Embu sema kitu gan angeamuaa usingelalamikaRais kajitia mamlaka ya kuamua kila kitu. Bunge halina kazi tena. Sipika alijisemesha kuw huu mchakato utarudishwa bungeni lakini Rais katoa kauli yake na maamuzi yake kwa siku moja. Bunge lifutwe tu halina maana
Sent using Jamii Forums mobile app
Naomba kujua huyu Dada kama yupo kwenye social network yeyoteMwaka 2012 Sister Irene +(Dau) wa SSRA alikazania sana jambo hili kama leo alivyoshupalia lakini wenzie macho yao yote yalikuwa kwenye mwaka 2015 na mwisho wa siku ikaahirishwa na watu wakalamba, leo hoja ikiwa ni ileile, Irene yule yule wa SSRA, Waziri huyo huyo na wenzie ni hao hao wanaosubiria 2020 kwa dukuduku lao moyoni... na leo ngoma imeahirishwa tena hadi 2023, Angalizo ni kuwa Irene anaweza kustaafu akaacha mambo yakiwa hivyo hivyo kwani interest zake ni tofauti na za wenzie
hayo yako, Rais wa nchi apande kisiasa awe nani ziadi ya hapo.
Unajiroga mwenyewe halafu unajitibu halafu watu wanakusifia[emoji2][emoji2][emoji2][emoji1379]watu wanatafuta kiki tu hapo.
wametengeneza tatizo ili waonekane wamelitatua!
si ajabu waziri mhusika akatolewa kafara.
Hivi alisaini kuwa sheria Mkuu ?Nashangaa wanaosema Rais ni mtetezi wa wanyonge na watumishi kwa ujumla! Kwaalichokifanya Leo ni muendelezo wa kukanyaga taasisi nyingine ambazo amekua akizipa maelekezo yeye mwenyewe na baadae kuja kuyapinga yeye mwenyewe....Hii Sheria ni serikali yake ndoiliyoipeleka Bungeni kupitia Waziri wake ambae kimsingi Rais anshiriki kwenye Cabinet...Anyway ata Bunge lilivopitisha muswada yeye aliusaini kwa mbwembwe kua sheria Leo inamaana ata wabunge wake na Spika wake aliemfanya msukule wake anawapinga Kweupee....Rais kama kweli ni mtetezi wa watumishi basi aombe Radhi watumishi kwa kuvuruga miundo ya utumishi hasa madaraja huwezi amini ila ndo ukweli Leo 2081 Wanaotakiwa kupandishwa madaraja ni watumishi wa 2014 lakini bado yuko 2012 je haoni kavuruga kweli
Sent using Jamii Forums mobile app
HAPA TEGEMEA WASTAAFU WA HIARI WENGI KULIKO WAKATI WOWOTE
KWA SHERIA ILIYOPO MTUMISHI ANAWEZA KUSTAAFU KWA HIARI AKIFIKISHA MIAKA 55
NANI ATASUBIRI KIKOKOTOO KIPYA KAMA ANASIFA YA KUONDOKA KWA HIARI??
Naona wale Wa FAO la kujitoacWale wafanyakazi wa migodi na ujenzi kuna sababu gani ya wao kusubiri hadi miaka 60 wakati kazi zao ni za kipindi kifupi.
Mkuu, FAO LA KUJITOA umelisikia Kweli ?Dalili zinaonesha haiwezekani, tutaendelea kusubiri.