Rais Magufuli aamuru Kikokotoo kilichokuwa kinatumiwa awali kiendelee hadi 2023 (kulingana na mfuko husika)

Rais Magufuli aamuru Kikokotoo kilichokuwa kinatumiwa awali kiendelee hadi 2023 (kulingana na mfuko husika)

hiki kinachofanyika ikulu leo ni kulivua bunge nguo,kwa utaratibu wa kawaida ili mswada wa (usio wa dharula)kuingia bungeni ni lazima hatua ya kwanza kuwashilikisha wadau husika...sasa hawa wote walioko ikulu ni wadau wa mifuko ya jamii iweje leo kila mtu analalamika inamaana maoni yao hayakutiliwa maanani au labda kanuni hazikufuatwa!
 
Waziri naye anapigilia msumari wa moto.. matumaini hapo hakuna kwa watumishi
 
Masikini..hakuna jipya. Anaongea Jenista hapa.

Masikini
 
Bora tubaki na ikulu tuuu bunge tupilia mbali kama mambo kama haya hata bunge halina meno
 
Watumishi fanyeni hujuma indirect dhidi ya serikali hii onevu kwenu ni miaka 3 hakuna ongezeko la mishahara na maslahi yenu yanazidi kukandamizwa.

R.I.P MWL,Bilago

Sent using Jamii Forums mobile app
 
huyu jenesta mbona kapauka hivi afu kakonda,kaacha kuiba au atakua kwenye diet??
 
Kama kawaida unatengeneza tatïzo linaathiri kisha unajitokeza na solution ya tatizo kisha unaandaa kùndi ambalo nitataka kufanya maandamano ya kupongeza na kuunga juhudi za mleta tatizo/mtatuzi
 
Back
Top Bottom