kusoma unaona tabu.Ingekua sahihi kama angaelipa kwanza 100% ya mkopo wa Serikali aliokopa na riba yake ndio atoke
Ole wako ufe kabla hujamaliza kulipa mkopo mashangazi yako yatajuta kuzaliwa!Hivi kumbe kuna watu wanalazimishiwa kazi ili hali hawaitaki dah, hii nchi hata nikifa ikatokea maisha ya pili duniani nitaomba nirudi Tanzania
Kama halipi mkopo na anafahamika alipo hapo kosa ni la nani?Nafikiri kabla ya kutoa hukumu, swali tujiulize daktari huyu amekua akilipa mkopo? ama la.... tatizo la WTZ baadhi yetu hukimbilia kulaumu kama ya kujua route cause, mpaka mheshimiwa anatoa tamko hilo huwezi jua , huenda ana data zake zote sometimes busara itumike badala ya kukimbilia ku point finger.
Kwani ni Mzee??Huyu mzee nahisi ana kitu kinamsumbua sometimes tumuonee huruma.
5 tenaHata kama alisomeshwa na serikali, bado ana uhuru wa kuchagua. By the way, huko private bado ana tibu Watanzania hao hao. Na analipa mkopo wake hakupewa bure.
Huyu baba sasa atafutiwe jina..
Na KWA dunia ya leo huwezi kumkataza asitafute sehem yenye maslahi mazuri et uzalendo ,so far bado wanaohudumiwa ni watz,Uonezi
Alikopa, analipa riba ya mkopo,
Rais Magufuli leo ameweka jiwe la msingi la ujenzi wa jengo la magonjwa ya dharura katika Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Tabora, akiwa katika eneo hilo ameagiza Madaktari waliohama Hospitali hiyo ya Serikali na kuhamia Hospitali binafsi kwa kigezo cha maslahi wafuatiliwe.
“Madaktari wanapata mkopo 100% wakiwa Chuoni, halafu tunawapa ajira Serikalini wanakimbia kisa maslahi, si ungekimbia wakati unasoma?, hela yetu umekula halafu unakimbia kwenda Hospitali binafsi kwa kisingizio cha maslahi, ni kukosa uzalendo”-JPM
“Mtafuteni huyo Daktari aliyekimbia Hospitali ya Serikali na hiyo Hospitali binafsi aliyokimbilia, ikiwezekana tunamfungia Daktari, tunaifungia na Hospitali aliyoenda, wakati wa kusomesha hawatuchangii, tukishawasomesha wanakwenda kuwaiba, sio sawa”-JPM
My take.
Kuna maslahi madogo hasa ya kimshahara katika utumishi wa serikalini, naomba serikali iongeze mishahara kwa watumishi ili kuepukana na changamoto hii. La sivyo serikali itaendelea kupoteza mapato kwa watu kukimbia utumishi wa umma serikalini.
Daktari amemkimbia aliyemgharamia elimu, hata kama alipewa mkopo 100% na bodi ya mikopo bado serikali inamchango mkubwa kwenye elimu yakeKwani huyo daktari amekimbia fani ya udaktari, au amehama tu toka kutibu kwenye sekta ya umma, na kwenda kutibu kutibu watanzania kupitia sekta binafsi? Ingekuwa kahama nchi na hataki kutibu watanzania hapo wangalau. Ulevi wa madaraka ni tatizo.
Mkuu, pia alishawahi kunukuliwa na vyombo vya habari akiwaambia watumishi wa umma wanaonung'unika kwa kutokuongezewa mshahara toka awamu ya tano ilipooingia madarakani. Na akasema yule asiyeridhika na aache kazi.Hii nchi tunakoelekea ni kubaya zaidi.
Huyu mwalimu wa science tena kipindi kile walimu wa science shule za vijijini walikuwa wachache sana ila aliamua kuacha wanafunzi na kugombea ubunge. Masilai ya ualimu aliona ni kidogo. Ubunge wenyewe aligombea awamu mbili bila kufanikiwa.
Hayati Benjamini william Mkapa ndyo akampa support baada ya kuitenga chato ndipo Rais JPM alifanikiwa kuwa mbunge.
Leo hii daktari wa serikali kaacha kuwa mtumishi wa serikali na kaenda kufungua hospitali binafsi ambayo imeongeza huduma katika jamii ila Rais Magufuli kwa Roho ya kwanini anataka awaingize matatani.
Nakumbuka Rais mstaaf J. Kikwete aliwahi kuzungumza juu ya katiba inavyompa Rais nguvu kubwa na hivyo inahitaji busara sana kuendesha nchi kama Tanzania.
Kusema ukweli hii busara magufuli hana kabisa. Na waliopo karibu naye wanashindwa kmweleza ukweli ilimradi vibarua vyao visiote nyasi au wanasubiri aboronge ili akiondoka wamsengenye.
Daktari amemkimbia aliyemgharamia elimu, hata kama alipewa mkopo 100% na bodi ya mikopo bado serikali inamchango mkubwa kwenye elimu yakeKwani huyo daktari amekimbia fani ya udaktari, au amehama tu toka kutibu kwenye sekta ya umma, na kwenda kutibu kutibu watanzania kupitia sekta binafsi? Ingekuwa kahama nchi na hataki kutibu watanzania hapo wangalau. Ulevi wa madaraka ni tatizo.