Rais Magufuli aamuru Kikokotoo kilichokuwa kinatumiwa awali kiendelee hadi 2023 (kulingana na mfuko husika)

Huyu jamaa wa reli nimempenda yuko real sana kaongea point
 
Mheshimiwa Raisi anaongea na viongozi wa vyuma wafanyakazi,nimelipongeza sana,yani moyo wangu umesuuzika sana. Asante sana Mpendwa rais wetu. Pia tuangalie tulio sekta binafsi kwani sisi mkataba wetu mrefu miaka miwili,fao la kujitoa pia liangaliwe.
Kweli kwa hili umenigusa sana.
 
Kuna yeyote ambaye kazungumzia Fao la Kujitoa?
Mi nashangaa , hakuna anayeizungumzia hata kidogo , Kama ss wafanyakazi wa private ambao mikataba yetu inaisha ndani ya mda mfupi haingii akilini eti usubiri mpka miaka 55 au upate asilimia 33 ya mshahara kwa mirzi sita
 
Wewe ni ke/me?
 
Ni imani yetu wastaafu watapatiwa mafao yao kwa wakati na wapatiwe 100%
Mie nakubaliana na kuunga mkono kbs mswaada wa serikali.kuna jirani yangu amelipwa ml150.akanunua nyumba 2.akapata na kausafiri,akafungua na biashara,lkn leo hana hata 100.na nyumba moja keshauza tayari.kw ss anateseka,hana hata mia mfukoni.lkn vp angekuwa analipwa laki 8 zake kila mwez?!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
nani kakwambia atasitisha subiri majibu. atakacho fanya labda kuongeza 5%-10% na itakomea hapo.
 
Had jiwe naye ni slow leana[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
ATUAMBIE TU AMESAINI KIMAKOSA HIYO SHERIA ,ITAREKEBISHWA
NB: FAO LA KUJITOA PRIVATE SEKTA
 
Naona wawakilishi wa wafanyakazi wanapendekeza 40% na mshahara wa mwisho utumike.

Naona wengi wana hofu ila naona taratbu wanafunguka.

Inaonekana wamenasa mtego wa kumwaga sifa
 
Hivi hyu mtu kwa nini anapenda macamera sna ila matanzania majinga mtu anatengeneza ttzo yy halafu anakuja kulitatua mbele ya kamera halafu mnamshangalia\stupid
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…