Rais Magufuli aamuru Kikokotoo kilichokuwa kinatumiwa awali kiendelee hadi 2023 (kulingana na mfuko husika)

Rais Magufuli aamuru Kikokotoo kilichokuwa kinatumiwa awali kiendelee hadi 2023 (kulingana na mfuko husika)

Lissu ameaza kumjambisha mkubwa, na bado dharau itakwisha na tutaanza kuheshimiana, 2020 siyo mbali.
 
KIKOKOTOO
MIAKA 55 NDIO IMEKUFA KIFO CHA MENDE,FAO LA KUKOSA AJIRA KAPUNI
NAONA FAO LA KUJITOA LINAREJEA
ASANTE MAGU
 
Nitawashangaa watumishi wa umma kama wataibuka na vibao vya kumpongeza jiwe kwa kubadilisha kikokotozi,wakati yeye ndiye chanzo cha taharuki iliyowapata watumishi, haitakuwa tofauti na kumpongeza jambazi aliyekufa kwa kupigwa risasi, wakati anajaribu kukuibia badala ya kujipongeza mwenyewe kwa kumuzuia jambazi asikuibie.
 
Mwaka 2012 Sister Irene +(Dau) wa SSRA alikazania sana jambo hili kama leo alivyoshupalia lakini wenzie macho yao yote yalikuwa kwenye mwaka 2015 na mwisho wa siku ikaahirishwa na watu wakalamba, leo hoja ikiwa ni ileile, Irene yule yule wa SSRA, Waziri huyo huyo na wenzie ni hao hao wanaosubiria 2020 kwa dukuduku lao moyoni... na leo ngoma imeahirishwa tena hadi 2023, Angalizo ni kuwa Irene anaweza kustaafu akaacha mambo yakiwa hivyo hivyo kwani interest zake ni tofauti na za wenzie
Naomba kujua huyu Dada kama yupo kwenye social network yeyote

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nashangaa wanaosema Rais ni mtetezi wa wanyonge na watumishi kwa ujumla! Kwaalichokifanya Leo ni muendelezo wa kukanyaga taasisi nyingine ambazo amekua akizipa maelekezo yeye mwenyewe na baadae kuja kuyapinga yeye mwenyewe....Hii Sheria ni serikali yake ndoiliyoipeleka Bungeni kupitia Waziri wake ambae kimsingi Rais anshiriki kwenye Cabinet...Anyway ata Bunge lilivopitisha muswada yeye aliusaini kwa mbwembwe kua sheria Leo inamaana ata wabunge wake na Spika wake aliemfanya msukule wake anawapinga Kweupee....Rais kama kweli ni mtetezi wa watumishi basi aombe Radhi watumishi kwa kuvuruga miundo ya utumishi hasa madaraja huwezi amini ila ndo ukweli Leo 2081 Wanaotakiwa kupandishwa madaraja ni watumishi wa 2014 lakini bado yuko 2012 je haoni kavuruga kweli

Sent using Jamii Forums mobile app
Hivi alisaini kuwa sheria Mkuu ?
 
HONGERA MR. PRESIDENT KWA HILO NAFIKIRI HUWA UNASOMA THREAD ZANGU NA COMMENTS ZANGU ZA UCHUNGU ZA MAFAO KUHUSU KUJITOA UANACHAMA KWA SISI PRIVATE NINACHOSEMA GOOD ENOUGH ILE KANUNI YA 33% YA KUKOSA AJIRA NI OVYO OVYO HAISAIDII KATIKA AJIRA ZA MIKATABA MIAKA 3
 
Tafakuri

Ukiona Mzazi wako anapenda kutengeneza tatizo kisha analitatua yeye mwenyewe, tena kwa kujifanya kwamba tatizo hilo limemuuma na anawajibika kulitatua yeye kwa sababu ana upendo sana, watoto mnatakiwa kuwa makini sana na vyanzo vya matatizo yenu katika familia.

Mosi, kama ikitokea kwamba tatizo lolote yeye hakulisababisha lazima Mtoto utawajibishwa tu tena bila huruma. Pili, Mzazi wenu akiwa ana tabia hizo mjue ni mpenda sifa kwelikweli. Tatu, ataendelea kutumia njia hiyohiyo ya kuanzisha matatizo na kuyatatua endapo watoto mtapiga kelele nyingi. Mkinyamaza mjue kwamba itakula kwenu na mtaumia kwelikweli.

Suluhisho Mzazi wenu akikosea mwambieni mapema kwamba, hili tatizo chanzo chake ni hiki, lakini kamwe hawezi kukiri kwamba yeye ndo kasababisha. Akijirudi ni kushukuru maana katambua alipokosea japo hataki kukiri kosa.

#LeaveUrLegacy

Simon Ngusa Jilala
 
Rais leo kathibitisha amekomaa kisiasa na kimaamuzi, wapinzani wake wajipange sawasawa kama Rose Muhando alibyoimba
 
Mambo anayofanya Jiwe ni ya ajabu sana na kuna siku tutatumbukia kwenye janga ambalo hata yy hatoweza kupata tiba yake kama alivyozoea kama mfano wa sukari
 
Wale mawaziri waliotokwa povu zito Bungeni kutetea hiki kikokotoo walikuwa wanafanya vile kwa maagizo au maslahi ya nani? Walikuwa "wakiitetea" Serikali ipi? Mheshimiwa Rais fukuza haraka watu wale maana walitaka kukuchonganisha na wananchi wanyonge mno. Usikubali kukaa na na mamluki wa JK😎
 
hii nchi raha sana, pale tutakapo acha kula ugali na kuwalisha watotowajukuu wetu ugali ndo kidogo tutapata akili.

aliyeweka kikokotoo ni nani? ni serikali ya nani? ujinga mtupu
 
Back
Top Bottom