Rais Magufuli aamuru Kikokotoo kilichokuwa kinatumiwa awali kiendelee hadi 2023 (kulingana na mfuko husika)

Rais Magufuli aamuru Kikokotoo kilichokuwa kinatumiwa awali kiendelee hadi 2023 (kulingana na mfuko husika)

Wewe virusi vys Ukimwi vilitengenezwa ufaransa enzi hizo Stalin dictator wa urusi akisaka dawa ya ujana wa milele (angalia movie eternal youth for comrade stalin) !

Sent using Jamii Forums mobile app
 
HONGERA MR. PRESIDENT KWA HILO NAFIKIRI HUWA UNASOMA THREAD ZANGU NA COMMENTS ZANGU ZA UCHUNGU ZA MAFAO KUHUSU KUJITOA UANACHAMA KWA SISI PRIVATE NINACHOSEMA GOOD ENOUGH ILE KANUNI YA 33% YA KUKOSA AJIRA NI OVYO OVYO HAISAIDII KATIKA AJIRA ZA MIKATABA MIAKA 3
Kwani umeambiwa FAO la kujitoa limerudishwa ?!!
.....kama umeelewa hivyo jitakafari upya

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Katumwa na huyo huyo jiwe!

Then jiwe huyo huyo kafanya yake!

Namshauri Irene ajiuzulu ili walao kutuma msg kwa jiwe kwamba mchezo anaofanya ni wa kitoto mno na sio vizuri kabisa!

Yaani jiwe kageuza vijakazi wake ni mapunguani!

Nimewaza hivyo pia

Mzee wetu anaenda na divide and rule
 
Saa nyingine ni busara kusikiliza na kusoma kimya kimya bila kuchangia kitu.

Umeambiwa hicho kikokotoo kilipangwa na waziri na katibu wakuu wa wizara husika wakati wa awamu ya nne.
kwa hiyo wakati wanatangaza utekekezaji hapa juzi jiwe alikuwa shimoni??

ni misukule tu ndiyo atai fool kwa utoto huu lakini si wenye nafsi hai.
 
HUYU MAMA ANA LAANA KABISA.
KUNA MWINGINE KTIKA HAO SSRA ALISEMA PENSION NI KAMA BIMA?? AKAULIZA KAMA KUNA MTU ALISHAENDA KUDAI NHIF KWA KUWA HAKUTIBIWA?? HAWA NI VILAZA, THEY DONT THINK BIG AT ALL
 
Wanaotambua mchango mkubwa wa wapinzani katika hili ni wachache sana. Waliowengi wanamshangilia aliyeleta tatizo kwa kuliondoa. Pathetic!

Sent using Jamii Forums mobile app
Sisi Watz We lack analytical skills.
......
Rais kaweka transition period ya miaka mitano... tena wengi wetu tutakuwa bado kustaafu... *tumeelewa kuwa kafuta kikokotoo.* ?
......
Hatujui Kama Kikokotoo Kiko Pending Mpaka Sasa Maana Zile Ni Kanuni Zilizopitishwa na Bunge So Serikali Itapashwa Ipeleke Bungeni Ili Hzo Kanuni Ziwe Pending

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huyu isaka ni hovyo sana hafai pale, mifuko imebadirishiwa madg ila irine bado yupo yuleyule, watuwekee regulator mwingine bana huyu mifuko anaiogopa sana na huwa anaside sana na chama cha waajili
 
mods naomba msiunganishe uzi huu ili nipate majibu sahihi maana hotuba ya Mhe Rais imenichanganya hapa, nachotaka kujua mimi ni je Fao la kujitoa kwa wafanyakazi wa miakataba mifupi hasa wale wa sekta binafsi ambao wana mikataba mifupi

Je fao hili limerudishwa?

Maana naona watu wanashangilia tu pasipo kujua kuhusu fao hili.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nimeshangaa maamuzi aliyotoa ni kama wanajichanganya,
Kwani hao viongozi wa mifuko ya jamii si yupo nao kila saa na hata usikute wazo alilitoa yeye,
Sipingi ila ninavyoona serikali inafanya mambo kwa kukurupuka na kutokufikiria
Kwani hawakuona sheria hii ni mbovu na itaumiza watu wakati wakitaka kuipitisha?
Yani lililofanyika leo ni kama siasa
Hakuakirikishwa # HAKUSHIRIKISHWA?
 
Mimi kwa hili nampongeza jiwe kwa kurudisha moyo nyuma na kusikiliza kilio cha wapinzani na vyama Vya wafanyakazi.Haijalishi kama ilikuwa kick au la!
 
Nimewaza hivyo pia

Mzee wetu anaenda na divide and rule

Hii ni technique ya zamani mno...

Cha ajabu jiwe ndio anaonekana kituko....

Ni common sense kidogo tu kujua now ni information age,social media age huwezi brainwash people kipumbavu namna hii!

Jokes on Jiwe now!

Who is the loser?Jiwe and only jiwe!
 
Kwenye hili mzee John Pombe Magufuli, amesoma uelekeo wa upepo na kuona wazi kuwa utampeperusha na kumtupia shimoni......

Na upande wa pili tayari hasimu wake mkubwa kisiasa [aliyejaribu kum - assassinate mwaka 2017 kwa risasi za SMG ya kivita] akiwa ametangaza kupambana naye kwenye uchaguzi mkuu wa 2020 kupitia chama kikuu cha upinzani - CHADEMA....

Honestly, amefanya vyema kuipiga pin kanuni hiyo ya kikokotoo na tunaweza kusema kwa hakika kuwa yuko ndani ya box la 18 akitafuta upenyo wa ku - shoot ili afunge goli.....

Upenyo wenyewe ni kufanikiwa tu kupiga chenga wachezaji wanne tu walio mbele yake kabla ya kuwa uso kwa uso na kipa na nyavu.....

Wachezaji wenyewe ni:

1. Nyongeza za mishahara

2. Promotions za kisheria za watumishi wa umma

3. Kulipa madai ya madeni mbalimbali ya watumishi wa umma na

4. Kufungua geti la auto - annual salary increaments za wafanyakazi wa umma

Na ili afunge goli la karne hili (na uwezo huo anao), basi hadi hatua hiyo atakuwa uso kwa uso na goli na kipa....

Sasa hapo, akiamua kupaisha, kwa kweli itakuwa ni shauri lake, sisi tutakuwa hatumo....!!
 
Back
Top Bottom