Rais Magufuli aagiza Tsh. Bilioni 40 zitumike kulipa madeni ya Wakulima wa Korosho baada ya Serikali kununu Korosho hizo

Huyu mzee ni wa hovyo sijui tulimtoa wapi!
 
Kosa wamefanya Wizara ya Kilimo, halafu wizara ya fedha ndio inabebeshwa mzigo. Huyo waziri ni vyema akajiangalia sidhani kama huu mwaka utaisha bila kuenguliwa.
 
Nadhani sasa Serikali itakuwa imeona kasoro iliyotokea kwenye suala la korosho. Inatakiwa ijifunze isije ikafanya makosa tena.
 
Kwani hakuna.mpangilio mpaka rais aseme .kazi ipo jamani miaka iliyobaki ni mingi Mungu tusaidie

Gerson Msigwa na Vyombo vya habari ndio wanapotosha kuhabarisha lakini hayo ni Maamuzi ya Baraza la Mawaziri.
sio ya Rais!
 
"Aliagiza mwaka jana baada ya mwaka anaagiza tena kuchukua fedha kutoka Hazina kwa utaratibu usiokuwa wa kisheria haya ndio matokeo ya kiburi ‘arrogance and state tyranny” back to square one reallocation how.

Kumbe tungeheshimu mnada wa mwaka jana hii aibu na kutumia wanajeshi ?
Tutashaa kuchagua kichaa
 
Siku hizi umebadirika, umeacha upopoma
Hongera Mh Rais ila hili ni darasa kama sio somo. Wewe kama kichwa cha state nilazima ujitahidi kuwa wa mwisho kabisa kufanya decision. Mimi nina asilimia mia kama ni ushauri walio kushauri hawakuwa na ujuwaji wowote na utaratibu wa Korosho kiasi hasara nikubwa kuliko mafanikio. Zao la Korosho limepata pigo kubwa kiasi kwa habari za kapetini itachukua muda kuwa ktk hali yake yakawaida.

Zao lakorosho kwa haraka tu linakuwa na mzunguko sawa na budget ya mwaka mzima almost trilion sasa nilipo ona mnatoa bilion nikajuwa hapa babaamegusa mkia wa nyoka mwenye sumu kali maana huitaji kugongwa ila kitendo chakumgusa tayar sumu inakuingia.

Sina shida na utendaji wako na nia njema kwa Raia wako. Ila nakukumbusha wapo wenye akili kuzidi kiti nahawa nihatari kuliko vile unawaza. Hawa hawana jeshi wala usalama ila njia zao na taratibu zao zinaweza kausha serikali. Sikuzote muogope mtu mwenye akili wala sio mwenye jeshi na silaha. Akili nihatari sana kwasabau mwenye akili hufanya mambo bila kuonekana n mwisho hupata result. Ndio maana unakitengo cha ujasusi sasa kama kweli unamajasusi wazuri wenye akili kama rais unapiga miluzi. Ila kama una jasusi aina ya wale bijana basi accept the result. Kiongoz mkubwa kama Rais hupaswi kuonekana kila mahali ila acha itifaki izingatiwe na wewe mwisho ndio mwenye sifa zote.
 
Korosho zetu tunanawakabidhi vyama vya msingi, huko kuna waandishi na wenyeviti ambao wengi wao:-
-wana elimu ya std vii
-wana uchu wa kujitajirisha
-hawajali lolote

--si waoga kuchukuwa mali ya mkulima na kujiandikisha yeye
-wana shughulika na mamilioni, wakati hesabu za shule ya msingi tu ziliwashinda, ila waongeaji sana kupelekea kupa nafasi,

-hawashitakiki kazi kuwatisha tu ili warudishe fedha na inashindikana
-serikali ililipa lakini iliishia kwa waandishi, na mfano rafiki yangu alipeleka kg 1400, alilipwa kg 400 tu,1000kg alijiandisha mwandishi, kwa hofu aliamua wadaiane nje ya taratibu, ni mbaya sana

-binafsi nadai zaidi ya laki 7, vikao tu hii kabla ya msimu ambao serikali ilinunua hadi leo
-viongozi ngazi ya wilaya,mkoa, hawana uwezo wa kushughulika nalo ila hawako tayari kusema limewashinda

Ndio maana nasema Rais ingilia jambo ili, kwa kuwa wenye dhamana wanajificha eti kupiga vita kangomba ambayo haina hathali kwa mkulima kuliko haya masaibu

Korosho nimeokota ila siridhiki kupeleka ghalani, naziangalia nyumbani kwanza.
 
