Wewe virusi vys Ukimwi vilitengenezwa ufaransa enzi hizo Stalin dictator wa urusi akisaka dawa ya ujana wa milele (angalia movie eternal youth for comrade stalin) !
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwani umeambiwa FAO la kujitoa limerudishwa ?!!HONGERA MR. PRESIDENT KWA HILO NAFIKIRI HUWA UNASOMA THREAD ZANGU NA COMMENTS ZANGU ZA UCHUNGU ZA MAFAO KUHUSU KUJITOA UANACHAMA KWA SISI PRIVATE NINACHOSEMA GOOD ENOUGH ILE KANUNI YA 33% YA KUKOSA AJIRA NI OVYO OVYO HAISAIDII KATIKA AJIRA ZA MIKATABA MIAKA 3
Katumwa na huyo huyo jiwe!
Then jiwe huyo huyo kafanya yake!
Namshauri Irene ajiuzulu ili walao kutuma msg kwa jiwe kwamba mchezo anaofanya ni wa kitoto mno na sio vizuri kabisa!
Yaani jiwe kageuza vijakazi wake ni mapunguani!
kwa hiyo wakati wanatangaza utekekezaji hapa juzi jiwe alikuwa shimoni??Saa nyingine ni busara kusikiliza na kusoma kimya kimya bila kuchangia kitu.
Umeambiwa hicho kikokotoo kilipangwa na waziri na katibu wakuu wa wizara husika wakati wa awamu ya nne.
Sisi Watz We lack analytical skills.Wanaotambua mchango mkubwa wa wapinzani katika hili ni wachache sana. Waliowengi wanamshangilia aliyeleta tatizo kwa kuliondoa. Pathetic!
Sent using Jamii Forums mobile app
Sasa kama alisema juzi si anaweza akawa amelipa Jana?Huyu Mzee juzi kasema mifuko ya hifadhi ya jamii inaidai serikali bilioni 200 leo hii anasema kuwa hadaiwi kawalipa zote
Sent using Jamii Forums mobile app
Hakuakirikishwa # HAKUSHIRIKISHWA?Nimeshangaa maamuzi aliyotoa ni kama wanajichanganya,
Kwani hao viongozi wa mifuko ya jamii si yupo nao kila saa na hata usikute wazo alilitoa yeye,
Sipingi ila ninavyoona serikali inafanya mambo kwa kukurupuka na kutokufikiria
Kwani hawakuona sheria hii ni mbovu na itaumiza watu wakati wakitaka kuipitisha?
Yani lililofanyika leo ni kama siasa
Kila kitu kimerudi kama zamani mkuu
Ndo maana yake unasubili nin mpaka saizIna maana lile fao la kujitoa kwa tuliofukuzwa kazi tukalofuate?!
Sent using Jamii Forums mobile app
Seems like alizungumza japo indirect.Mkuu lile halijazungumzwa, ni kama halipo.
Nimewaza hivyo pia
Mzee wetu anaenda na divide and rule