Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Headlines za gazeti la Uhuru kesho: "Magufuli awapa wastaafu zawadi ya mwaka mpya" Asema hatasaini sheria mpya inayowanyonya wafanyakazi, aagiza kikokotoo za zamani kiendelee kutumika. Aahidi kuendelea kuboresha maslahi ya wafanyakazi
Hahahaaaa aise unaakili!Naona awamu ya Wafanyakazi imefika
Watu wanahitaji kura zenu 2020.
Wataambiwa watumie kikokotoo cha zamani mpaka muafaka upatikane.
Wafanyakazi kupata nyoongeza ya Mishahara kuanzia mwakani.
Jiwe amechanga karata zake vizuri tu,wapinzani wamepewa magalasa tu.
Sent from my iPhone using JamiiForums
hakuna tumaini loLote hapo..Safi jembe langu, msikivu na mtetezi wa wanyonge
Si kwa huyu mtu...Sitashangaa kusikia kuwa leo anawaongeza jmaa mishahara ghafla na mambo ya kikokoto kipya anayatupilia mbali. Hii ndyo inaitwa create a problem, solve it and become a hero in politics
Sent using Jamii Forums mobile app
kweli mkuu, cdm walileta sera ya 25% na kikokotoo cha kipuuzi raisi wa wanyonge katenguaSafi jembe langu, msikivu na mtetezi wa wanyonge
Hivi haiwezekani kuhamia msumbiji kweli?Mbinu za kishamba sana !
Wenda ataongea chochote mkuuSi kwa huyu mtu...
Usitarajie kitu hapo...