Tuishukuru serkal kwa kuwalipa wakulima wa korosho na kuwapatia pembejeo bure achilia mbali waliowaibia kuwapeleka jela

State agent
 
Inawezekana ulikuwa na hoja safi na mujarabu kabisa, ila binafsi nimeshindwa kuelewa.
 
Serikalo mpaka sasa imeshindwa kuwalipa wakulima wote, bado kuna watu wanadai wengi tu licha matamko sijui peleka bilion kadhaa na kadhaa.

Mpaka sasa hiv hakuna pembejeo ya bure licha watu kutaka kununua lakini Serikali imeshindwa kusimamia kupatikana kwa wakati.

Msimu huu, Serikali imeshindwa kusimamia upatikanaji wa magunia.
 
Vaa kiatu cha mkulima wa korosho, ulime na udhulumiwe, lazima upeleke ghalani hata kama si mwanachama, na watunga sera na wasimatizi wana zugazuga tu
 
We haupo karibu na zao la korosho, kabla ya kuvunjwa mfuko wa pembejeo za korosho,tulikuwa tunapata mfuko wa 25kg kwa 14,000/=, kipindi hiki mkulima wanamjali mfuko huo huo ni 32,000/= na miche ya bure hatupati tena na wala wazalishaji waliacha kuzalisha sababu hawakulipwa mara ya mwisho, kama huko karibu fuatilia au ulizia.
 
Ni
Serikalo mpaka sasa imeshindwa kuwalipa wakulima wote, bado kuna watu wanadai wengi tu licha matamko sijui peleka bilion kadhaa na kadhaa.

Mpaka sasa hiv hakuna pembejeo ya bure licha watu kutaka kununua lakini Serikali imeshindwa kusimamia kupatikana kwa wakati.

Msimu huu, Serikali imeshindwa kusimamia upatikanaji wa magunia.
Ni kweli, kwetu ni msururu kwa DC, sina uhakika kama kuna suluhisho, amesema eti lazima wareje fedha, mi sijui ni nini! (Hawashitakiki)
 
Hii serikali ya ni ya kisanii tu. Wanapenda kujimwambafy wawapo majukwaani ili kupata attention ya wananchi.

Nimepata taarifa toka kwa kigogo mmoja kwamba zile bilioni 40 zilizotangazwa kwa mbwembwe kwamba zikakamilishe malipo kwa wakulima wa korosho hazikupelekwa kama ilivyotamkwa, bali ni bilioni 3.5 pekee ndo zimewafikia wakulima.

Mkoa wa Mtwara pekee una zaidi ya wakulima 700 ambao wanakadiriwa kuidai serikali zaidi ya shilingi bilioni 19.7
Serikalo mpaka sasa imeshindwa kuwalipa wakulima wote, bado kuna watu wanadai wengi tu licha matamko sijui peleka bilion kadhaa na kadhaa.

Mpaka sasa hiv hakuna pembejeo ya bure licha watu kutaka kununua lakini Serikali imeshindwa kusimamia kupatikana kwa wakati.

Msimu huu, Serikali imeshindwa kusimamia upatikanaji wa magunia.
 
Hii serikali ya ni ya kisanii tu. Wanapenda kujimwambafy wawapo majukwaani ili kupata attention ya wananchi.

Nimepata taarifa toka kwa kigogo mmoja kwamba zile bilioni 40 zilizotangazwa kwa mbwembwe kwamba zikakamilishe malipo kwa wakulima wa korosho hazikupelekwa kama ilivyotamkwa, bali ni bilioni 3.5 pekee ndo zimewafikia wakulima.

Mkoa wa Mtwara pekee una zaidi ya wakulima 700 ambao wanakadiriwa kuidai serikali zaidi ya shilingi bilioni 19.7
Mie naamini mtu mzima kuna wakati unatakiwa kuwa wazi na mkweli, bila kuja watu watakuelewa vipi, kuliko kuwapa watu 'tension' mtu akijua alipwi ni bora kuliko kumpa matumaini wakati hamna kitu!
 
Back
Top Bottom