NenoNaona anakwenda kutengua sheria mpya ya kikokotoo ili apate credit kama kawaida yake
Unaanzisha tatizo then unatatua mwenyewe hiyo inasaidia manyumbu wa lumumba kumuona ni mtetezi wao
Sent using Jamii Forums mobile app
Weee, hebu mheshimu mkulu wet, yaàni unamfananisha na mubwa???mugufuru bwana yeye ndo mbwa mlinzi,yeye ndo mwizi....anaruka ukuta kisha anabweka!!
Roja that"Akiba haiozi" kwa mapendekezo yangu napendekeza wapewe 75% kwa mkupuo mmoja na 25% kidogo kidogo. 100% HAPANA.
Sent using Jamii Forums mobile app
wafanyakazi ni waaminifu na tuna imani na serikali yetuWatumishi fanyeni hujuma indirect dhidi ya serikali hii onevu kwenu ni miaka 3 hakuna ongezeko la mishahara na maslahi yenu yanazidi kukandamizwa.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mwisho wa siku utaujutia muda wako.Leo kwa Mara ya kwanza toka local Chanel zmezimwa ndo naangalia tbc
Sent using Jamii Forums mobile app
Mie nakubaliana na kuunga mkono kbs mswaada wa serikali.kuna jirani yangu amelipwa ml150.akanunua nyumba 2.akapata na kausafiri,akafungua na biashara,lkn leo hana hata 100.na nyumba moja keshauza tayari.kw ss anateseka,hana hata mia mfukoni.lkn vp angekuwa analipwa laki 8 zake kila mwez?!
Sent using Jamii Forums mobile app
Hayo ni matatizo binafsi labda ungetupa takwimu wangapi wanazitumia vibaya na wangapi wanazitumia vizuru,mtu mpaka anafikia umri wa kustaafu tayari ni mtu mzima,huwezi kumpangia mtu mzima matumizi ya fedha zake,akiamua kuzifuja ni ujinga wake mwenyewe.Mie nakubaliana na kuunga mkono kbs mswaada wa serikali.kuna jirani yangu amelipwa ml150.akanunua nyumba 2.akapata na kausafiri,akafungua na biashara,lkn leo hana hata 100.na nyumba moja keshauza tayari.kw ss anateseka,hana hata mia mfukoni.lkn vp angekuwa analipwa laki 8 zake kila mwez?!
Sent using Jamii Forums mobile app
Wenda akawarudishia ile 50%.Si unajua huyu ni mzee wa kutengeneza matatizo na kuyatatua ili ku gain cheap popularity
Ndugu..wake up your mind..Mheshimiwa Raisi anaongea na viongozi wa vyuma wafanyakazi,nimelipongeza sana,yani moyo wangu umesuuzika sana. Asante sana Mpendwa rais wetu. Pia tuangalie tulio sekta binafsi kwani sisi mkataba wetu mrefu miaka miwili,fao la kujitoa pia liangaliwe.
Kweli kwa hili umenigusa sana.