Jaslaws
JF-Expert Member
- May 31, 2011
- 6,016
- 5,296
hiki kinachofanyika ikulu leo ni kulivua bunge nguo,kwa utaratibu wa kawaida ili mswada wa (usio wa dharula)kuingia bungeni ni lazima hatua ya kwanza kuwashilikisha wadau husika...sasa hawa wote walioko ikulu ni wadau wa mifuko ya jamii iweje leo kila mtu analalamika inamaana maoni yao hayakutiliwa maanani au labda kanuni hazikufuatwa!