Mbona hatuini kinachoendelea
FAO LA KUJITOA kwakweli wanatuumiza Sana sisi wafanyakazi wa sector binafsi , yaaani ni wizi was wazi kabisa na hakuna anayeliongeleaNamsikia Regulator, anaongea pumba tu.
FAO LA KUJITOA ni la lazima.
MI binafsi nimepata ugumu kuuelewa, huyu si ndo alienda Clouds fm akatoa ufafanuzi flani hiviNamsikia Regulator, anaongea pumba tu.
FAO LA KUJITOA ni la lazima.
Hao ndo wameharibu mkuu..wamepigilia misumari ya moto hapoWANAWAKE JENISTA MHAGAMA na Huyo wa SSRA ni wachawi kabisaaa! wameharibu hali ya hewa leo!
Mungu atawalipa tu
Kwahiyo hayo ndio yanaendelea huko ?Unataka updates gani zaidi ya hizi!?
Kwahiyo hayo ndio yanaendelea huko ?