Rais Magufuli aamuru Kikokotoo kilichokuwa kinatumiwa awali kiendelee hadi 2023 (kulingana na mfuko husika)

Rais Magufuli aamuru Kikokotoo kilichokuwa kinatumiwa awali kiendelee hadi 2023 (kulingana na mfuko husika)

Headlines za gazeti la Uhuru kesho: "Magufuli awapa wastaafu zawadi ya mwaka mpya" Asema hatasaini sheria mpya inayowanyonya wafanyakazi, aagiza kikokotoo za zamani kiendelee kutumika. Aahidi kuendelea kuboresha maslahi ya wafanyakazi

Huwa nikikutana na Members wa JamiiForums wenye upeo mkubwa ( Werevu ) kama Wewe na wengineo baadhi huwa nafurahi sana. Mkuu kwa ulichokiandika hapa umemaliza kila Kitu na naomba nikuamkie Shikamoo!
 
kwani huko Ikulu leo hawaruhusu maswali ya moja kwa moja kutoka kwa watazamaji na wasikilizaji? waulize wako live
 
Watumishi fanyeni hujuma indirect dhidi ya serikali hii onevu kwenu ni miaka 3 hakuna ongezeko la mishahara na maslahi yenu yanazidi kukandamizwa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Inasikitisha saana,yaani mtu mmoja ndo anasubiriwa atoe maumuzi.
 
Magufulu anafanya siasa tu hana nia ya kuwasaidia hao wafanyakazi.. Na hakuna atakachosema cha msaada kwao.. He is there just to gain the political mileage out of this.
 
Naona awamu ya Wafanyakazi imefika

Watu wanahitaji kura zenu 2020.

Wataambiwa watumie kikokotoo cha zamani mpaka muafaka upatikane.
Wafanyakazi kupata nyoongeza ya Mishahara kuanzia mwakani.

Jiwe amechanga karata zake vizuri tu,wapinzani wamepewa magalasa tu.


Sent from my iPhone using JamiiForums
Hahahaaaa aise unaakili!
 
Nasubiri nione mungu mtu leo atatokea wapi,wamembana,wanampa mapambio ya kinafiki,sijui atashtukia kama anakejeriwa?
 
Hongera Esther Bulaya, hongereni Wapinzani, hongereni Wote mliotetea na kusimama na Wafanyakazi muda Wote. CCM Ni slow learners siku zote. Sheria hiyo imetungwa na serikali JIWE akiwa anafahamu na kutoa maelekezo. Sheria hiyo ilipitishwa kwa wingi wa Kura na Wabunge wa CCM licha ya kupingwa na Wapinzani. CCM msijifanye mnawajali Wanyonge, nyie Ni Kupe na Chawa mnaowamaliza Wanyonge katika Taifa hili. Leo hii JIWE anajadili Nini asichokijua? Au kwakuwa Watanzania wengi wapo gizani basi Ni mwendo wa kutengeneza Tatizo na kulitatua baadae?

Wito kwa Wapinzani! Huu ndio mwaka Mzuri wa kupaza sauti zaidi, ATAFANYA hata Kama Hapendi ili tu, Uchaguzi wa Serikali za mitaa na Uchaguzi Mkuu ujao apate kura. Pazeni sauti kwa Maslahi ya Wanyonge wa nchi hii, sauti hii itasikilizwa Sana hii miaka miwili!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom