Rais Magufuli aamuru Kikokotoo kilichokuwa kinatumiwa awali kiendelee hadi 2023 (kulingana na mfuko husika)

Rais Magufuli aamuru Kikokotoo kilichokuwa kinatumiwa awali kiendelee hadi 2023 (kulingana na mfuko husika)

Umri wa kustaafu uwe miaka 45 hiari 50 lazima ili kupisha vijana ,
Psssf watoe mikopo ya fedha taslimu kwa watumishi ili wajikwamue kiuchumi, hiyo ni mbali na mikopo ya nyumba na elimu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nilishangaa sana siku ile ,ghafla yule jamaa akaonekana shujaa, mpakwa mafuta, mtu mwenye busara kuliko watu wote.

Nikawaona wapakwa mafuta wakimwaga sifa za kipekee kabisa juu yake, hakuna aliyethubutu kuusema ukweli wakaishia kupiga makofi na vigelegele.

Tunao manabii wa zama hizi ,lakini iko tofauti na wale akina ,Musa ,Nathani , Isaya , hawa waliusema ukweli mbele ya wenye nguvu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hiyo hela itolewe kwa riba , kwasababu inatumika kwa miradi ya nssf
 
Mie nakubaliana na kuunga mkono kbs mswaada wa serikali.kuna jirani yangu amelipwa ml150.akanunua nyumba 2.akapata na kausafiri,akafungua na biashara,lkn leo hana hata 100.na nyumba moja keshauza tayari.kw ss anateseka,hana hata mia mfukoni.lkn vp angekuwa analipwa laki 8 zake kila mwez?!

Sent using Jamii Forums mobile app

acha uongoo! hata wanaopata milioni 400 wanapata za mwezi kama kawaida labda kiwango!
 
naona Magufuli kasambaratisha ubongo wako mpaka umeshindwa kuandika vizuri. poleni sana CHADEMA huyu ndio Magufuli mtetezi, mzalendo, mchapakazi na muwajibikaji hasa
 
Mie nakubaliana na kuunga mkono kbs mswaada wa serikali.kuna jirani yangu amelipwa ml150.akanunua nyumba 2.akapata na kausafiri,akafungua na biashara,lkn leo hana hata 100.na nyumba moja keshauza tayari.kw ss anateseka,hana hata mia mfukoni.lkn vp angekuwa analipwa laki 8 zake kila mwez?!

Sent using Jamii Forums mobile app
Hayo ni matatizo binafsi labda ungetupa takwimu wangapi wanazitumia vibaya na wangapi wanazitumia vizuru,mtu mpaka anafikia umri wa kustaafu tayari ni mtu mzima,huwezi kumpangia mtu mzima matumizi ya fedha zake,akiamua kuzifuja ni ujinga wake mwenyewe.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mheshimiwa Raisi anaongea na viongozi wa vyuma wafanyakazi,nimelipongeza sana,yani moyo wangu umesuuzika sana. Asante sana Mpendwa rais wetu. Pia tuangalie tulio sekta binafsi kwani sisi mkataba wetu mrefu miaka miwili,fao la kujitoa pia liangaliwe.
Kweli kwa hili umenigusa sana.
Ndugu..wake up your mind..

Huyuhuyu unaemsifia ndie ambae ameileta hii kadhia yote halafu hapa tena unamsifia..

Unafikiri wakati hiki kiko-kotoo kipya cha mafao kilipotangazwa yeye alikuwa hafahamu athari zake..??

Mafao ya wafanyakazi ni haki ya wafanyakazi no matter what na yote yaliyokuwa yamepangwa kufanywa kupitia hiki kiko-kotoo kipya ni unyonyaji kwa wafanyakazi..

Usisifie kupewa haki yako.
 
Back
Top Bottom